Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dupuytren's Contracture ni ugonjwa unaosababisha vidole vya mikono kupinda.Ugonjwa unasabibishwa na utumiaji wa madawa ya sumu na Unywaji mwingi wa pombe,ugonjwa wa kisukari,ugonjwa wa kifafa na uvutaji wa sigara.Ugonjwa huu huwapata wanaumme zaidi kuliko wanawake haswa wanaumme waliokuwa na umri wa miaka 40 au zaidi ya hapo.Wakuu, naomba mwenye kuelewa huu ugonjwa atuelezee