DURBAN: Bakhresa(Azam) anashindana na wazungu sasa

DURBAN: Bakhresa(Azam) anashindana na wazungu sasa

Sema unajichanganya mkuu kwenye maelezo yako. Unasema bakhresa hajasoma which means mafanikio sio hizo PhD unazo tukania watu humu. Mafanikio ni juhudi ya mtu asome au asisome. Mfano kuna PhD ambaye ni surgeon, ili aendelee kuokoa roho za watu anatakiwa ku concetrate kwenye hiyo kazi 100% akijichanganya na biashara nyingine ufanisi utashuka. Kwa mazingira ya bongo huyu mtu utamfananishaje na bakhresa kama sio akili za kijinga?

check majority.. angalia wasomo tuliokuwa lakini ni masikini mpaka leo mkuu.. wasomo wengi wameishia wizi tu
 
check majority.. angalia wasomo tuliokuwa lakini ni masikini mpaka leo mkuu.. wasomo wengi wameishia wizi tu

kuna wengi mzee... check
Mkuu elimu na mafanikio ni sawa na kulinganisha Mlima na Kichuguu.

Wasomi wengi huja kufa masikini sana angalia Ma profesa wetu wako kwa sasa wanafundisha kwa mikataba baafa ya umuri wa kufika na wao kustafu.

Si kwamba ukiwa na elimu kubwa ndo utafanikiwa, unaweza kuwa na elimu ya Msingi tu na ukawa na mafanikio makubwa sana.

mjomba elimu bora uleta mafanikio...atleast husiwe mwizi na mwongo hayo ni mafanikio... hapo ndio tunashindana mafanikio sio pesa tu
 
check majority.. angalia wasomo tuliokuwa lakini ni masikini mpaka leo mkuu.. wasomo wengi wameishia wizi tu
Kwa taarifa yako wengi wenye mafanikio hawana hizo PHD jomba which means hakuna uhusiano. Mfano magenius wanaorusha vyombo mwezini NASA ni PhD holders lakini tajiri wa kwanza duniani ni bilget
 
Anajitahidi sana bidhaa zake zipo katika ubora wa hali ya juu.
 
Kuwa mjasiriamali ni kipaji pia, kama unavyomwona Ronaldo uwanjani, usishangae PhD anategemea mshahara tu
 
Asante mleta mada kwa kutuhabarisha. Nampongeza sana mzee wetu Bakhresa kwa mafanikio makubwa aliyofikia yeye binafsi na familia yake. Kubwa zaidi ni kuitangaza nchi yetu ndani na nje ya mipaka yetu. Kwa sasa Bakhresa ameshika soko la Africa ya Mashariki na Kati kwa bdhaa ya nafaka chakula.

Haya ndio maendeleo anayopigania rais wetu mpendwa magufuli tuyafikie ya viwanda. Tulime na ku process wenyewe na baadae tu export ili kupata faida na si vinginevyo kama mtu mmoja mmoja na kama taifa.

Cha ajabu wanajitokeza watu kazi yao kupinga kila kitu na kutuona watanzania wote wapumbavu kama wao. Tujiepushe na upumbavu.
Hii habari ina mahusiano gani na Magu kiongozi!
 
Wasema hajasoma,wengine hatuna uhakika, ila kama kweli basi hongera zake, ila nina uhakika 110% kaajiri wasomi na ndio wanamuongezea utajiri, kuanzia kutengeneza ashklimu, kuendesha boti, kutengeneza boti, kuendesha mitambo yake ya kusaga nafaka na kuzalisha maziwa, kujenga nyumba zake n.k. n.k.!

Siyo lazima usome uwe tajiri lakini lazima uwaajiri wasomi wakuzalishie mapeni...Kusoma bado muhimu...

Natumaini watu wasiache shule kwa kisingizio cha Bakheresa, namna yake wako wachache duniani, huwezi kuwaiga, huwezi kuwafananisha, ila waweza iga mbinu zao ila hakuna uhakika nawe utafanikiwa..
 
Hongera zake Mzee Bakhressa.
Wachangiaji humu inabidi watofautisha kati ya mafanikio ya kibiashara na mafanikio ya kielimu. Mfanyabiashara mkubwa kafanikiwa, hata msomi mwenye Phd nae kafanikiwa kwa upande wake.

Mafanikio ya watu si lazima yafanane. Kila mtu anafanikiwa kwa kutimiza malengo yake. Pesa ni matokeo tu. Pia Elimu, biashara na pesa zinategemeana. Mfanyabiashara hawezi kuimarisha biashara yake pasipo msaada wa wasomi, na Msomi anamtegemea mfanyabiashara kwa namna moja au nyingine.
 
Jana naingia super market(cape town) naona unga wa ngano azam.
Watu wa rangi zote wananunua.

Nakumbuka nikiwa mdogo azamu inapoanziswa chumba kimoja pale Kariakoo leo tuna mtu ambaye hana diploma/degree/master, Phd lakini analisha Africa nzima kaajiri wafanyakazi wachina, weupe na weusi.

Kuna watanzania wana Phd's wamebakia kuiba, wapo walio na mabillion hawajui wafanye nazo nini. Mbaya zaidi wakifukuzwa kazi wanakufa masikini watoto wao wanatia aibu.

Napenda kumpongeza sana huyu mzee ambaye anahitaji kila sifa, na kutuonesha elimu sio makaratasi ni pamoja na kuelimika. Mzee wetu ana elimu ya pesa, hekima, busara, anafanya kazi kwa bidiii, hapendi makele na siasa, anajua anatoka wapi na anaenda wapi. Katengeneza kazi zaidi ya 120 hapa Durban.

Successful people do not blame a society, politics and community stop making noise wake up take responsibilities and change the global like sheak Said Bakhessa

Mungu akupe maisha marefu najisifu mbele ya marafiki zangu hapa nilipo kama natoka Tanzania ..Sio wanasiasa na wezi na wasio penda kazi wamebakia makelele kila siku..Tutakufa masikini na Mungu atatui motoni.
Kupongezana kumewapumbaza.
Mwenzenu hahitaji mipongezi, anatenda kazi.
Kama vipi pongezi pelekeni feri.
 
Mleta mada anavyoongea as if yeye ndio mzee SSB

Well,wewe umefanya nini kinachokutofautisha na wasomi walalamishi?
 
Jana naingia super market(cape town) naona unga wa ngano azam.
Watu wa rangi zote wananunua.

Nakumbuka nikiwa mdogo azamu inapoanziswa chumba kimoja pale Kariakoo leo tuna mtu ambaye hana diploma/degree/master, Phd lakini analisha Africa nzima kaajiri wafanyakazi wachina, weupe na weusi.

Kuna watanzania wana Phd's wamebakia kuiba, wapo walio na mabillion hawajui wafanye nazo nini. Mbaya zaidi wakifukuzwa kazi wanakufa masikini watoto wao wanatia aibu.

Napenda kumpongeza sana huyu mzee ambaye anahitaji kila sifa, na kutuonesha elimu sio makaratasi ni pamoja na kuelimika. Mzee wetu ana elimu ya pesa, hekima, busara, anafanya kazi kwa bidiii, hapendi makele na siasa, anajua anatoka wapi na anaenda wapi. Katengeneza kazi zaidi ya 120 hapa Durban.

Successful people do not blame a society, politics and community stop making noise wake up take responsibilities and change the global like sheak Said Bakhessa

Mungu akupe maisha marefu najisifu mbele ya marafiki zangu hapa nilipo kama natoka Tanzania ..Sio wanasiasa na wezi na wasio penda kazi wamebakia makelele kila siku..Tutakufa masikini na Mungu atatui motoni.
Hii mada inanikumbusha mbali sana nikiwa form 2 enzi zile za debate ....na famous motion ikiwa EDUCATION IS BETTER THAN MONEY.....and vise versa....
 
Back
Top Bottom