yupo wapi mzee wetu mengi, au karidhika ana alichonacho
Sema unajichanganya mkuu kwenye maelezo yako. Unasema bakhresa hajasoma which means mafanikio sio hizo PhD unazo tukania watu humu. Mafanikio ni juhudi ya mtu asome au asisome. Mfano kuna PhD ambaye ni surgeon, ili aendelee kuokoa roho za watu anatakiwa ku concetrate kwenye hiyo kazi 100% akijichanganya na biashara nyingine ufanisi utashuka. Kwa mazingira ya bongo huyu mtu utamfananishaje na bakhresa kama sio akili za kijinga?
check majority.. angalia wasomo tuliokuwa lakini ni masikini mpaka leo mkuu.. wasomo wengi wameishia wizi tu
Mkuu elimu na mafanikio ni sawa na kulinganisha Mlima na Kichuguu.
Wasomi wengi huja kufa masikini sana angalia Ma profesa wetu wako kwa sasa wanafundisha kwa mikataba baafa ya umuri wa kufika na wao kustafu.
Si kwamba ukiwa na elimu kubwa ndo utafanikiwa, unaweza kuwa na elimu ya Msingi tu na ukawa na mafanikio makubwa sana.
Kwa taarifa yako wengi wenye mafanikio hawana hizo PHD jomba which means hakuna uhusiano. Mfano magenius wanaorusha vyombo mwezini NASA ni PhD holders lakini tajiri wa kwanza duniani ni bilgetcheck majority.. angalia wasomo tuliokuwa lakini ni masikini mpaka leo mkuu.. wasomo wengi wameishia wizi tu
Hii habari ina mahusiano gani na Magu kiongozi!Asante mleta mada kwa kutuhabarisha. Nampongeza sana mzee wetu Bakhresa kwa mafanikio makubwa aliyofikia yeye binafsi na familia yake. Kubwa zaidi ni kuitangaza nchi yetu ndani na nje ya mipaka yetu. Kwa sasa Bakhresa ameshika soko la Africa ya Mashariki na Kati kwa bdhaa ya nafaka chakula.
Haya ndio maendeleo anayopigania rais wetu mpendwa magufuli tuyafikie ya viwanda. Tulime na ku process wenyewe na baadae tu export ili kupata faida na si vinginevyo kama mtu mmoja mmoja na kama taifa.
Cha ajabu wanajitokeza watu kazi yao kupinga kila kitu na kutuona watanzania wote wapumbavu kama wao. Tujiepushe na upumbavu.
Hahahaha wana jf wakorofi kweliKwa uandikaji huo inaonekana huko Durban ulizamia tu ! Rudi nyumbani usome kuna masomo ya jioni !
Kupongezana kumewapumbaza.Jana naingia super market(cape town) naona unga wa ngano azam.
Watu wa rangi zote wananunua.
Nakumbuka nikiwa mdogo azamu inapoanziswa chumba kimoja pale Kariakoo leo tuna mtu ambaye hana diploma/degree/master, Phd lakini analisha Africa nzima kaajiri wafanyakazi wachina, weupe na weusi.
Kuna watanzania wana Phd's wamebakia kuiba, wapo walio na mabillion hawajui wafanye nazo nini. Mbaya zaidi wakifukuzwa kazi wanakufa masikini watoto wao wanatia aibu.
Napenda kumpongeza sana huyu mzee ambaye anahitaji kila sifa, na kutuonesha elimu sio makaratasi ni pamoja na kuelimika. Mzee wetu ana elimu ya pesa, hekima, busara, anafanya kazi kwa bidiii, hapendi makele na siasa, anajua anatoka wapi na anaenda wapi. Katengeneza kazi zaidi ya 120 hapa Durban.
Successful people do not blame a society, politics and community stop making noise wake up take responsibilities and change the global like sheak Said Bakhessa
Mungu akupe maisha marefu najisifu mbele ya marafiki zangu hapa nilipo kama natoka Tanzania ..Sio wanasiasa na wezi na wasio penda kazi wamebakia makelele kila siku..Tutakufa masikini na Mungu atatui motoni.
Mkuu utapimwa mkojo[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hii habari ina mahusiano gani na Magu kiongozi!
Hii mada inanikumbusha mbali sana nikiwa form 2 enzi zile za debate ....na famous motion ikiwa EDUCATION IS BETTER THAN MONEY.....and vise versa....Jana naingia super market(cape town) naona unga wa ngano azam.
Watu wa rangi zote wananunua.
Nakumbuka nikiwa mdogo azamu inapoanziswa chumba kimoja pale Kariakoo leo tuna mtu ambaye hana diploma/degree/master, Phd lakini analisha Africa nzima kaajiri wafanyakazi wachina, weupe na weusi.
Kuna watanzania wana Phd's wamebakia kuiba, wapo walio na mabillion hawajui wafanye nazo nini. Mbaya zaidi wakifukuzwa kazi wanakufa masikini watoto wao wanatia aibu.
Napenda kumpongeza sana huyu mzee ambaye anahitaji kila sifa, na kutuonesha elimu sio makaratasi ni pamoja na kuelimika. Mzee wetu ana elimu ya pesa, hekima, busara, anafanya kazi kwa bidiii, hapendi makele na siasa, anajua anatoka wapi na anaenda wapi. Katengeneza kazi zaidi ya 120 hapa Durban.
Successful people do not blame a society, politics and community stop making noise wake up take responsibilities and change the global like sheak Said Bakhessa
Mungu akupe maisha marefu najisifu mbele ya marafiki zangu hapa nilipo kama natoka Tanzania ..Sio wanasiasa na wezi na wasio penda kazi wamebakia makelele kila siku..Tutakufa masikini na Mungu atatui motoni.
ni wazawa na wazalendo wa nchi hii na mifano halisi ya kuigwa na wajasilia mali wa kitanzania.nimegundua watu wengi wanapenda kumlinganisha bakhressa na mengi when it comes to cash, cjui kwann
majeshi 1981