Ni Mpiga dili tu. ITV yenyewe aliwazulumu wazunguyupo wapi mzee wetu mengi, au karidhika ana alichonacho
Kama walivo Charles Hilary na Tido Muhando!Mkuu kwenye suala la ajira, bakhresa ni kama mo tu, wanaajiri vibarua na kulipa malipo kiduchu. Ni unyonyaj na haina tofaut na mafisadi unaowasema.
Mwsho hakuna asyejua kuwa unaajiriwa ukiwa mvaaji wa baraghashia. Nadhani umenielewa.
Jana naingia super market(cape town) naona unga wa ngano azam.
Watu wa rangi zote wananunua.
Nakumbuka nikiwa mdogo azamu inapoanziswa chumba kimoja pale Kariakoo leo tuna mtu ambaye hana diploma/degree/master, Phd lakini analisha Africa nzima kaajiri wafanyakazi wachina, weupe na weusi.
Kuna watanzania wana Phd's wamebakia kuiba, wapo walio na mabillion hawajui wafanye nazo nini. Mbaya zaidi wakifukuzwa kazi wanakufa masikini watoto wao wanatia aibu.
Napenda kumpongeza sana huyu mzee ambaye anahitaji kila sifa, na kutuonesha elimu sio makaratasi ni pamoja na kuelimika. Mzee wetu ana elimu ya pesa, hekima, busara, anafanya kazi kwa bidiii, hapendi makele na siasa, anajua anatoka wapi na anaenda wapi. Katengeneza kazi zaidi ya 120 hapa Durban.
Successful people do not blame a society, politics and community stop making noise wake up take responsibilities and change the global like sheak Said Bakhessa
Mungu akupe maisha marefu najisifu mbele ya marafiki zangu hapa nilipo kama natoka Tanzania ..Sio wanasiasa na wezi na wasio penda kazi wamebakia makelele kila siku..Tutakufa masikini na Mungu atatui motoni.
ni wazawa na wazalendo wa nchi hii na mifano halisi ya kuigwa na wajasilia mali wa kitanzania.
FIKRA ZAKO POTOFUHaaa mm sim-regard bakhressa kama mtanzania ingawa kazaliwa tz, mm namwona kama mwarabu, half waarabu wana ubaguzi flani hivi majeshi 1981
View attachment 600388View attachment 600389View attachment 600390Ulichosema ni kweli kabisa baadhi ya michango inakatisha tamaa sana.Kama unaomba msaada inakubidi uchambue inayokufaa na isiyokufaa unaicha.Lakini kitu cha muhimu ni wewe mwenyewe kutambua unataka saloon ya aina gani hii inategemea na wateja uliowakusudia.Baada ya hapo fanya utafiti kwa kutembelea saloon mbalimbali kwa kuuliza na kwenda katika maduka ya vifaa vya saloo.
Mi nimefunguwa saloon ya kiume ina miaka 2 now.Kabla ya kuanza mchakato wa ujenzi wa saloon nilihakikisha napata taarifa sahihi kwa watu sahihi na kwa muda sahihi.Always remember that;The right thought +the right people in the right environment at the right time and right purpose=the right result. Nilitumia kanuni kama mwongozo.Ukienda kwenye maduka ya vifaa vya saloon utachanganyika na kamtaji kako ka mawazo kuna viti hadi 1.5m single, kuna viti vya scrub hadi 1m+ kuna mashine hadi 200k na vifaa vingine vya gharama kubwa Sana. Lakini jambo la msingi unataka saloon ya aina gani due to you're capita.
Kwa upande wangu nilianza mdogo mdogo kwa viti viwili vya laki3@kimoja mahali pa kuoshea kiti chake ilicost kitu kama 6.5laki.Baada ya kuanza kuingia pesa kutoka saloon nikaagiza baadhi ya vifaa kutoka Zanzibar. Zanzibar vitu bei cheee sana kuliko huku bara.Nitaweka picha badae uone nilipoanza na nilipo.
Asante
Wasema hajasoma,wengine hatuna uhakika, ila kama kweli basi hongera zake, ila nina uhakika 110% kaajiri wasomi na ndio wanamuongezea utajiri, kuanzia kutengeneza ashklimu, kuendesha boti, kutengeneza boti, kuendesha mitambo yake ya kusaga nafaka na kuzalisha maziwa, kujenga nyumba zake n.k. n.k.!
Siyo lazima usome uwe tajiri lakini lazima uwaajiri wasomi wakuzalishie mapeni...Kusoma bado muhimu...
Natumaini watu wasiache shule kwa kisingizio cha Bakheresa, namna yake wako wachache duniani, huwezi kuwaiga, huwezi kuwafananisha, ila waweza iga mbinu zao ila hakuna uhakika nawe utafanikiwa..
So kwa maana hiyo wasomi wanakazi ya kutimiza ndoto za wafanyabiara.Hili ndo tatizo la elimu zetu.Hongera zake Mzee Bakhressa.
Wachangiaji humu inabidi watofautisha kati ya mafanikio ya kibiashara na mafanikio ya kielimu. Mfanyabiashara mkubwa kafanikiwa, hata msomi mwenye Phd nae kafanikiwa kwa upande wake.
Mafanikio ya watu si lazima yafanane. Kila mtu anafanikiwa kwa kutimiza malengo yake. Pesa ni matokeo tu. Pia Elimu, biashara na pesa zinategemeana. Mfanyabiashara hawezi kuimarisha biashara yake pasipo msaada wa wasomi, na Msomi anamtegemea mfanyabiashara kwa namna moja au nyingine.
Walikubaguwa lini?kama hujuwi historia piga kimya waarabu wanahistoria kubwa sana na waafrika hasa(east afrika) walifanya biashara kwa kipindi kirefu na wazee wetu kabla hawajaja hao unaowatukuza leoHaaa mm sim-regard bakhressa kama mtanzania ingawa kazaliwa tz, mm namwona kama mwarabu, half waarabu wana ubaguzi flani hivi majeshi 1981
ni wazawa na wazalendo wa nchi hii na mifano halisi ya kuigwa na wajasilia mali wa kitanzania.
Elimu zetu kwa ujumla zinatoa mitaala itakayo kuwezesha kuajiriwa tu. Hata wanaojiita wamejiajiri lakini kiuhalisia wanafanya kazi za watu (mfano mkulima au mfugaji, bila wanunuzi wa mazao au mifugo hana ajira tena). Mfo mwingine utakuta wakili kwa kujitegemea. Huyu kwa haraka haraka utasema kajiajiri, lakini kiuhalisia kaajiriwa na wateja wake, kipato chake kinategemea wateja.So kwa maana hiyo wasomi wanakazi ya kutimiza ndoto za wafanyabiara.Hili ndo tatizo la elimu zetu.
HUYU ANA AFADHALI KIDOGO KIUZALENDO UKILINGANISHA NA AKINA ROSTAM NA MO AMBAO MAKAO MAKUU YA BIASHARA ZAO YAPO NJE NA HATA HAWAWEKEZI SANA KATIKA SHUGHULI ZA KIJAMII HAPA NCHINIHaaa mm sim-regard bakhressa kama mtanzania ingawa kazaliwa tz, mm namwona kama mwarabu, half waarabu wana ubaguzi flani hivi majeshi 1981
.Jana naingia super market(cape town) naona unga wa ngano azam.
Watu wa rangi zote wananunua.
Nakumbuka nikiwa mdogo azamu inapoanziswa chumba kimoja pale Kariakoo leo tuna mtu ambaye hana diploma/degree/master, Phd lakini analisha Africa nzima kaajiri wafanyakazi wachina, weupe na weusi.
Kuna watanzania wana Phd's wamebakia kuiba, wapo walio na mabillion hawajui wafanye nazo nini. Mbaya zaidi wakifukuzwa kazi wanakufa masikini watoto wao wanatia aibu.
Napenda kumpongeza sana huyu mzee ambaye anahitaji kila sifa, na kutuonesha elimu sio makaratasi ni pamoja na kuelimika. Mzee wetu ana elimu ya pesa, hekima, busara, anafanya kazi kwa bidiii, hapendi makele na siasa, anajua anatoka wapi na anaenda wapi. Katengeneza kazi zaidi ya 120 hapa Durban.
Successful people do not blame a society, politics and community stop making noise wake up take responsibilities and change the global like sheak Said Bakhessa
Mungu akupe maisha marefu najisifu mbele ya marafiki zangu hapa nilipo kama natoka Tanzania ..Sio wanasiasa na wezi na wasio penda kazi wamebakia makelele kila siku..Tutakufa masikini na Mungu atatui motoni.
Ni jambo zuri
.
Ni jambo zuri. Ila uelewe kuwa Wasomi ndio wanaomshauri na kutengeneza plans zake ya uzalishaji na masoko Africa. Usione mawazo hayo yake ni yake tu.
Pili Azam ana Grain Mi kwqalling Tanzania mainland, Zanzibar, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Malawi, na Mozambique. Kwa hiyo hayo mapato yake haifaidishi Tanzania tu bali nchi zote hizo alizowekeza.
Tunachoweza kujikwamua Tz ni kuongeza ushindani, kuongeza uzalishaji, kilimo, bidii ya kazi na rasilimali watu wenye ujuzi, miundombinu, sera na ushawishi wa uwekezaji, na masoko.
Subiri nae muda si mrefu ataishi kama shetani, refer Manji.Jana naingia super market(cape town) naona unga wa ngano azam.
Watu wa rangi zote wananunua.
Nakumbuka nikiwa mdogo azamu inapoanziswa chumba kimoja pale Kariakoo leo tuna mtu ambaye hana diploma/degree/master, Phd lakini analisha Africa nzima kaajiri wafanyakazi wachina, weupe na weusi.
Kuna watanzania wana Phd's wamebakia kuiba, wapo walio na mabillion hawajui wafanye nazo nini. Mbaya zaidi wakifukuzwa kazi wanakufa masikini watoto wao wanatia aibu.
Napenda kumpongeza sana huyu mzee ambaye anahitaji kila sifa, na kutuonesha elimu sio makaratasi ni pamoja na kuelimika. Mzee wetu ana elimu ya pesa, hekima, busara, anafanya kazi kwa bidiii, hapendi makele na siasa, anajua anatoka wapi na anaenda wapi. Katengeneza kazi zaidi ya 120 hapa Durban.
Successful people do not blame a society, politics and community stop making noise wake up take responsibilities and change the global like sheak Said Bakhessa
Mungu akupe maisha marefu najisifu mbele ya marafiki zangu hapa nilipo kama natoka Tanzania ..Sio wanasiasa na wezi na wasio penda kazi wamebakia makelele kila siku..Tutakufa masikini na Mungu atatui motoni.
kwako wewe kujiajiri nin??Elimu zetu kwa ujumla zinatoa mitaala itakayo kuwezesha kuajiriwa tu. Hata wanaojiita wamejiajiri lakini kiuhalisia wanafanya kazi za watu (mfano mkulima au mfugaji, bila wanunuzi wa mazao au mifugo hana ajira tena). Mfo mwingine utakuta wakili kwa kujitegemea. Huyu kwa haraka haraka utasema kajiajiri, lakini kiuhalisia kaajiriwa na wateja wake, kipato chake kinategemea wateja.
Jana naingia super market(cape town) naona unga wa ngano azam.
Watu wa rangi zote wananunua.
Nakumbuka nikiwa mdogo azamu inapoanziswa chumba kimoja pale Kariakoo leo tuna mtu ambaye hana diploma/degree/master, Phd lakini analisha Africa nzima kaajiri wafanyakazi wachina, weupe na weusi.
Kuna watanzania wana Phd's wamebakia kuiba, wapo walio na mabillion hawajui wafanye nazo nini. Mbaya zaidi wakifukuzwa kazi wanakufa masikini watoto wao wanatia aibu.
Napenda kumpongeza sana huyu mzee ambaye anahitaji kila sifa, na kutuonesha elimu sio makaratasi ni pamoja na kuelimika. Mzee wetu ana elimu ya pesa, hekima, busara, anafanya kazi kwa bidiii, hapendi makele na siasa, anajua anatoka wapi na anaenda wapi. Katengeneza kazi zaidi ya 120 hapa Durban.
Successful people do not blame a society, politics and community stop making noise wake up take responsibilities and change the global like sheak Said Bakhessa
Mungu akupe maisha marefu najisifu mbele ya marafiki zangu hapa nilipo kama natoka Tanzania ..Sio wanasiasa na wezi na wasio penda kazi wamebakia makelele kila siku..Tutakufa masikini na Mungu atatui motoni.
Na wewe pia punguza upumbavu sawa!Asante mleta mada kwa kutuhabarisha. Nampongeza sana mzee wetu Bakhresa kwa mafanikio makubwa aliyofikia yeye binafsi na familia yake. Kubwa zaidi ni kuitangaza nchi yetu ndani na nje ya mipaka yetu. Kwa sasa Bakhresa ameshika soko la Africa ya Mashariki na Kati kwa bdhaa ya nafaka chakula.
Haya ndio maendeleo anayopigania rais wetu mpendwa magufuli tuyafikie ya viwanda. Tulime na ku process wenyewe na baadae tu export ili kupata faida na si vinginevyo kama mtu mmoja mmoja na kama taifa.
Cha ajabu wanajitokeza watu kazi yao kupinga kila kitu na kutuona watanzania wote wapumbavu kama wao. Tujiepushe na upumbavu.
Watu wengi ni wa miaka ya 90's hapa.. hakuna mtu akawa tajiri km SSB bila mkono wa serikali. Pale ilipo SSB ndo ilipokua NMC.. Na mjue kipindi cha Mwinyi ndo alipotokea ikafka kipnd ch Jk yeye ni miongoni ya wafanyabiashara walio fanya biashara nyingii sn. In 10 yrs ametengeneza pesa nyingiii sn. So me sioni km miujiza hapo. Kuhusu swala la ajira linaukweli ukiona majina ya John au Ema ujue una uwezo wa ziada yani kichwa ndo unajiriwa. Ila km post za kawaida tuu hata watu wa chini ndo unakuta Athuman wakumwaga.. Pili SSB anapata sana pesa zaid kwny television ving'amuzi. Hebu tuwe wakweli zile package za AZAM TV na malipo yake zinaendana? Yan ni utapeli mkuubwa ujanja ujanja tuu chanel nyng ni za ku sample tu nani anashida y kuangalia mampira local. Wametoa Tv 1 ilikua smts inaonyesha EPL. Ikafika mda unalipa pesa nyngi lakini huoni hata channel y mana kuangalia. Ndomana bora nlipie package ndogo kbs y dstv naona vingi kiliko huko Azam.NMC ndo imemtajirisha huyo msilete uongo wakujibaraguza hapa eti chumba kimoja ndo kimemtajirisha