mazoezi gani hayo charty!!!!!!!!!!! aisee uko vizuri wewe!!
au ndo yale ya simama kaaaa!! simama kaaaa!!
au kata tumbo? au squash kiujumla?
aisee!!!
WA John legend,sijui waitwa 'baby tonight" i dnt knw,najua kuuimba tu...kibo na mawenzi alifanikiwa ndio
ah wala siyo yale pia na ww pia unaeza fanya mazuri hayo yanafanya hiyo dushe inakuactive when its needed!!hahah ila ntakuambia siku nyingine ila siyo hapa!!!icje ikawa thread nyngne
ni mzuri mkuu! vipi huu mpya wenyewe haukuvutii?
nadhani ukisikiliza halafu ukafanya concetration vyema... hautoachika kabisa!!
haya bwana ahsante i love the song..japo wanikumbushia maumivu..mana ye ndo aliondoka...aisee kwanini sasa ulimuacha badi b?
mbona alikuwa anakusatisfy everywhere?
actually wimbo ni mzuri! nimekukumbusha kidogo uuuumieeee!!!
Utamu weeee utamu wa Yesu weee
sema nimekuruhusu charty!
wengi wanahitaji hiyo huduma bana!
kuna watu unajua dushe zao zinaangalia magharibi badala ya kuwa str8?
Unatisha huo, stimu haikati mwanzo mwisho
hahhahaha nimegoma stakiiii leoooo:rolleyez: ntakuambia puraivetiiiii ukipenda ndo uje uwaambie wenzio maana maneno yake makali kidogo na hivi cjui kutumia tafsida dah nisije chezeiya ban mieee
!
!
mie wowote tu wa kikongo kwani inanihamasisha kwenye miuno.......
ingia jukwaa la wakubwa uniambie laivu laivu!!!
haya bwana ahsante i love the song..japo wanikumbushia maumivu..mana ye ndo aliondoka...
I bet my neighbours know my name- trey songs
Loving you is because ur beautifuly...lala lala laalaa
Song la Kingwendu = Huyu Demu Mapepe!