During sex: What is your favorite song to hear?

Kweli mnatukuza sie watoto..!
Kumbe inabidi tuwe na miziki..
 
Mi sio siri nikiwa kwenye majamboz hakuna wimbo ninaoupenda kama Wimbo Wa Taifa, yaani najihisi booonge la patriot!
 
mmmmh!!

When it comes to that point, i fail to choose the best rythm!

Naishiaga tu kuweka nyimbo za anantara spa, una relax huku ukifanyiwa massage! Taratiiiibu, shida kwishnei!

What about you? Whats your favourite song during sex?


danger by busta rhymes
 
Mmmmh!!

when it comes to that point, i fail to choose the best rythm!

naishiaga tu kuweka nyimbo za anantara spa, una relax huku ukifanyiwa massage! taratiiiibu, shida kwishnei!

what about you? whats your favourite song during sex?


Mke wa mtu ni sumu, hahahahahaha,
usijaribu chombeza hahahahahahahah
yatakuja kukutaaa, hahahahahah
usiyoyatarajia, hahahahahahahah
 


Kwa picha hii na story zako vinaendana kabisa ningeshangaa sana kukuta bandiko lako kwenye jukwaa la siasa au sheria
By the way mimi huwa napenda wimbo wa RAY C "tulia tulia honey nakwambia x 2 mmmmhhh!! then unamsikia mh Temba anaguna kwa nyuma + mdundo wa bit ya wimbo woo.....!!
 
...nitunze nihifadhike,nihifadhi wanyamaze...Nithibiti wa Saada Nassor.
 
Mhhh... kumbe na wewe umo eeeh???? Maana awali ulitudanganya eti "I don't sex", kumbe ulikuwa unacheki kasi ya uzi kwanza! Hongera!
 
Mmmmh!!

when it comes to that point, i fail to choose the best rythm!

naishiaga tu kuweka nyimbo za anantara spa, una relax huku ukifanyiwa massage! taratiiiibu, shida kwishnei!

what about you? whats your favourite song during sex?

Mkuu naomba kuuliza kwanza, eti ni kitu gani hicho ulichoweka kama avatar yako hapo juu?
 
Kwetu Kuzuri wa Ambassadors of Christ.

Nikishapiga bao napenda kuliwazwa na wimbo wao wa Kwanini Umeyaruhusu.

Nikienda kuoga nafurahi kusikia kibao cha Tabata Mennonite Kidogokidogo Nikinyatanyata

This z JF :heh:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…