Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
"....kaka, Mary mda wowote ataundiwa zengwe na kutupwa nje ya uringo. Si una kumbuka alimshikia bango dogo kuhusu wanawake kudhalilishwa kule mkoani? Basi bwana, kumbe dogo hakufurahishwa! Na mama mtu alimwambia dogo akaushe dawa yake ipo jikoni."
"....sasa mbaya zaidi imegundulika Mary alikuwa kwenye mtandao wa kumtweza boss lady akiwa timu jamaa zetu waliofurushwa. Ee bwana ee, nakuhakikishia huu mwaka hatotoboa atajiuzuru mwenyewe kwa zengwe linaloandaliwa!"
Duru.