Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Huu mnyukano mpaka lini?"....kaka, Mary mda wowote ataundiwa zengwe na kutupwa nje ya uringo. Si una kumbuka alimshikia bango dogo kuhusu wanawake kudhalilishwa kule mkoani? Basi bwana kumbe dogo hakufurahishwa na mama mtu alimwambia dogo akaushe dawa yake ipo jikoni."
"....sasa mbaya zaidi imekugundulika Mary alikuwa kwenye mtandao wa kumtweza boss lady akiwa timu jamaa zetu waliofurushwa. Ee bwana nakuhakikishia huu mwaka hatotoboa atajiuzuru mwenyewe kwa zengwe linaloandaliwa!"
Duru.
Hadi mwisho wa CCM, labda.Huu mnyukano mpaka lini?
Unaniuliza mimi tena!?Sisi sote ni ndugu jamani tupendane, Sasa huyo Mary akifurushwa utafaidika na nini Mkuu?
Faida ni hiyo hiyo ambayo angeipata yeye kama ingelitokea aliyekuwa akimsagia kunguni akatumbuliwa.Sisi sote ni ndugu jamani tupendane, Sasa huyo Mary akifurushwa utafaidika na nini Mkuu?
Duh...!."....kaka, Mary mda wowote ataundiwa zengwe na kutupwa nje ya uringo. Si una kumbuka alimshikia bango dogo kuhusu wanawake kudhalilishwa kule mkoani? Basi bwana kumbe dogo hakufurahishwa na mama mtu alimwambia dogo akaushe dawa yake ipo jikoni."
"....sasa mbaya zaidi imekugundulika Mary alikuwa kwenye mtandao wa kumtweza boss lady akiwa timu jamaa zetu waliofurushwa. Ee bwana nakuhakikishia huu mwaka hatotoboa atajiuzuru mwenyewe kwa zengwe linaloandaliwa!"
Duru.
Timu Conel huyo lazima wamle kichwa.Watu wanaroga mbaya hadi Mary Chatanda mnataka mumrushie kimbola?
Km serikalo yetu itakua inaendeshwa kiumbea na kinafik nafiki tusitegemee mabadiliko kokote maendeleo tutayasikia kwenye bomba km serikali kuu yenyewe wanasasambuana kuna watu wakifanya jambo wasiguse wakiguswa basi ww ung'oke hua sioni maana ya leaders kushika msaafu au bibilia kuapa kuilinda katiba ni kuptezeana mda tu"....kaka, Mary mda wowote ataundiwa zengwe na kutupwa nje ya uringo. Si una kumbuka alimshikia bango dogo kuhusu wanawake kudhalilishwa kule mkoani? Basi bwana kumbe dogo hakufurahishwa na mama mtu alimwambia dogo akaushe dawa yake ipo jikoni."
"....sasa mbaya zaidi imegundulika Mary alikuwa kwenye mtandao wa kumtweza boss lady akiwa timu jamaa zetu waliofurushwa. Ee bwana nakuhakikishia huu mwaka hatotoboa atajiuzuru mwenyewe kwa zengwe linaloandaliwa!"
Duru.
Safari hii polonium suppliers wakae mkao wa kupiga pesa."....kaka, Mary mda wowote ataundiwa zengwe na kutupwa nje ya uringo. Si una kumbuka alimshikia bango dogo kuhusu wanawake kudhalilishwa kule mkoani? Basi bwana, kumbe dogo hakufurahishwa! Na mama mtu alimwambia dogo akaushe dawa yake ipo jikoni."
"....sasa mbaya zaidi imegundulika Mary alikuwa kwenye mtandao wa kumtweza boss lady akiwa timu jamaa zetu waliofurushwa. Ee bwana ee, nakuhakikishia huu mwaka hatotoboa atajiuzuru mwenyewe kwa zengwe linaloandaliwa!"
Duru.