Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Hatari!Sioni Chadema ikipona, japo Lissu akichukua nafasi ya uenyekiti kutakuwa chadema halisi lkn team Mbowe wataanza kumhujumu
Mbowe hatokubali kuachia chamaSioni Chadema ikipona, japo Lissu akichukua nafasi ya uenyekiti kutakuwa chadema halisi lkn team Mbowe wataanza kumhujumu
Ndiyo ukweliNdio hizi aibu tunazosema kama Mbowe angetumia busara angeziepuka.
Lissu amesema alikuwa anaandaa watu aliosema walimuomba aendelee kuwa Mwenyekiti, nimecheka sana.
Haya ni mambo ya kawaida, hata huko CCM tulizisikia sauti za maongezi ya Nape, Mzee Makamba, Kinana n.kNadhani washindane kwa hoja wasiinufaishe CCM wakati wa kampeni
kama mbowe anaendelea kung'ang'ania kiti, hata ikifa sawa tu, itakuwa na faida gani sasa kuwepo.Chedema inaenda kufa, inahitajika nguvu ya ziada Sana kuijenga Imani tena kwa wananchi
Ataonyesha video ya Mbowe jinsi alivyombeba, kumpandisha ndege na kukaa na Hospital na kumlinda dhidi ya maadui zake? Na tap ya Dr slaa kusema Lissu kajipiga risasi itatolewa?"...unadhani Lisu ameingia kichwa kichwa kugombea! Jamaa walijipanga muda sana baada ya kutoridhishwa na mambo yasiyo ya upinzani wa KWELI wa Mbowe. La mno hasa ni baada ya kila dalili kuonyesha Mbowe yupo upande wa Serikali."
"...kuanzia tarehe 10 na KUENDELEA, jamaa wataanza kwa ushahidi kuonyesha ni kwa namna gani Mbowe ni mafia na asiye maanisha kuwa mpinzani wa CCM."
Duru.
Kwani walikuwa wanagombea pamoja?Haya ni mambo ya kawaida, hata huko CCM tulizisikia sauti za maongezi ya Nape, Mzee Makamba, Kinana n.k
Mbowe angetumia busara akaachana na hii kitukama mbowe anaendelea kung'ang'ania kiti, hata ikifa sawa tu, itakuwa na faida gani sasa kuwepo.
Kwani kumsaidia mtu kunamaanisha uwe mtumwa kwake?Ataonyesha video ya Mbowe jinsi alivyombeba, kumpandisha ndege na kukaa na Hospital na kumlinda dhidi ya maadui zake? Na tap ya Dr slaa kusema Lissu kajipiga risasi itatolewa?
Tulia ukweli tuujue.jamani kuna maisha baada ya uchaguzi .Acheni utoto ,kuweni wanaume yaani tabia kama za kike duu sikujua wanaume wamekuwa hivyo kuna vitu mezeene basi
Kila Kitu kiwekwe wazi Ili kuwapa Wepesi WajumbeNadhani washindane kwa hoja wasiinufaishe CCM wakati wa kampeni
Makonda alimpiga LisuKila Kitu kiwekwe wazi Ili kuwapa Wepesi Wajumbe
Mfano nani alimpiga Risasi Tundu Lisu na kumtorosha dereva wake? Nk....nk
Inapona kwa kuzaliwa upya. Ni lazima cha zamani kife ili kipya kistawi.Sioni Chadema ikipona, japo Lissu akichukua nafasi ya uenyekiti kutakuwa chadema halisi lkn team Mbowe wataanza kumhujumu
kama si mpinzani ni nani?"...unadhani Lisu ameingia kichwa kichwa kugombea! Jamaa walijipanga muda sana baada ya kutoridhishwa na mambo yasiyo ya upinzani wa KWELI wa Mbowe. La mno hasa ni baada ya kila dalili kuonyesha Mbowe yupo upande wa Serikali."
"...kuanzia tarehe 10 na KUENDELEA, jamaa wataanza kwa ushahidi kuonyesha ni kwa namna gani Mbowe ni mafia na asiye maanisha kuwa mpinzani wa CCM."
Duru.