Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
"...unadhani Lissu ameingia kichwa kichwa kugombea! Jamaa walijipanga muda sana baada ya kutoridhishwa na mambo yasiyo ya upinzani wa KWELI wa Mbowe. La mno hasa ni baada ya kila dalili kuonyesha Mbowe yupo upande wa Serikali."
"...kuanzia tarehe 10 na KUENDELEA, jamaa wataanza kwa ushahidi kuonyesha ni kwa namna gani Mbowe ni mafia na asiye maanisha kuwa mpinzani wa CCM."
Duru.
"...kuanzia tarehe 10 na KUENDELEA, jamaa wataanza kwa ushahidi kuonyesha ni kwa namna gani Mbowe ni mafia na asiye maanisha kuwa mpinzani wa CCM."
Duru.