Konda wa bajaj
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 604
- 918
Bora iwe hivyo ili tugawane mbao maana huyu Museveni Mbowe sioni akiachia saccos yake kizembe."...unadhani Lisu ameingia kichwa kichwa kugombea! Jamaa walijipanga muda sana baada ya kutoridhishwa na mambo yasiyo ya upinzani wa KWELI wa Mbowe. La mno hasa ni baada ya kila dalili kuonyesha Mbowe yupo upande wa Serikali."
"...kuanzia tarehe 10 na KUENDELEA, jamaa wataanza kwa ushahidi kuonyesha ni kwa namna gani Mbowe ni mafia na asiye maanisha kuwa mpinzani wa CCM."
Duru.
ccm inacheki kwa makini kukusanya data kuja kuzitumia kuimaliza mazima chadema kwenye kampeni za uchaguzi mkuu ujao. Kwa mbowe imeisha hiyo ila kwa lissu kutakuwa na shughuli pevuNadhani washindane kwa hoja wasiinufaishe CCM wakati wa kampeni
na ajue chama kitamfiaMbowe hatokubali kuachia chama
Kwa Mbowe ukweli tumepigwa hakuna namna ya kumchomoa kwenye kampeni hata ubunge hapaticcm inacheki kwa makini kukusanya data kuja kuzitumia kuimaliza mazima chadema kwenye kampeni za uchaguzi mkuu ujao. Kwa mbowe imeisha hiyo ila kwa lissu kutakuwa na shughuli pevu
Asee siku zinaenda kasi snHapo mwanzo watu waliokuwa wakigombea na Mbowe walikuwa wakigeuziwa kibao na kuitwa mapandikizi ya CCM.
Sasa hivi Mbowe ndio anaitwa pandikizi la mfumo😂😂
Asee siku zinaenda kasi sn
una ushahidi?Makonda alimpiga Lisu
Hata mumeo anao ushahidiuna ushahidi?
Mchimba kaburi anaingia mwenyewe ,muoshwa huoshwa, kila kitu kina mwanzo na mwisho, mtumbuizaji mzuri anajua mda wa kushuka kwenye jukwaa.Hapo mwanzo watu waliokuwa wakigombea na Mbowe walikuwa wakigeuziwa kibao na kuitwa mapandikizi ya CCM.
Sasa hivi Mbowe ndio anaitwa pandikizi la mfumo😂😂
My assumption; Kuna Kila dalili ilitengenezwa TUNDU LISSU,Kukosa M/Mwenyekiti alafu asipate ugombea Uraisi tiketi ya Chadema na badae wamwingize kwenye kikao Cha maadili akiwa kama mwanachama wakawaida hapewe kalipio anyimwe Kila kitu,sema Tundu lissu akashituka lolote na liwe nadhani wamemkoraga wenywe jamaa ni muungwana sana asingetaka kushindana na Mbowe Kuna planned plot walitaka kumfanyiaMbowe hatokubali kuachia chama
Tatizo Lisu haaminiki maana ni mropokaji.Mbowe angetumia busara akaachana na hii kitu
Kama aliweza kuonesha upendo huu kwa mwenzake, anaona taabu gani kulindiana heshima kwa kujadiliana namna njema ya kukipeleka mbele chama badala kukiharibu...?Ataonyesha video ya Mbowe jinsi alivyombeba, kumpandisha ndege na kukaa na Hospital na kumlinda dhidi ya maadui zake? Na tap ya Dr slaa kusema Lissu kajipiga risasi itatolewa?