Tetesi: Duru: Kuanzia tarehe 10 Januari upande wa Lissu utaanza kuachia tape za ushahidi wa umafia wa Mbowe

Tetesi: Duru: Kuanzia tarehe 10 Januari upande wa Lissu utaanza kuachia tape za ushahidi wa umafia wa Mbowe

"...unadhani Lisu ameingia kichwa kichwa kugombea! Jamaa walijipanga muda sana baada ya kutoridhishwa na mambo yasiyo ya upinzani wa KWELI wa Mbowe. La mno hasa ni baada ya kila dalili kuonyesha Mbowe yupo upande wa Serikali."

"...kuanzia tarehe 10 na KUENDELEA, jamaa wataanza kwa ushahidi kuonyesha ni kwa namna gani Mbowe ni mafia na asiye maanisha kuwa mpinzani wa CCM."

Duru.
Bora iwe hivyo ili tugawane mbao maana huyu Museveni Mbowe sioni akiachia saccos yake kizembe.
 
Hapo mwanzo watu waliokuwa wakigombea na Mbowe walikuwa wakigeuziwa kibao na kuitwa mapandikizi ya CCM.

Sasa hivi Mbowe ndio anaitwa pandikizi la mfumo😂😂

Mchimba kaburi anaingia mwenyewe ,muoshwa huoshwa, kila kitu kina mwanzo na mwisho, mtumbuizaji mzuri anajua mda wa kushuka kwenye jukwaa.
HII MISEMO NA NAHAU MBOWE AIJUI NA HATAKI KUIJUA
 
Mtu akijitambua, Hujiondoa ktk kundi na kuanzisha kundi lenye mtazamo ule anataka.
.........CCM Ina wenyewe
.......Chadema ina wenyewe.
Lissu Hapaswi Kurekebisha Yaliyomo Ndani ya Chadema.
.......Aondoke akaanzishe chama chake kama anaona Kuanzisha chama na kukiimalisha ni Rahisi.N
#Ni Mtazamo wangu tu.
#Mimi Ni Mfuasi wa Lissu kwenye chama chake kipya.
#Ubaya Ubwela
#Usimkunje sana Mke wa Mtu, usije tengenezewa Fitina Ukakunjwa ww, Tafuta Mke wako Umkunje polepole.
 
Mbowe hatokubali kuachia chama
My assumption; Kuna Kila dalili ilitengenezwa TUNDU LISSU,Kukosa M/Mwenyekiti alafu asipate ugombea Uraisi tiketi ya Chadema na badae wamwingize kwenye kikao Cha maadili akiwa kama mwanachama wakawaida hapewe kalipio anyimwe Kila kitu,sema Tundu lissu akashituka lolote na liwe nadhani wamemkoraga wenywe jamaa ni muungwana sana asingetaka kushindana na Mbowe Kuna planned plot walitaka kumfanyia
 
Ataonyesha video ya Mbowe jinsi alivyombeba, kumpandisha ndege na kukaa na Hospital na kumlinda dhidi ya maadui zake? Na tap ya Dr slaa kusema Lissu kajipiga risasi itatolewa?
Kama aliweza kuonesha upendo huu kwa mwenzake, anaona taabu gani kulindiana heshima kwa kujadiliana namna njema ya kukipeleka mbele chama badala kukiharibu...?

Huwezi kutumia hisani au msaada wako ulioutoa kwa hiari na kwa moyo wako kutaka kuwakanyaga wenzako uliowasaidia..!

Na sikiliza bwana...

Mungu muumba Yehova kwa nguvu na uwezo wake ndiye aliyeutunza na kuuweka uhai wa Tundu Lissu mpaka leo na itaendelea hivyo mpaka atakavyoamua yeye vinginevyo...

Hao mikono iliyotumika kuokoa uhai wake ilikuwa just by the way tu...

Sifa, heshima, uwezo, adhama na utukufu ni kwa <Mungu Yehova muumba wa mbingu na nchi...

Mungu amemweka Tundu Lissu hai mpaka leo na mpaka kesho kwa kusudi maalumu.,

Alisema maneno haya siku ile mara baada ya wauaji hawa kudhani wameshaua na wamemaliza kazi yao waliyotumwa na yule shetani".....I SURVIVED TO TELL THE TALE..." and here we are now listening and seeing everything with our naked eyes...!!
 
TAL ana chuki hata kama AIKAELI akiamua kumuachia uenyekiti bado ataendelea kumpaka matope, hapa bora AIKAELI asiruhusu kabisa mtu huyu kupata hicho cheo
 
Kupamvana na mbowe ni kupambana na serikali, mkiachia hizo tape serikali itatia mkono
 
Back
Top Bottom