Tetesi: Duru: Kuanzia tarehe 10 Januari upande wa Lissu utaanza kuachia tape za ushahidi wa umafia wa Mbowe

Mbowe amejimilikisha CHADEMA na siyo mali ya wana chama tena
 
Binafsi huu ni wakati sahihi wa lissu kuwa top leader maana mbowe anakula huku na huku na lissu ndio mtu sahihi ambae naweza kuichallenge hii serikali ya huyu mama yenu
 
Hata ule mpango wa kumdhuru/kumuua kisha watu wema ndani ya serikali wakazilikisha taarifa hizo ni sehemu ya kampeni hizi ovu dhidi ya CHADEMA kwa ujumla...

Sitasita kuamini tukiambiwa "Wasiojulikana wa CCM/Serikali" wanashirikiana na baadhi ya viongozi wakubwa kwa kutumia fedha za Abdul ndani ya CHADEMA kwenyewe huku mratibu mkuu wa mipango hiyo miovu ya mauji akiwa Freeman Mbowe...!!

Chanzo na sababu ya haya yote ni nini? ETI NI UENYEKITI WA CHADEMA....!!!! That's too bad...

Narudia kwa mambo yanavyo unfold sasa, I won't be surprised at all kusikia mzee wa kazi FAM anahusika na ujinga huu...
 
Viwanda vya uchonganishi hamjalaa mbali na hii issue😇😅
 
Hapo mwanzo watu waliokuwa wakigombea na Mbowe walikuwa wakigeuziwa kibao na kuitwa mapandikizi ya CCM.

Sasa hivi Mbowe ndio anaitwa pandikizi la mfumo😂😂

Hahahaha mbavu zangu mie yaaani upepo umebadilika balaa sasa hivi mboe hatoboi kbs
 
Lisu ni mtu wa machafuko nnchini hafai kuwa kiongozi wa chama Chochote Cha siasa
 
Chochea kuni za mti wa mkuza hadi moto uyeyushe chuma na kutenga makapi pembeni na sura halisi za kila kiongozi na mfuasi wa CDM wa ufipa na maji maji zionekana bayana
 
Hahahaha mbavu zangu mie yaaani upepo umebadilika balaa sasa hivi mboe hatoboi kbs
Kuna wanachama nimeona mtandaoni wanasema Mbowe aondoke aende CCM. Nimecheka sana.
 
Ndio hizi aibu tunazosema kama Mbowe angetumia busara angeziepuka.

Lissu amesema Mbowe alikuwa anaandaa watu aliosema walimuomba aendelee kuwa Mwenyekiti, nimecheka sana.
Tetesi toka Twitter kuwa kuna mtu kalambishwa asali ya 12B+ hiyo asali unaionaje? Ingekuwa wewe ungeiacha 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…