Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mbowe amejimilikisha CHADEMA na siyo mali ya wana chama tenaMy assumption; Kuna Kila dalili ilitengenezwa TUNDU LISSU,Kukosa M/Mwenyekiti alafu asipate ugombea Uraisi tiketi ya Chadema na badae wamwingize kwenye kikao Cha maadili akiwa kama mwanachama wakawaida hapewe kalipio anyimwe Kila kitu,sema Tundu lissu akashituka lolote na liwe nadhani wamemkoraga wenywe jamaa ni muungwana sana asingetaka kushindana na Mbowe Kuna planned plot walitaka kumfanyia