Tetesi: Duru: Kuanzia tarehe 10 Januari upande wa Lissu utaanza kuachia tape za ushahidi wa umafia wa Mbowe

jamani kuna maisha baada ya uchaguzi .Acheni utoto ,kuweni wanaume yaani tabia kama za kike duu sikujua wanaume wamekuwa hivyo kuna vitu mezeene basi
Unamsimanga nani sasa
 
Tunasubiri.
 
Huyo Mangi CHADEMA ni Duka lake sisi tunapiteza muda wetu na kuwindwa kama Digidigi.
Ni tetesi tu kuwa kuna mtu kalambishwa asali ya 12B+ inawezekana ni ukweli au ni uzushi. Pia inawezekana hiyo 12B+ ni advansi inawezekana kuna asali nono itakuja baadae 🤣



Hii 12B+ Ni tetesi tu inawezekana ni uongo au ukweli 🤣
 
Well said 👏
 
Lisu anataka machafuko katika nchi hii kwa masilahi yake binafsi.Anaamini mtutu wa bunduki tu kufikia malengo.Mungu tuepushie hili janga
Mtutu wa Bunduki utoke wapi Tanzania hii???? Jamii ya kitanzania ni yakioga Hilo sahau sio Kwa generations yetu labda century to come.
 
Ni tetesi tu kuwa kuna mtu kalambishwa asali ya 12B+ inawezekana ni ukweli au ni uzushi. Pia inawezekana hiyo 12B+ ni advansi inawezekana kuna asali nono inatuja baadae 🤣



Hii 12B+ Ni tetesi tu inawezekana ni uongo au ukweli 🤣
Sultani Mangi kung'ang'ania kiti ndio kunazidi kufanya hizi rumours kuonekana ukweli 20yrs kashupaza shingo tu.
 
"...kuanzia tarehe 10 na KUENDELEA, jamaa wataanza kwa ushahidi kuonyesha ni kwa namna gani Mbowe ni mafia na asiye maanisha kuwa mpinzani wa CCM."

Duru.
Rev aliyasema haya kitambo
 
Sultani Mangi kung'ang'ania kiti ndio kunazidi kufanya hizi rumours kuonekana ukweli 20yrs kashupaza shingo tu.
Hizi tetesi za mtu kulambishwa asali ya 12B+ inawezekana ni uongo au ukweli 🤣, ila 12B+ sio pesa ya kitoto 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…