Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamsimanga nani sasajamani kuna maisha baada ya uchaguzi .Acheni utoto ,kuweni wanaume yaani tabia kama za kike duu sikujua wanaume wamekuwa hivyo kuna vitu mezeene basi
Kuwa?Dr Slaa alishasema ama na yeye humuamini?
Tetesi toka Twitter zinasema kuna mtu kalambishwa asali ya 12B+ 🤣🤣Msimfanye Mangi akaitapika asali, kumbuka asali ikikupalia inaweza kukua.
Wewe hufai hata kuongoza kuku ,shut upLisu ni mtu wa machafuko nnchini hafai kuwa kiongozi wa chama Chochote Cha siasa
Huyo Mangi CHADEMA ni Duka lake sisi tunapoteza muda wetu na kuwindwa kama Digidigi.Tetesi toka Twitter zinasema kuna mtu kalambishwa asali ya 12B+ 🤣🤣
Tunasubiri."...unadhani Lissu ameingia kichwa kichwa kugombea! Jamaa walijipanga muda sana baada ya kutoridhishwa na mambo yasiyo ya upinzani wa KWELI wa Mbowe. La mno hasa ni baada ya kila dalili kuonyesha Mbowe yupo upande wa Serikali."
"...kuanzia tarehe 10 na KUENDELEA, jamaa wataanza kwa ushahidi kuonyesha ni kwa namna gani Mbowe ni mafia na asiye maanisha kuwa mpinzani wa CCM."
Duru.
Ni tetesi tu kuwa kuna mtu kalambishwa asali ya 12B+ inawezekana ni ukweli au ni uzushi. Pia inawezekana hiyo 12B+ ni advansi inawezekana kuna asali nono itakuja baadae 🤣Huyo Mangi CHADEMA ni Duka lake sisi tunapiteza muda wetu na kuwindwa kama Digidigi.
Well said 👏Kama aliweza kuonesha upendo huu kwa mwenzake, anaona taabu gani kulindiana heshima kwa kujadiliana namna njema ya kukipeleka mbele chama badala kukiharibu...?
Huwezi kutumia hisani au msaada wako ulioutoa kwa hiari na kwa moyo wako kutaka kuwakanyaga wenzako uliowasaidia..!
Na sikiliza bwana...
Mungu muumba Yehova kwa nguvu na uwezo wake ndiye aliyeutunza na kuuweka uhai wa Tundu Lissu mpaka leo na itaendelea hivyo mpaka atakavyoamua yeye vinginevyo...
Hao mikono iliyotumika kuokoa uhai wake ilikuwa just by the way tu...
Sifa, heshima, uwezo, adhama na utukufu ni kwa <Mungu Yehova muumba wa mbingu na nchi...
Mungu amemweka Tundu Lissu hai mpaka leo na mpaka kesho kwa kusudi maalumu.,
Alisema maneno haya siku ile mara baada ya wauaji hawa kudhani wameshaua na wamemaliza kazi yao waliyotumwa na yule shetani".....I SURVIVED TO TELL THE TALE..." and here we are now listening and seeing everything with our naked eyes...!!
Lisu anataka machafuko katika nchi hii kwa masilahi yake binafsi.Anaamini mtutu wa bunduki tu kufikia malengo.Mungu tuepushie hili jangaWewe hufai hata kuongoza kuku ,shut up
Mtutu wa Bunduki utoke wapi Tanzania hii???? Jamii ya kitanzania ni yakioga Hilo sahau sio Kwa generations yetu labda century to come.Lisu anataka machafuko katika nchi hii kwa masilahi yake binafsi.Anaamini mtutu wa bunduki tu kufikia malengo.Mungu tuepushie hili janga
Sultani Mangi kung'ang'ania kiti ndio kunazidi kufanya hizi rumours kuonekana ukweli 20yrs kashupaza shingo tu.Ni tetesi tu kuwa kuna mtu kalambishwa asali ya 12B+ inawezekana ni ukweli au ni uzushi. Pia inawezekana hiyo 12B+ ni advansi inawezekana kuna asali nono inatuja baadae 🤣
Hii 12B+ Ni tetesi tu inawezekana ni uongo au ukweli 🤣
Rev aliyasema haya kitambo"...kuanzia tarehe 10 na KUENDELEA, jamaa wataanza kwa ushahidi kuonyesha ni kwa namna gani Mbowe ni mafia na asiye maanisha kuwa mpinzani wa CCM."
Duru.
Wakisikia mlio wa manati tu wote wanakimbiaMtutu wa Bunduki utoke wapi Tanzania hii???? Jamii ya kitanzania ni yakioga Hilo sahau sio Kwa generations yetu labda century to come.
Mwambie huyu wanakuza ujinga tu Ili mtu aonekana mkaidi,Wakisikia mlio wa manati tu wote wanakimbia
Hapo wanapigania maslahi yao na si chama.Nadhani washindane kwa hoja wasiinufaishe CCM wakati wa kampeni
Hizi tetesi za mtu kulambishwa asali ya 12B+ inawezekana ni uongo au ukweli 🤣, ila 12B+ sio pesa ya kitoto 🤣Sultani Mangi kung'ang'ania kiti ndio kunazidi kufanya hizi rumours kuonekana ukweli 20yrs kashupaza shingo tu.
Well.. 12B ni pesa nyingi sana lakini pia sio ajabu.Hizi tetesi za mtu kulambishwa asali ya 12B+ inawezekana ni uongo au ukweli 🤣, ila 12B+ sio pesa ya kitoto 🤣
Je kama hiyo 12B ni advansi tu na kama akifanikiwa kumzuia Lissu kugombea urais atapewa asali kiasi gani? 🤣Well.. 12B ni pesa nyingi sana lakini pia sio ajabu.