Tetesi: Duru: Sugu, Wenje, Kigaila na Mwalimu kuhamia CCM

Wengi wataondoka na itashangaza wengi wanaodhani Lisu atakuwa shujaa mwokozi wa chadema.
 
Hizo ndiyo sera zao za kumpigia kampeni Mbowe?
 
CCM wana mkutano Mkuu au genge?? Mkutano ambao maamuzi yanatolewa na MTU mmoja
 
Tetesi hii ina mashiko kutokana na yanayoendelea Cdm.

Hata ikitokea kuwa kweli raia hatutashangaa wala kuanza kujiuliza mara2mbili.
 
Tunawatakia safari njema huko waendako..
 


Yeyote anayehamia ccm hakuwa mpinzani, ndiyo maana namheshimu sana Lema!
 
Mods mnaiua JF, kuna ujinga mwingine msiruhusu uandikwe hapa, mtabaki na wajinga kwenye platform hii! maana mtu mwenye akilii ataona hakuna la maana JF!
 
🤔 🤔 🤔 💭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…