Tetesi: Duru: Sugu, Wenje, Kigaila na Mwalimu kuhamia CCM

Kwa mujibu wa mnyetishaji aliye karibu na mmoja wa wale Wabunge (Covid 19) amedai Wajumbe hao wa Kamati Kuu ya Chadema wameshakubaliana endapo Lissu ataibuka mshindi wa kiti cha Mwenyekiti wa Chadema Taifa pasi na kusubiri hata siku moja mbele watatangaza kuhamia CCM.

Moja ya mke wake si Mbunge katika wale Covid, ndiyo katujuza hapa, tayari Mr wake na hao wenzake wametengeneza Group na wameshakubaliana endapo Tundu akishinda mara moja wataomba kupokewa huko CCM. Wazi wanatambua Tundu atawala kichwa mapema tu na ndiyo maana hawana amani kabisa."

Wanne hao tayari wana Group la sogozi na tayari mipango ya kukimbilia CCM walishaanza kuifanya kwa kuwasiliana na Makalla na usishangae hata Mkutano Mkuu wa CCM ujao pale Dodoma baadhi yao wanaweza kuibukia huko hiyo siku."

Duru.

cdm chini ya Lisu itakuwa na nguvu zaidi ya Ile ya kipindi cha Dr Slaa. wala rushwa na mafisadi yaondoke!
 
Kwa mujibu wa mnyetishaji aliye karibu na mmoja wa wale Wabunge (Covid 19) amedai Wajumbe hao wa Kamati Kuu ya Chadema wameshakubaliana endapo Lissu ataibuka mshindi wa kiti cha Mwenyekiti wa Chadema Taifa pasi na kusubiri hata siku moja mbele watatangaza kuhamia CCM.

Moja ya mke wake si Mbunge katika wale Covid, ndiyo katujuza hapa, tayari Mr wake na hao wenzake wametengeneza Group na wameshakubaliana endapo Tundu akishinda mara moja wataomba kupokewa huko CCM. Wazi wanatambua Tundu atawala kichwa mapema tu na ndiyo maana hawana amani kabisa."

Wanne hao tayari wana Group la sogozi na tayari mipango ya kukimbilia CCM walishaanza kuifanya kwa kuwasiliana na Makalla na usishangae hata Mkutano Mkuu wa CCM ujao pale Dodoma baadhi yao wanaweza kuibukia huko hiyo siku."

Duru.
Yaani walarushwa wanaenda nyumbani kwao

Alafu ccm watashangilia
 
Una matatizo wewe Covid 19 tulishawafukuza tangu Mbowe yuko madarakani.

Lisu atahitimisha tuu
Hii nyumbu haieleweki inasema nini! Unahusuka nà nini huko Chadema hadi uhusike kuwafukuza wake za viongozi wako?
 
Hawana madhara yoyote kwa chama, sioni impact ya sugu na hao wote hata bwana mayai, ispokuwa Lissu akiindoka chadema madhara na impact ni kubwa zaidi na inaweza kuvunja chama
 
Kwa mujibu wa mnyetishaji aliye karibu na mmoja wa wale Wabunge (Covid 19) amedai Wajumbe hao wa Kamati Kuu ya Chadema wameshakubaliana endapo Lissu ataibuka mshindi wa kiti cha Mwenyekiti wa Chadema Taifa pasi na kusubiri hata siku moja mbele watatangaza kuhamia CCM.

Moja ya mke wake si Mbunge katika wale Covid, ndiyo katujuza hapa, tayari Mr wake na hao wenzake wametengeneza Group na wameshakubaliana endapo Tundu akishinda mara moja wataomba kupokewa huko CCM. Wazi wanatambua Tundu atawala kichwa mapema tu na ndiyo maana hawana amani kabisa."

Wanne hao tayari wana Group la sogozi na tayari mipango ya kukimbilia CCM walishaanza kuifanya kwa kuwasiliana na Makalla na usishangae hata Mkutano Mkuu wa CCM ujao pale Dodoma baadhi yao wanaweza kuibukia huko hiyo siku."

Duru.
Waende tu
 
watakaribishwa ila vyeo ndio wasahau
 
Hili raia wengi walikuwa hawalijui.
Lema sasa kaja kulifurumua.
Lema kamwaga mboga na ugali vyote kwa pamoja, ni muda sn sikuelewa siasa anazofanya salim mwalimu, hata benson nae sio yule niliyekuwa namfahamu wamekuwa toomuch compromised, wake zao wamesaliti chama na wao bado ni viongozi wa juu wa chama ni lazima hali ya sintofahamu ijitokeze.

Jingine ni hili mdee kusheherkea mwaka mpya na mbowe nayo ina smell bad japo kibinaadam tunaona sio tatizo lkn kuna namna hali haikuwa nzuri kwa mustakhabali wa chama.

Siku ya mazishi ya mzee ally kibao wkt masauni anatoa hotuba watu walianza kumzomea na kumzodoa mara gafla sultani akaibuka na kuomba kipaza sauti kumkingia kifua masauni akiwataka watu waache kumzomea

Hayo na mengine mengi yanamnyima sultani uhalali wa kubaki kitini apumzike alee wajukuu
 
Back
Top Bottom