Tetesi: Duru: Sugu, Wenje, Kigaila na Mwalimu kuhamia CCM

Kule ACT, CHAUMA, NCCR wanasubiri wanachama wapya toka CHADEMA. Kama CCM nao watapata mgao wa wanachama hao poa tu, ifahamike kwamba wapiga kura wa uchaguzi mkuu watakuwa ni wanachama tu wa vyama watakaoenda kupiga kura kuchagua makada wao. mwananchi wa kawaida hatakuwa na muda wa kuchezea kupigia kura wanasiasa wanaohamahama vyama
 
Hahaha akili zenu Team Lisu ni kama za Team WEMA, matusi asubuhi mpaka jioni.
Hapo tusi liko wapi? Umeshamsikua Ntobi na Yericho Nyerere? Ila team Wema ni sifa? Tatizo hamtaki na hampendi kusikia chochote against Sultani Mbowe.
 
Hapo tusi liko wapi? Umeshamsikua Ntobi na Yericho Nyerere? Ila team Wema ni sifa? Tatizo hamtaki na hampendi kusikia chochote against Sultani Mbowe.
Kama Team Lisu msivyo taka kusikia chochote kuhusu Mtu mwenye uchu wa madaraka Tundu Lisu na genge lake. Na Sultani ni sifa? Hahaha.

Lisu hafai, aende TLS au akamsaidie Mwabukusu kwenye Samia Legal Aid, Siasa haziwezi.
 
Umeshawahi kumuona yule mzanzibari akipata misukosuko ya njagu?
 
Kama Team Lisu msivyo taka kusikia chochote kuhusu Mtu mwenye uchu wa madaraka Tundu Lisu na genge lake. Na Sultani ni sifa? Hahaha.

Lisu hafai, aende TLS au akamsaidie Mwabukusu kwenye Samia Legal Aid, Siasa haziwezi.
Kauli za wapumbavu, waliokubali kuhongwa na mama Abdul ndio wanaweza siasa?
Unakaa na manaibu katibu wakuu ambao wake zao ni wasaliti kama hamna ajenda moja ni nini?

Kukosa akili mtu aliyekaa kwenye madaraka 20+years na hataki mtu mwingine ashike madaraka anayemchallenge nani mwenye uchu wa madaraka?
 
Tatizo lenu, kila asiyewakubali Team Lisu anaambulia matusi, hicho chama mtatukanana asubuhi mpaka jioni na kitakufa tu. Wenye akili wote hawatabaki chadema.
 
Tatizo lenu, kila asiyewakubali Team Lisu anaambulia matusi, hicho chama mtatukanana asubuhi mpaka jioni na kitakufa tu. Wenye akili wote hawatabaki chadema.
Tatizo lenu kujiona mko smart na mna haki ya kumwambia yeyote chochote, umesema wanaomsapoti Lissu wamefanywa mapoyoyo is that right? Kama siyo upumbavu ni nini? Huo ni upumbavu bila kutafuna maneno and that is what you are!

Wenye akili timamu wanataka CHADEMA imara ambayo wako katika kujisafisha, mnamtaka yule ambaye atadance CCM tune mwenye courage ya kukataa na kukemea ni mropokaji na hafai, that is nosense.

Nikwambie kitu wajinga wabaki CCM maana CCM wako wanufaika wa mfumo kandamizi.
Wako chawa wanaotegemea FAVOUR za watawala kama makundi ya wasanii wasiojitambua kama Steven Nyerere na wenzake.
Lastly wajinga wanaopenda CCM kama mimi ninavyoipenda Yanga maana ukiniuliza kwa nini sijui.

Wenye uwezo wa kuhoji mfumo wa kipuuzi uliojengwa na CCM. Wanaochukizwa na mfumo huu wako CHADEMA, ondoka hatuhitaji wajinga.
 
CHADEMA ni PROJECT ya CCM tu, yaani ni ndugu moja wanaotufanyia maigizo na vijana wameingia kingi kwa kuwekeza mihemuko na hisia kwenye propaganda za watu,,, yaani wake za KIGAILA na MWALIM ni moja ya COVID 19 🤣 🤣 ..
 
Siku zote nuru na giza haziwezi kuchangamana,

Twende na Lissu
 
Waaache waende tu
 
T
CHADEMA ni PROJECT ya CCM tu, yaani ni ndugu moja wanaotufanyia maigizo na vijana wameingia kingi kwa kuwekeza mihemuko na hisia kwenye propaganda za watu,,, yaani wake za KIGAILA na MWALIM ni moja ya COVID 19 🤣 🤣 ..
TUmeshtuka sasa, paka wanakimbia mtungi umechemka
 
Tatizo lenu, kila asiyewakubali Team Lisu anaambulia matusi, hicho chama mtatukanana asubuhi mpaka jioni na kitakufa tu. Wenye akili wote hawatabaki chadema.
Tangu lini wala rushwa ndio wenye akili?

Na moja ya sifa kwa mwanaccm ni lazima awe mla rushwa, mwizi, fisadi na kila aina ya uchafu, hao ndio ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…