Hapa hatuweki mizani nani kasema nini. Lau kama kuna uzi wa hilo tualikeni tutachangia, tutachambua tukiweka utaifa mbele na si vyamaRitz naona unatoa desa kwa mbowe
haya hawayaoni hayawani hawa!!
g , unajua akina Mkandara wanatafuta mchawi asiyekuwepoMkandara kuna data nazitafuta ili nikuwekee apa hapa labda utanielewa ila mkoa kama KLM sio kwamba unapata mgawo mkubwa zaid kuliko mikoa mingine.
KLM wao kias wanchopata ata kamma kitaonekana ni kikubwa ni kwasabb pia huenda kupitisha bakuli huko mserikalin kuomba kuongezewa nguvu.
ninaoushahidi kwenye barabara ya km zaid ya 20 inayojengwa kwa kiwango cha lami, imagine kila household imechangia sh 40elf lkn pia wakasema sasa tuombe nguvu ya kumalizia walipokwenda kupitisha bakuli walihitaj kiasi kidogo tu kumalizia kazi mabayo tayari nguvu wanazo mkononi.
ukisema ujenzi wa shule nenda leo kapitie hesabu za serikali KLM ndo mkoa muliopokea hela ndogo kuliko ata Kagera lkn KLM wamejenga mashule mengi na yote yameisha ndani ya wakati tena yakiwa na maabara kumbuka kila wmanafunzi alikuwa anchanga elfu 10 ya maabara lkn pia kila mkristo na kila mwislam alichanga elfu 15 na kupewa risiti maabara zimekamilika tena well furnished nafkir Alinda amekujibu vyema zaid.............
kuna jambo moja ni kama vile ilivyo harusi ukiwa na kianzio kizuri possibilty ya kupata backup kubwa ni kubwa zaid kuliko ukiwa na kianzio kidogo
Zakumi,
Unaweza jitambulisha asili yako kwa namna unavyopenda utambuliwe lakini mwisho wa siku hakuna ushahidi juu ya hilo. Vinginevyo ulileta hoja kwamba hatujulikani humu, sasa umetujua na unaanza kujadili personalities instead of issues. Mbaya zaidi, unaanza kunijadili kwa mtindo ule ule wa kibaguzi wa Zitto wa kugawanya watanzania kati Ya sisi na wao. That's very shallow, least to say.
Let's not derail from the main issue here.
Naomba nipe angalau sababu Tatu kwanini unadhani Zitto ni Mzalendo kwa Nchi yake.
Naomba Pia unitajie masuala matatu ambayo Zitto katika ziara yake mikoani wiki jana unadhani hajadanganya umma for political gain.
Vile vile naomba unisaidie na mchanganuo wa sources of funds ambazo ACT inazitumia katika ziara Zake Nchi nzima.
Mwisho, je Chama ambacho msajili wa vyama vya Siasa anakitambua Rasmi kwenye database yake ni
ACT Tanzania au ACT Wazalendo?
Cc Ritz
Ritz naona unatoa desa kwa mbowe
haya hawayaoni hayawani hawa!!
Mkandara kuna data nazitafuta ili nikuwekee apa hapa labda utanielewa ila mkoa kama KLM sio kwamba unapata mgawo mkubwa zaid kuliko mikoa mingine.
KLM wao kias wanchopata ata kamma kitaonekana ni kikubwa ni kwasabb pia huenda kupitisha bakuli huko mserikalin kuomba kuongezewa nguvu.
ninaoushahidi kwenye barabara ya km zaid ya 20 inayojengwa kwa kiwango cha lami, imagine kila household imechangia sh 40elf lkn pia wakasema sasa tuombe nguvu ya kumalizia walipokwenda kupitisha bakuli walihitaj kiasi kidogo tu kumalizia kazi mabayo tayari nguvu wanazo mkononi.
ukisema ujenzi wa shule nenda leo kapitie hesabu za serikali KLM ndo mkoa muliopokea hela ndogo kuliko ata Kagera lkn KLM wamejenga mashule mengi na yote yameisha ndani ya wakati tena yakiwa na maabara kumbuka kila wmanafunzi alikuwa anchanga elfu 10 ya maabara lkn pia kila mkristo na kila mwislam alichanga elfu 15 na kupewa risiti maabara zimekamilika tena well furnished nafkir Alinda amekujibu vyema zaid.............
kuna jambo moja ni kama vile ilivyo harusi ukiwa na kianzio kizuri possibilty ya kupata backup kubwa ni kubwa zaid kuliko ukiwa na kianzio kidogo
Daa!!! Nguruvi3.Hapa hatuweki mizani nani kasema nini. Lau kama kuna uzi wa hilo tualikeni tutachangia, tutachambua tukiweka utaifa mbele na si vyama
Hoja iliyopo mezani na ambayo nimekuuliza na hujajibu ni hii
''Je, unaamini matatizo ya wananchi wa Shinyanga yanaletwa na wananchi wa Arusha na Kilimanjaro'' kama anavyodai supreme leader Zitto.
Nguruvi3,
Wewe na Mchambuzi nawaomba moja tu.. Maadam mnadai kwa uhakika kwamba Zitto hakuangalia vigezo hivyo basi nyie mlovitazama nawaomba tupeni hapa uchambuzi ulotumika hadi Kilimanjaro kupewa zaidi ya Shinyanga. It's simple as that ikiwa kweli Zitto hakuvitazama results zenu zitaonyesha tofauti.. mwageni hapa takwimu zenu ambazo Zitto hakuziona nasi Tuzitazame..
Thank you Sir!This is the deal. If other parts of the country want to develop, people in those areas should be doing exactly what people of KLM do. People of KLM have formal and informal institutions or traditions that have helped them enormously. Other parts of the country wait for the government to decide their fate.
Some of those institutions and traditions have some sort of Ukabila. But that's the way it should be. If you want local people to take control of their own destiny, you have to accept some sorts of local flavors, ukabila included. However, if you want the entire nation in unison, then you will have to wait for another 1000 years.
Mkuu umemamiza ubishi kwa takwimu hizi ila na wewe umekosea kusem GDP maana hiz ni real contribution za mikoa kwa TRA na ndizo nilizokuwa nazisubiria sio GDP maana GDP ni uongo na uzushi mtupu ambao hauna ukweli ktk pato la Taifa maana fedha nyingi zinakwenda nje. Nakumbuka vizuri sana kuwa mchango wa dhahabu ktk pato la Taifa ni chini ya asilimia 2, kama alivyosema JK wakati fulani..Kwa hiyo umenionyesha wazi kuwa Kilimanjatro inachangia zaidi ya Shinyanga wala sii kidogo tofauti ni kubwa sana.Mkandara,
Pengine wewe na Zitto wote mnahitaji elimu kidogo juu ya tofauti iliyopo baina ya Tax revenues & Gross Domestic Product (GDP). Kutojadili dhana hizi kwa kuzitofautisha ni kupotosha ukweli uliopo na pia kuchanganya wananchi. Hicho ndicho Zitto anajadili zaidi – anaipa GDP umuhimu kuliko Tax Revenues. Tuangalie dhana hizi japo kwa ufupi, moja baada ya nyingine.
Tuangalie dhana ya Tax Revenues" – hii maana yake ni individual income taxes, business income taxes and other taxes ambazo serikali hukusanya kupitia both direct and indirect channels. Kwahiyo Kodi zote zinazokusanywa na serikali kutoka kwa wamachinga wanaoendesha biashara zao, mapato kutoka kwenye kodi za mazao, kodi ya ongezeko la thamani (VAT), iwe ni kwa kununua vocha/airtime ya mtandao wa simu, mkate, maji ya uhai, mafuta ya taa, kibiriti, sabuni, zote hizi kwa ujumla wake ni tax revenues za serikali. Nadhani hadi hapa unaona jinsi gani katika mazingira ya nchi kama Tanzania, ‘tax revenues' zinagusa maisha ya wananchi walio wengi, moja kwa moja kuliko GDP. Tutaona kwa undani juu ya ukweli huu hapo chini.
Tukija kwenye dhana ya pili - pato la taifa (GDP), maana yake ni – total value (market value) of goods and services produced in a national economy. Uzalishaji katika kila sekta, kila mkoa unachukuliwa, aggregated na kupata ‘a national figure'. Kwa mfano tukichukulia Kanda ya Ziwa Victoria na Kanda ya Kaskazini, maana yake, tunachukua jumla ya uzalishaji uliofanyika katika sekta mbali mbali za uchumi husika i.e. sekta ya madini, viwanda, huduma za kibenki, huduma za mawasilano, kilimo, ufugaji, uvuvi n.k.
Swali linalofuata ni je, kati ya wananchi wa kanda ya Ziwa na kanda ya Kaskazini, ni wepi ambao wanashiriki zaidi katika uzalishaji (GDP) (in value added terms)? Ukweli ni kwamba, kwa sababu zilizo wazi, wananchi wa Kaskazini wapo more involved (in value added terms) katika GDP kuliko Kanda ya Ziwa. Tofauti na Kanda ya Ziwa, kwa Kanda ya Kazkazini, biashara kubwa kubwa, uwekezaji mkubwa, kwa kiasi kikubwa sana upo mikononi mwa wakazi wa Kanda hiyo, pengine kuliko kanda nyingine zote nchini Tanzania. Kwa upande wa kanda ya Ziwa, ni wananchi wachache sana ambao wanaomiliki njia kuu za uzalishaji/uchumi kwani njia kuu za uchumi Katika Kanda hii zimeshikiliwa zaidi na wageni (hasa wawekezaji kutoka nje), kwa mfano, madini, uvuvi, madini, n.k.
Hadi hapa nadhani tunaweza kuona kwamba (in real terms), mchango wa wananchi wa Kanda ya Kaskazini kwenye GDP ya taifa ni mkubwa kuliko wa Kanda ya Kaskazini. Kumbuka - hapa tunatofautisha baina ya ‘mchango wa Kanda' na ‘mchango wa wananchi wa Kanda' husika i.e real contribution. Zitto anafumbia macho real contribution ya wananchi, badala yake anajadili mchango wa geographic and physical features (kanda) bila ya kujali nani anamiliki njia kuu za uzalishaji au anashiriki ni real terms katika uzalishaji, na anaishia kulaumu kanda zenye mchango mkubwa wa "watu" katika pato la taifa kwamba ndio sababu ya umaskini wa kanda zilizojaliwa rasilimali lakini watu wake hawapo productive. Note, kuna tofauti baina ya being active and being productive.
Kama tupo pamoja hadi hapa, basi tutakubaliana kwamba pamoja na ukweli kwamba kanda ya ziwa victoria ina rasilimali nyingi kuliko kanda ya Kaskazini, haina maana kwamba wananchi wa kanda ya ziwa (majority) wana mchango mkubwa wa nguvu kazi (kwa maana ya utilization of such resources) in the process of kuchangia GDP. Their value remains more nominal than real. Hii ni tofauti na wananchi wa kanda ya Kaskazini. Kwa maana nyingine rahisi, wasukuma wamejaliwa rasilimali nyingi sana, mkoa wao unachangia sana pato la taifa, lakini tofauti na wasukuma, wachaga wapo more involved katika kuchangia katika pato la taifa kwa sababu ambazo tumejadili hapo juu.
Kwa maana hiyo, njia sahihi ya kuangalia mchango wa kanda moja dhidi ya nyingine, ni kwa kuangalia zaidi ‘Tax Revenues collected' (kwani hii inahuisha wananchi walio wengi),na sio mchango wao kwa pato la taifa. Utilization of natural resources ipo chini ya watu wachache kama tulivyojadili. Kwa kumalizia, tuangalie sana mchango wa kanda ya ziwa na kanda ya kaskazini katika makusanyo ya Kodi. I extracted sehemu ndogo tu ambayo bado inatupa picha kamili.
[TABLE="width: 570"]
[TR]
[TD="colspan: 5"]Direct Tax (Regional wise) - Domestic Revenue Department for 2012/2013[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TAX ITEM[/TD]
[TD="colspan: 4"] 1st Quarter 2012/13 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] July [/TD]
[TD] August [/TD]
[TD] September [/TD]
[TD] Total [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MJKNIA[/TD]
[TD] 4,439.4[/TD]
[TD] 4,951.6[/TD]
[TD] 3,842.0[/TD]
[TD] 13,233.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Arusha
[/TD]
[TD] 4,147.7
[/TD]
[TD] 3,195.3
[/TD]
[TD] 3,371.5
[/TD]
[TD] 10,714.5 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Coast[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] 69.9[/TD]
[TD] 74.1[/TD]
[TD] 144.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Dodoma[/TD]
[TD] 0.0[/TD]
[TD] 0.3[/TD]
[TD] 1.1[/TD]
[TD] 1.5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Iringa[/TD]
[TD] 7.4[/TD]
[TD] 28.8[/TD]
[TD] 13.9[/TD]
[TD] 50.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kagera[/TD]
[TD] 885.6[/TD]
[TD] 1,143.1[/TD]
[TD] 1,343.8[/TD]
[TD] 3,372.4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kigoma[/TD]
[TD] 36.9[/TD]
[TD] 243.3[/TD]
[TD] 178.0[/TD]
[TD] 458.2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kilimanjaro
[/TD]
[TD] 3,564.7
[/TD]
[TD] 3,765.7
[/TD]
[TD] 2,666.5
[/TD]
[TD] 9,996.8 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Lindi[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] 2.2[/TD]
[TD] 5.7[/TD]
[TD] 7.9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mara[/TD]
[TD] 4,146.7[/TD]
[TD] 4,703.0[/TD]
[TD] 4,603.2[/TD]
[TD] 13,453.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya[/TD]
[TD] 1,482.4[/TD]
[TD] 1,084.4[/TD]
[TD] 1,067.1[/TD]
[TD] 3,633.9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Morogoro[/TD]
[TD] 1.7[/TD]
[TD] 15.8[/TD]
[TD] 20.4[/TD]
[TD] 38.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mtwara[/TD]
[TD] 5.1[/TD]
[TD] 245.1[/TD]
[TD] 126.6[/TD]
[TD] 376.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwanza
[/TD]
[TD] 1,031.3
[/TD]
[TD] 910.1
[/TD]
[TD] 1,243.3
[/TD]
[TD] 3,184.7 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ruvuma[/TD]
[TD] 19.4[/TD]
[TD] 34.9[/TD]
[TD] 31.4[/TD]
[TD] 85.7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Shinyanga
[/TD]
[TD] 4.9
[/TD]
[TD] 14.1
[/TD]
[TD] 15.8
[/TD]
[TD] 34.8 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Singida[/TD]
[TD] 1.8[/TD]
[TD] 3.5[/TD]
[TD] 0.0[/TD]
[TD] 5.4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tabora[/TD]
[TD] 4.4[/TD]
[TD] 2.6[/TD]
[TD] 0.1[/TD]
[TD] 7.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tanga[/TD]
[TD] 883.5[/TD]
[TD] 3,197.6[/TD]
[TD] 4,517.9[/TD]
[TD] 8,599.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Rukwa[/TD]
[TD] 9.9[/TD]
[TD] 3.8[/TD]
[TD] 7.2[/TD]
[TD] 20.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Manyara[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] -[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TOTAL (GROSS)[/TD]
[TD] 20,672.9 [/TD]
[TD] 23,615.3 [/TD]
[TD] 23,129.6 [/TD]
[TD] 67,417.7
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]------[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 5"]Indirect Tax (Regional wise) - Domestic Revenue Department for 2012/2013[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TAX ITEM[/TD]
[TD="colspan: 4"] 1st Quarter 2012/13 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] July [/TD]
[TD] August [/TD]
[TD] September [/TD]
[TD] Total [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ilala[/TD]
[TD] 13,052.4[/TD]
[TD] 16,958.5[/TD]
[TD] 17,079.3[/TD]
[TD] 47,090.2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kinondoni[/TD]
[TD] 5,205.8[/TD]
[TD] 8,330.5[/TD]
[TD] 8,810.6[/TD]
[TD] 22,346.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Temeke[/TD]
[TD] 432.9[/TD]
[TD] 3,213.8[/TD]
[TD] 3,636.2[/TD]
[TD] 7,282.9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Arusha
[/TD]
[TD] 6,033.4
[/TD]
[TD] 5,208.5
[/TD]
[TD] 7,045.7
[/TD]
[TD] 18,287.6 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Coast[/TD]
[TD] 95.2[/TD]
[TD] 230.2[/TD]
[TD] 209.9[/TD]
[TD] 535.2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Dodoma[/TD]
[TD] 199.7[/TD]
[TD] 558.3[/TD]
[TD] 352.3[/TD]
[TD] 1,110.2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Iringa[/TD]
[TD] 415.5[/TD]
[TD] 766.6[/TD]
[TD] 506.0[/TD]
[TD] 1,688.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kagera[/TD]
[TD] 473.1[/TD]
[TD] 602.5[/TD]
[TD] 520.7[/TD]
[TD] 1,596.3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kigoma[/TD]
[TD] 157.5[/TD]
[TD] 195.4[/TD]
[TD] 188.1[/TD]
[TD] 541.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kilimanjaro
[/TD]
[TD] 1,060.9
[/TD]
[TD] 1,192.9
[/TD]
[TD] 1,298.7
[/TD]
[TD] 3,552.5 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Lindi[/TD]
[TD] 25.0[/TD]
[TD] 64.6[/TD]
[TD] 187.1[/TD]
[TD] 276.7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mara[/TD]
[TD] 388.4[/TD]
[TD] 447.3[/TD]
[TD] 324.0[/TD]
[TD] 1,159.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya[/TD]
[TD] 739.1[/TD]
[TD] 930.4[/TD]
[TD] 870.1[/TD]
[TD] 2,539.7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Morogoro[/TD]
[TD] 720.8[/TD]
[TD] 767.0[/TD]
[TD] 847.0[/TD]
[TD] 2,334.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mtwara[/TD]
[TD] 53.8[/TD]
[TD] 1,535.7[/TD]
[TD] 271.8[/TD]
[TD] 1,861.3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwanza
[/TD]
[TD] 1,231.5
[/TD]
[TD] 1,542.3
[/TD]
[TD] 1,831.3
[/TD]
[TD] 4,605.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ruvuma[/TD]
[TD] 165.3[/TD]
[TD] 212.8[/TD]
[TD] 210.9[/TD]
[TD] 588.9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Shinyanga
[/TD]
[TD] 531.3
[/TD]
[TD] 374.7
[/TD]
[TD] 264.4
[/TD]
[TD] 1,170.5 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Singida[/TD]
[TD] 103.5[/TD]
[TD] 108.2[/TD]
[TD] 138.2[/TD]
[TD] 349.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tabora[/TD]
[TD] 342.4[/TD]
[TD] 377.0[/TD]
[TD] 338.3[/TD]
[TD] 1,057.7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tanga[/TD]
[TD] 149.4[/TD]
[TD] 1,025.3[/TD]
[TD] 919.1[/TD]
[TD] 2,093.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Rukwa[/TD]
[TD] 93.1[/TD]
[TD] 122.4[/TD]
[TD] 122.9[/TD]
[TD] 338.4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Manyara[/TD]
[TD] 37.7[/TD]
[TD] 259.5[/TD]
[TD] 236.8[/TD]
[TD] 534.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TOTAL (GROSS)[/TD]
[TD] 31,707.6 [/TD]
[TD] 45,024.4 [/TD]
[TD] 46,209.5 [/TD]
[TD] 122,941.5 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]----------[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 5"]Customs and Excise (Regional wise) - Department for 2012/2013[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TAX ITEM[/TD]
[TD="colspan: 4"] 1st Quarter 2012/13 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] July [/TD]
[TD] August [/TD]
[TD] September [/TD]
[TD] Total [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]D'Salaam SC[/TD]
[TD] 206,972.3[/TD]
[TD] 233,347.1[/TD]
[TD] 209,441.3[/TD]
[TD] 649,760.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MJKNIA[/TD]
[TD] 4,439.4[/TD]
[TD] 4,951.6[/TD]
[TD] 3,842.0[/TD]
[TD] 13,233.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Arusha
[/TD]
[TD] 4,147.7
[/TD]
[TD] 3,195.3
[/TD]
[TD] 3,371.5
[/TD]
[TD] 10,714.5 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Coast[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] 69.9[/TD]
[TD] 74.1[/TD]
[TD] 144.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Dodoma[/TD]
[TD] 0.0[/TD]
[TD] 0.3[/TD]
[TD] 1.1[/TD]
[TD] 1.5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Iringa[/TD]
[TD] 7.4[/TD]
[TD] 28.8[/TD]
[TD] 13.9[/TD]
[TD] 50.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kagera[/TD]
[TD] 885.6[/TD]
[TD] 1,143.1[/TD]
[TD] 1,343.8[/TD]
[TD] 3,372.4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kigoma[/TD]
[TD] 36.9[/TD]
[TD] 243.3[/TD]
[TD] 178.0[/TD]
[TD] 458.2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kilimanjaro
[/TD]
[TD] 3,564.7
[/TD]
[TD] 3,765.7
[/TD]
[TD] 2,666.5
[/TD]
[TD] 9,996.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Lindi[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] 2.2[/TD]
[TD] 5.7[/TD]
[TD] 7.9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mara[/TD]
[TD] 4,146.7[/TD]
[TD] 4,703.0[/TD]
[TD] 4,603.2[/TD]
[TD] 13,453.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya[/TD]
[TD] 1,482.4[/TD]
[TD] 1,084.4[/TD]
[TD] 1,067.1[/TD]
[TD] 3,633.9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Morogoro[/TD]
[TD] 1.7[/TD]
[TD] 15.8[/TD]
[TD] 20.4[/TD]
[TD] 38.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mtwara[/TD]
[TD] 5.1[/TD]
[TD] 245.1[/TD]
[TD] 126.6[/TD]
[TD] 376.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwanza
[/TD]
[TD] 1,031.3
[/TD]
[TD] 910.1
[/TD]
[TD] 1,243.3
[/TD]
[TD] 3,184.7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ruvuma[/TD]
[TD] 19.4[/TD]
[TD] 34.9[/TD]
[TD] 31.4[/TD]
[TD] 85.7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Shinyanga
[/TD]
[TD] 4.9
[/TD]
[TD] 14.1
[/TD]
[TD] 15.8
[/TD]
[TD] 34.8 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Singida[/TD]
[TD] 1.8[/TD]
[TD] 3.5[/TD]
[TD] 0.0[/TD]
[TD] 5.4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tabora[/TD]
[TD] 4.4[/TD]
[TD] 2.6[/TD]
[TD] 0.1[/TD]
[TD] 7.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tanga[/TD]
[TD] 883.5[/TD]
[TD] 3,197.6[/TD]
[TD] 4,517.9[/TD]
[TD] 8,599.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Rukwa[/TD]
[TD] 9.9[/TD]
[TD] 3.8[/TD]
[TD] 7.2[/TD]
[TD] 20.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Manyara[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] -[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TOTAL (GROSS)[/TD]
[TD] 227,645.2 [/TD]
[TD] 256,962.4 [/TD]
[TD] 232,570.9 [/TD]
[TD] 717,178.5 [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Source: TRA
---------------
Mkandara,
Ukiangalia sample tu hapo utagundua haya:
1. Kanda ya Kaskazini inachangia zaidi katika direct taxes kuliko kanda ya Ziwa.
2. Kanda ya Kaskazini inachangia zaidi katika indirect taxes kuliko kanda ya ziwa.
3. Kanda ya kaskazini inachangia zaidi katika customs and excise kuliko Kanda ya Ziwa.
Kigoma ndio insignificant kabisa.
Je wewe, Zitto na wenzenu wengine hamuoni kwamba mnapotosha ukweli wa mambo?
Je, hamuoni kwamba in actual sense, wananchi wa kaskazini ndio wananyonywa zaidi na wananchi wa victoria kwa sababu mgao ambao zitto anaujadili basically unatokana na mapato ya kodi? Au Zitto anadhania GDP ni kitu kinachokusanywa hukusanywa?
Zitto atadanganya wengine, na kuwaaminisha nyinyi kwa kila kitu kwa sababu tu ni Zitto kasema. Tupo wachache ambao hatudanganyiki.
Naona Waberoya unajitahidi kwa nguvu sana kuuchafua mjadala kwa lugha za kuudhi. Kumbukumbu mada ni ACT Tanzania /Wazalendo mpini wa CCM kuumaliza upinzani nchini.
Mchambuzi.
Na hizi data hapa chini kuhusu mkoa wa Mtwara unakubaliana nazo.
"TRA Quaterly Revenue collection 2011_2011".-Mkoa wa Mtwara ni wa 7 katika kuchangia kwenye pato la taifa kwa kodi. Kwa lugha nyepesi ndio wanunuzi wakubwa wa mashangingi ya serikali, au ndiyo wachangiaji wakubwa wa mafuta ya Jet stream ahaa na posho za wabunge, looh na posho za vyama vya siasa.-Swali langu: Imekuwaje mbona hayo maendeleo waliyonyimwa tangu uhuru kwa kisingizio cha uchangiaji mdogo kwenye pato la taifa hayaletwi-hivi sasa tunapochangia kwa kiasi kikubwa au vigezo vimebadilika?Tafadhali naombeni mchango wenu na ushauri wenu kwa wana Mtwara.
Mkuu @Ritz kama umesoma kwa makini hoja za wanajamvi humu ndani, utakubaliana nao kuwa maendeleo ya watu wa Mtwara hayataletwa na mgao kutoka serikali kuu tu bali maendeleo ya watu wa Mtwara yanataletwa na wana Mtwara wenyewe na gawio ni nyongeza kwa ajili ya kufanya kile walichoshindwa wananchi kufanya. Kama umemsoma dada yangu gfsonwin ameeleza jinsi ndugu zetu wa Arusha wanavyochangia maendeleo yao, kila jumapili au Ijumaa baada ya swala/misa kuna kuwa na matangazo kuhusu michango ya ujenzi wa vitu mbali mbali.
Tukumbuke kuwa hawa wenzetu hata mabara bara wanajenga kwa nguvu zao wenyewe na pindi wanapokwama ndo ile gawio lao linapokuja kumalizia.
Hivyo basi ukichukulia mfano wa Arusha wao wanapo pata gawio lao hawalitumii katika kujenga mashule maana yalishajenga, au hopitali, ua kuzibia viraka vya barabarani bali wanalitumia katika miradi mikubwa mikubwa ni tofauti na Mtwara ua Kagera wao gawio lao wanalitumia "labda" katika kukwangua bara bara, kujenga shule, kununulia vifaa vya hospitali kulipa posho na nk. Na ndio maana ukichukua data za mwaka 2010 Kagera walipata gawio kubwa kuliko Arusha lakini Kagera aikuwa hata kwenye 10 bora. ila Arush ilikuwa ya 3 kwa maendeleo.
Nini wana Mtwara wafanye? Ni kujituma katika swala zima la kujiletea maendelea. wajenga mashule ya kutosha kwa ajili ya watoto wao, wajenge mahospitali ya kutosha, wanaMtwara walioko nje ya Mtwara wajenga makwao (hii itasaidia kupata ajira), watume hela makwao hii itasaidia pesa kupata mzunguko wa kutosha na pale patakapokuwepe na mzunguko mzuri wa pesa basi haitakuwa shida kwa mtu kuchangia maendeleo mbali mbali katika mji wake.
Na pesa zinazotoka serikali zitumike kama zilivyokusudiwa, kusiwepo kulipa posho ziszizo na maana, ufasadi wa baada ya viongozi upigwe vita na nk. Watu sio wa Mtwara tu tukifanya haya natumaini taifa letu linapiga hatua mbele.
Ila hili jadweli lako halisomiki kabisa sijui unaweza kulirekebisha kidogo maana ni majanga..
Nimeambatanisha jedwali la makusanyo kwa mujibu wa report za TRA:-www.tra.go.tz-RegionMillion TShsMillion TShsMillion TShsMillion TShsRankingDirect TaxIndirect TaxCustoms and ExciseTotalIlala56,801.932,545.3-89,347.21Kinondoni32,858.716,414.7-49,273.41Temeke12,987.010,677.7-23,664.61Arusha15,101.310,111.99,383.134,596.32Coast1,478.9562.491.12,132.5Dodoma3,787.61,385.817.55,190.8Iringa3,471.41,941.920.55,433.9Kagera967.11,082.91,938.73,988.7Kigoma694.5342.1786.51,823.1Kilimanjaro6,834.22,947.311,389.321,170.83Lindi284.2154.522.9461.5Mara1,264.0914.413,882.216,060.74Mbeya2,605.42,241.07,446.312,292.8Morogoro5,359.62,427.270.27,857.0Mtwara7,608.56,838.5270.414,717.47Mwanza8,905.03,889.94,577.317,372.25Ruvuma667.1469.832.71,169.6Shinyanga1,355.01,068.837.82,461.6Singida331.0269.151.3651.4Tabora1,087.4896.215.11,998.7Tanga2,849.72,231.89,755.714,837.36Rukwa748.1235.497.61,081.2Manyara686.2263.6-949.9.
Cc; Barubaru
Mkandara,
Pengine wewe na Zitto wote mnahitaji elimu kidogo juu ya tofauti iliyopo baina ya Tax revenues & Gross Domestic Product (GDP). Kutojadili dhana hizi kwa kuzitofautisha ni kupotosha ukweli uliopo na pia kuchanganya wananchi. Hicho ndicho Zitto anajadili zaidi – anaipa GDP umuhimu kuliko Tax Revenues. Tuangalie dhana hizi japo kwa ufupi, moja baada ya nyingine.
Tuangalie dhana ya Tax Revenues" – hii maana yake ni individual income taxes, business income taxes and other taxes ambazo serikali hukusanya kupitia both direct and indirect channels. Kwahiyo Kodi zote zinazokusanywa na serikali kutoka kwa wamachinga wanaoendesha biashara zao, mapato kutoka kwenye kodi za mazao, kodi ya ongezeko la thamani (VAT), iwe ni kwa kununua vocha/airtime ya mtandao wa simu, mkate, maji ya uhai, mafuta ya taa, kibiriti, sabuni, zote hizi kwa ujumla wake ni tax revenues za serikali. Nadhani hadi hapa unaona jinsi gani katika mazingira ya nchi kama Tanzania, ‘tax revenues' zinagusa maisha ya wananchi walio wengi, moja kwa moja kuliko GDP. Tutaona kwa undani juu ya ukweli huu hapo chini.
Tukija kwenye dhana ya pili - pato la taifa (GDP), maana yake ni – total value (market value) of goods and services produced in a national economy. Uzalishaji katika kila sekta, kila mkoa unachukuliwa, aggregated na kupata ‘a national figure'. Kwa mfano tukichukulia Kanda ya Ziwa Victoria na Kanda ya Kaskazini, maana yake, tunachukua jumla ya uzalishaji uliofanyika katika sekta mbali mbali za uchumi husika i.e. sekta ya madini, viwanda, huduma za kibenki, huduma za mawasilano, kilimo, ufugaji, uvuvi n.k.
Swali linalofuata ni je, kati ya wananchi wa kanda ya Ziwa na kanda ya Kaskazini, ni wepi ambao wanashiriki zaidi katika uzalishaji (GDP) (in value added terms)? Ukweli ni kwamba, kwa sababu zilizo wazi, wananchi wa Kaskazini wapo more involved (in value added terms) katika GDP kuliko Kanda ya Ziwa. Tofauti na Kanda ya Ziwa, kwa Kanda ya Kazkazini, biashara kubwa kubwa, uwekezaji mkubwa, kwa kiasi kikubwa sana upo mikononi mwa wakazi wa Kanda hiyo, pengine kuliko kanda nyingine zote nchini Tanzania. Kwa upande wa kanda ya Ziwa, ni wananchi wachache sana ambao wanaomiliki njia kuu za uzalishaji/uchumi kwani njia kuu za uchumi Katika Kanda hii zimeshikiliwa zaidi na wageni (hasa wawekezaji kutoka nje), kwa mfano, madini, uvuvi, madini, n.k.
Hadi hapa nadhani tunaweza kuona kwamba (in real terms), mchango wa wananchi wa Kanda ya Kaskazini kwenye GDP ya taifa ni mkubwa kuliko wa Kanda ya Kaskazini. Kumbuka - hapa tunatofautisha baina ya ‘mchango wa Kanda' na ‘mchango wa wananchi wa Kanda' husika i.e real contribution. Zitto anafumbia macho real contribution ya wananchi, badala yake anajadili mchango wa geographic and physical features (kanda) bila ya kujali nani anamiliki njia kuu za uzalishaji au anashiriki ni real terms katika uzalishaji, na anaishia kulaumu kanda zenye mchango mkubwa wa "watu" katika pato la taifa kwamba ndio sababu ya umaskini wa kanda zilizojaliwa rasilimali lakini watu wake hawapo productive. Note, kuna tofauti baina ya being active and being productive.
Kama tupo pamoja hadi hapa, basi tutakubaliana kwamba pamoja na ukweli kwamba kanda ya ziwa victoria ina rasilimali nyingi kuliko kanda ya Kaskazini, haina maana kwamba wananchi wa kanda ya ziwa (majority) wana mchango mkubwa wa nguvu kazi (kwa maana ya utilization of such resources) in the process of kuchangia GDP. Their value remains more nominal than real. Hii ni tofauti na wananchi wa kanda ya Kaskazini. Kwa maana nyingine rahisi, wasukuma wamejaliwa rasilimali nyingi sana, mkoa wao unachangia sana pato la taifa, lakini tofauti na wasukuma, wachaga wapo more involved katika kuchangia katika pato la taifa kwa sababu ambazo tumejadili hapo juu.
Kwa maana hiyo, njia sahihi ya kuangalia mchango wa kanda moja dhidi ya nyingine, ni kwa kuangalia zaidi ‘Tax Revenues collected' (kwani hii inahuisha wananchi walio wengi),na sio mchango wao kwa pato la taifa. Utilization of natural resources ipo chini ya watu wachache kama tulivyojadili. Kwa kumalizia, tuangalie sana mchango wa kanda ya ziwa na kanda ya kaskazini katika makusanyo ya Kodi. I extracted sehemu ndogo tu ambayo bado inatupa picha kamili.
[TABLE="width: 570"]
[TR]
[TD="colspan: 5"]Direct Tax (Regional wise) - Domestic Revenue Department for 2012/2013[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TAX ITEM[/TD]
[TD="colspan: 4"] 1st Quarter 2012/13 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] July [/TD]
[TD] August [/TD]
[TD] September [/TD]
[TD] Total [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MJKNIA[/TD]
[TD] 4,439.4[/TD]
[TD] 4,951.6[/TD]
[TD] 3,842.0[/TD]
[TD] 13,233.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Arusha
[/TD]
[TD] 4,147.7
[/TD]
[TD] 3,195.3
[/TD]
[TD] 3,371.5
[/TD]
[TD] 10,714.5 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Coast[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] 69.9[/TD]
[TD] 74.1[/TD]
[TD] 144.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Dodoma[/TD]
[TD] 0.0[/TD]
[TD] 0.3[/TD]
[TD] 1.1[/TD]
[TD] 1.5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Iringa[/TD]
[TD] 7.4[/TD]
[TD] 28.8[/TD]
[TD] 13.9[/TD]
[TD] 50.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kagera[/TD]
[TD] 885.6[/TD]
[TD] 1,143.1[/TD]
[TD] 1,343.8[/TD]
[TD] 3,372.4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kigoma[/TD]
[TD] 36.9[/TD]
[TD] 243.3[/TD]
[TD] 178.0[/TD]
[TD] 458.2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kilimanjaro
[/TD]
[TD] 3,564.7
[/TD]
[TD] 3,765.7
[/TD]
[TD] 2,666.5
[/TD]
[TD] 9,996.8 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Lindi[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] 2.2[/TD]
[TD] 5.7[/TD]
[TD] 7.9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mara[/TD]
[TD] 4,146.7[/TD]
[TD] 4,703.0[/TD]
[TD] 4,603.2[/TD]
[TD] 13,453.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya[/TD]
[TD] 1,482.4[/TD]
[TD] 1,084.4[/TD]
[TD] 1,067.1[/TD]
[TD] 3,633.9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Morogoro[/TD]
[TD] 1.7[/TD]
[TD] 15.8[/TD]
[TD] 20.4[/TD]
[TD] 38.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mtwara[/TD]
[TD] 5.1[/TD]
[TD] 245.1[/TD]
[TD] 126.6[/TD]
[TD] 376.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwanza
[/TD]
[TD] 1,031.3
[/TD]
[TD] 910.1
[/TD]
[TD] 1,243.3
[/TD]
[TD] 3,184.7 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ruvuma[/TD]
[TD] 19.4[/TD]
[TD] 34.9[/TD]
[TD] 31.4[/TD]
[TD] 85.7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Shinyanga
[/TD]
[TD] 4.9
[/TD]
[TD] 14.1
[/TD]
[TD] 15.8
[/TD]
[TD] 34.8 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Singida[/TD]
[TD] 1.8[/TD]
[TD] 3.5[/TD]
[TD] 0.0[/TD]
[TD] 5.4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tabora[/TD]
[TD] 4.4[/TD]
[TD] 2.6[/TD]
[TD] 0.1[/TD]
[TD] 7.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tanga[/TD]
[TD] 883.5[/TD]
[TD] 3,197.6[/TD]
[TD] 4,517.9[/TD]
[TD] 8,599.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Rukwa[/TD]
[TD] 9.9[/TD]
[TD] 3.8[/TD]
[TD] 7.2[/TD]
[TD] 20.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Manyara[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] -[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TOTAL (GROSS)[/TD]
[TD] 20,672.9 [/TD]
[TD] 23,615.3 [/TD]
[TD] 23,129.6 [/TD]
[TD] 67,417.7
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]------[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 5"]Indirect Tax (Regional wise) - Domestic Revenue Department for 2012/2013[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TAX ITEM[/TD]
[TD="colspan: 4"] 1st Quarter 2012/13 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] July [/TD]
[TD] August [/TD]
[TD] September [/TD]
[TD] Total [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ilala[/TD]
[TD] 13,052.4[/TD]
[TD] 16,958.5[/TD]
[TD] 17,079.3[/TD]
[TD] 47,090.2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kinondoni[/TD]
[TD] 5,205.8[/TD]
[TD] 8,330.5[/TD]
[TD] 8,810.6[/TD]
[TD] 22,346.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Temeke[/TD]
[TD] 432.9[/TD]
[TD] 3,213.8[/TD]
[TD] 3,636.2[/TD]
[TD] 7,282.9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Arusha
[/TD]
[TD] 6,033.4
[/TD]
[TD] 5,208.5
[/TD]
[TD] 7,045.7
[/TD]
[TD] 18,287.6 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Coast[/TD]
[TD] 95.2[/TD]
[TD] 230.2[/TD]
[TD] 209.9[/TD]
[TD] 535.2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Dodoma[/TD]
[TD] 199.7[/TD]
[TD] 558.3[/TD]
[TD] 352.3[/TD]
[TD] 1,110.2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Iringa[/TD]
[TD] 415.5[/TD]
[TD] 766.6[/TD]
[TD] 506.0[/TD]
[TD] 1,688.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kagera[/TD]
[TD] 473.1[/TD]
[TD] 602.5[/TD]
[TD] 520.7[/TD]
[TD] 1,596.3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kigoma[/TD]
[TD] 157.5[/TD]
[TD] 195.4[/TD]
[TD] 188.1[/TD]
[TD] 541.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kilimanjaro
[/TD]
[TD] 1,060.9
[/TD]
[TD] 1,192.9
[/TD]
[TD] 1,298.7
[/TD]
[TD] 3,552.5 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Lindi[/TD]
[TD] 25.0[/TD]
[TD] 64.6[/TD]
[TD] 187.1[/TD]
[TD] 276.7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mara[/TD]
[TD] 388.4[/TD]
[TD] 447.3[/TD]
[TD] 324.0[/TD]
[TD] 1,159.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya[/TD]
[TD] 739.1[/TD]
[TD] 930.4[/TD]
[TD] 870.1[/TD]
[TD] 2,539.7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Morogoro[/TD]
[TD] 720.8[/TD]
[TD] 767.0[/TD]
[TD] 847.0[/TD]
[TD] 2,334.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mtwara[/TD]
[TD] 53.8[/TD]
[TD] 1,535.7[/TD]
[TD] 271.8[/TD]
[TD] 1,861.3[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwanza
[/TD]
[TD] 1,231.5
[/TD]
[TD] 1,542.3
[/TD]
[TD] 1,831.3
[/TD]
[TD] 4,605.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ruvuma[/TD]
[TD] 165.3[/TD]
[TD] 212.8[/TD]
[TD] 210.9[/TD]
[TD] 588.9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Shinyanga
[/TD]
[TD] 531.3
[/TD]
[TD] 374.7
[/TD]
[TD] 264.4
[/TD]
[TD] 1,170.5 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Singida[/TD]
[TD] 103.5[/TD]
[TD] 108.2[/TD]
[TD] 138.2[/TD]
[TD] 349.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tabora[/TD]
[TD] 342.4[/TD]
[TD] 377.0[/TD]
[TD] 338.3[/TD]
[TD] 1,057.7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tanga[/TD]
[TD] 149.4[/TD]
[TD] 1,025.3[/TD]
[TD] 919.1[/TD]
[TD] 2,093.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Rukwa[/TD]
[TD] 93.1[/TD]
[TD] 122.4[/TD]
[TD] 122.9[/TD]
[TD] 338.4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Manyara[/TD]
[TD] 37.7[/TD]
[TD] 259.5[/TD]
[TD] 236.8[/TD]
[TD] 534.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TOTAL (GROSS)[/TD]
[TD] 31,707.6 [/TD]
[TD] 45,024.4 [/TD]
[TD] 46,209.5 [/TD]
[TD] 122,941.5 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]----------[/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 5"]Customs and Excise (Regional wise) - Department for 2012/2013[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TAX ITEM[/TD]
[TD="colspan: 4"] 1st Quarter 2012/13 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD] July [/TD]
[TD] August [/TD]
[TD] September [/TD]
[TD] Total [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]D'Salaam SC[/TD]
[TD] 206,972.3[/TD]
[TD] 233,347.1[/TD]
[TD] 209,441.3[/TD]
[TD] 649,760.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]MJKNIA[/TD]
[TD] 4,439.4[/TD]
[TD] 4,951.6[/TD]
[TD] 3,842.0[/TD]
[TD] 13,233.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Arusha
[/TD]
[TD] 4,147.7
[/TD]
[TD] 3,195.3
[/TD]
[TD] 3,371.5
[/TD]
[TD] 10,714.5 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Coast[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] 69.9[/TD]
[TD] 74.1[/TD]
[TD] 144.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Dodoma[/TD]
[TD] 0.0[/TD]
[TD] 0.3[/TD]
[TD] 1.1[/TD]
[TD] 1.5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Iringa[/TD]
[TD] 7.4[/TD]
[TD] 28.8[/TD]
[TD] 13.9[/TD]
[TD] 50.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kagera[/TD]
[TD] 885.6[/TD]
[TD] 1,143.1[/TD]
[TD] 1,343.8[/TD]
[TD] 3,372.4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kigoma[/TD]
[TD] 36.9[/TD]
[TD] 243.3[/TD]
[TD] 178.0[/TD]
[TD] 458.2[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kilimanjaro
[/TD]
[TD] 3,564.7
[/TD]
[TD] 3,765.7
[/TD]
[TD] 2,666.5
[/TD]
[TD] 9,996.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Lindi[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] 2.2[/TD]
[TD] 5.7[/TD]
[TD] 7.9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mara[/TD]
[TD] 4,146.7[/TD]
[TD] 4,703.0[/TD]
[TD] 4,603.2[/TD]
[TD] 13,453.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mbeya[/TD]
[TD] 1,482.4[/TD]
[TD] 1,084.4[/TD]
[TD] 1,067.1[/TD]
[TD] 3,633.9[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Morogoro[/TD]
[TD] 1.7[/TD]
[TD] 15.8[/TD]
[TD] 20.4[/TD]
[TD] 38.0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mtwara[/TD]
[TD] 5.1[/TD]
[TD] 245.1[/TD]
[TD] 126.6[/TD]
[TD] 376.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mwanza
[/TD]
[TD] 1,031.3
[/TD]
[TD] 910.1
[/TD]
[TD] 1,243.3
[/TD]
[TD] 3,184.7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ruvuma[/TD]
[TD] 19.4[/TD]
[TD] 34.9[/TD]
[TD] 31.4[/TD]
[TD] 85.7[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Shinyanga
[/TD]
[TD] 4.9
[/TD]
[TD] 14.1
[/TD]
[TD] 15.8
[/TD]
[TD] 34.8 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Singida[/TD]
[TD] 1.8[/TD]
[TD] 3.5[/TD]
[TD] 0.0[/TD]
[TD] 5.4[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tabora[/TD]
[TD] 4.4[/TD]
[TD] 2.6[/TD]
[TD] 0.1[/TD]
[TD] 7.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tanga[/TD]
[TD] 883.5[/TD]
[TD] 3,197.6[/TD]
[TD] 4,517.9[/TD]
[TD] 8,599.1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Rukwa[/TD]
[TD] 9.9[/TD]
[TD] 3.8[/TD]
[TD] 7.2[/TD]
[TD] 20.8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Manyara[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] -[/TD]
[TD] -[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]TOTAL (GROSS)[/TD]
[TD] 227,645.2 [/TD]
[TD] 256,962.4 [/TD]
[TD] 232,570.9 [/TD]
[TD] 717,178.5 [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Source: TRA
---------------
Mkandara,
Ukiangalia sample tu hapo utagundua haya:
1. Kanda ya Kaskazini inachangia zaidi katika direct taxes kuliko kanda ya Ziwa.
2. Kanda ya Kaskazini inachangia zaidi katika indirect taxes kuliko kanda ya ziwa.
3. Kanda ya kaskazini inachangia zaidi katika customs and excise kuliko Kanda ya Ziwa.
Kigoma ndio insignificant kabisa.
Je wewe, Zitto na wenzenu wengine hamuoni kwamba mnapotosha ukweli wa mambo?
Je, hamuoni kwamba in actual sense, wananchi wa kaskazini ndio wananyonywa zaidi na wananchi wa victoria kwa sababu mgao ambao zitto anaujadili basically unatokana na mapato ya kodi? Au Zitto anadhania GDP ni kitu kinachokusanywa na kugawanywa kama njugu?
Zitto atadanganya wengine, na kuwaaminisha nyinyi kwa kila kitu kwa sababu tu ni Zitto kasema. Tupo wachache ambao hatudanganyiki.
Mkuu hadi hapa nimekubaliana na kina Mchambuzi katika swala la Kilimanjaro na itanipa shaka juu ya sababu ya hoja ya Zitto juu ya matamko yake. Ila swala la Mtwara kusema kweli halihusiani na mchango zaidi ya mahala gani na kwamba hakuna mgao sawa - sidhani. Yawezekana pia mauzo ya gas yanafanyika Dar na collection ya TRA inaonekana Dar zaidi kwa sababu mashirika ya usambazaji gas nchini yapo Dar na ndio yenye kuchangia pato la Taifa.Mchambuzi.
Na hizi data hapa chini kuhusu mkoa wa Mtwara unakubaliana nazo.
"TRA Quaterly Revenue collection 2011_2011".-Mkoa wa Mtwara ni wa 7 katika kuchangia kwenye pato la taifa kwa kodi. Kwa lugha nyepesi ndio wanunuzi wakubwa wa mashangingi ya serikali, au ndiyo wachangiaji wakubwa wa mafuta ya Jet stream ahaa na posho za wabunge, looh na posho za vyama vya siasa.-Swali langu: Imekuwaje mbona hayo maendeleo waliyonyimwa tangu uhuru kwa kisingizio cha uchangiaji mdogo kwenye pato la taifa hayaletwi-hivi sasa tunapochangia kwa kiasi kikubwa au vigezo vimebadilika?Tafadhali naombeni mchango wenu na ushauri wenu kwa wana Mtwara.
Nimeambatanisha jedwali la makusanyo kwa mujibu wa report za TRA:-www.tra.go.tz-RegionMillion TShsMillion TShsMillion TShsMillion TShsRankingDirect TaxIndirect TaxCustoms and ExciseTotalIlala56,801.932,545.3-89,347.21Kinondoni32,858.716,414.7-49,273.41Temeke12,987.010,677.7-23,664.61Arusha15,101.310,111.99,383.134,596.32Coast1,478.9562.491.12,132.5Dodoma3,787.61,385.817.55,190.8Iringa3,471.41,941.920.55,433.9Kagera967.11,082.91,938.73,988.7Kigoma694.5342.1786.51,823.1Kilimanjaro6,834.22,947.311,389.321,170.83Lindi284.2154.522.9461.5Mara1,264.0914.413,882.216,060.74Mbeya2,605.42,241.07,446.312,292.8Morogoro5,359.62,427.270.27,857.0Mtwara7,608.56,838.5270.414,717.47Mwanza8,905.03,889.94,577.317,372.25Ruvuma667.1469.832.71,169.6Shinyanga1,355.01,068.837.82,461.6Singida331.0269.151.3651.4Tabora1,087.4896.215.11,998.7Tanga2,849.72,231.89,755.714,837.36Rukwa748.1235.497.61,081.2Manyara686.2263.6-949.9.
Cc; Barubaru
Duh Mkuu hapa kusema kweli kauli ya Zitto haikuwa na maana hii kabisa na hata mimi nilimwelewa tofauti kaama alivyoelezea Mchambuzi hasa pale alipotaja takwimu za mchango wa mkoa wa Kilimanjaro vs Shinyanga.Tatizo ndio liko hapo tu, Zitto kwako wewe ni mwongo uwe umemuelewa au uwe haujamuelewa
pengine ukimtafuta na kumuuliza ungemuelew zaidi
Kwa kifupi, kanda ya ziwa ina kipato kikubwa na inatakiwa ichangie kwa kiasi kikubwa kwenye pato la taifa mara mia nyingi zaidi ya Kilimanjaro, ...umesema kweye bandiko lako uchumi wa kanda ya ziwa unamilikiwa na wageni n tunajua control ya kuwakatamata hawa ni ndogo na CCM imekuwa ikiwachekea
kilimanjaro uchumi uko kwa wazawa ambao wanakamatika kutoa kodi
Kilio cha zitto ni kwa nn iwe hivi? kwa nn uchumi wa kanda ya ziwa uko chini mno ili hali walitakiwa kuwa juu zaidi ya kilimanjaro hata kimaendeleo? tatizo sio kilimanjaro wala eti kuwaonea wivu watu wa kilimanjaro,
swala ni kwa nn iwe hivyo? ACT itahakikisha mikoa ya kanda ya ziwa inafaidika na rasimili zake na kujimilikisha hizo rasilimali, vyote hivi viko dhahiri kwenye hotuba yake na sioni basis ya mibandiko mirefu kisa kumpinga zitto kwa kitu mbacho hakipo, yaani umecreate problem au ubishi, umejibishia na kujipa ushindi
Kingine mr. Mchambuzi I see potentials kwako za kuwa kiongozi na mwanasiasa mzuri, ebu go front amka sasa, siasa za vitabuni/mitandaoni hizi ni rahisi kumkosoa aliyeko field
huko jukwaani kuna kuzomewa, kutukanwa, kurushiwa chupa,kudhalilishwa n.k Zitto yuko huko kwenye hostile condition ambayo ni rahisi kumkosoa na kutopata picha halisi ya wakati na mahali husika
sema unagombea chama gani tukuunge mkono
In other words ninachosema hauwezi hata kidogo kushindana na mwanasiasa anayeshinda jukwaani kia siku na ku reach thousands of people huki ukiwa unabishana na waberoya tu humu na kumuita zitto...mwongo; If he is liar then kumpinga ni wewe kuwa front kama yeye , wewe unaweza ila sio Nguruvi, nguruvi asiende please!!