Thread za hisia hizi wala hazina value wala ukweli wwote, kisa ni chuki tu kwa bwana zitto
Mungu ni mwema haujachukua siku si nyingi, Nguruvi anaanza kuelewa nini maana ya siasa! he has learned it in a hard way
Mbowe kusema kila alichomsingizia zitto that was dirty politics kulinda nafasi yake
Leo nguruvi anajikakamua sasa, kwa hili jukwaa....aliaminishwa, akaamini, hakutaka kutumia akili ya kawaida tu! yaani ile common sense
Mag3 naona naye anakuja kama mbowe ! CCM ndio tatizo! Mag3 huyu huyu?? au mwingine?
kuna nyakati hautakiwi kupelekeshwa na wanasiasa, unajisimamia
Thread hii haikuwa na kichwa wala miguu, ilijaa hisia na chuki
Nasimama kuhesabiwa na wala sitasema jingine isipokuwa hili. Zitto anajenga siasa za ukabila na ukanda.
Siasa hizo zimeshindwa kwasababu mwelekeo wa kisiasa kwake ni mgumu.
Maswahiba wake kama Arif wameshindwa kuungana naye. Wanaokimbia hawaendi kwake.
Umma umekataa siasa za chuki dhidi ya kanda na makabila. Siasa muflisi za kutaka kuchonganisha Wananchi.
Leo anahutubia mikutano vichochoroni na kwingine haeni kabisa.
Hiyo ni testmony kuwa umma haukubaliani na siasa zake za kilaghai.
Pamoja na hayo, bado umma unahoji kuhusu mengi dhidi yake
Well, unasema sikutumia akili. Kama ni hivyo iweje wewe mwenye akili bado upo hapa unasoma na kuchangia?
Jaribu kumuuliza mheshimiwa kama kweli hatutumii akili, atakujibu
Siasa tunaielewa sana ndiyo maana upo hapa unasoma kila siku.
Nakuhakikishia tunaielewa 'mzee' wako anajua hilo
Tunasimama kuhesabiwa kwa hoja na tunazitetea kwa mantiki.
Hatujaenda chooni kuandika waraka, tunaadika duru na unasoma pamoja na 'mzee'
Hoja yako kuhusu Zitto haitetewi na jingine isipokuwa majibu kuhusu Zitto.
Matatizo ya wengine hayamfanyi Zitto awe safi.
Kama anatuhumiwa asimame ajibu, vinginevyo atakumbana na nguvu ya hoja na nguvu ya umma iliyomweka mahali ambapo leo si habari tena.