Kiongozi gani wa kamati kuu aliyethibitisha hivyo?
Ulimsikia akiongea kumkaribisha Lowasa?
Kiongozi gani wa kamati kuu aliyethibitisha hivyo?
Tundu Antiphas Lissu
Edward Lowassa anajiunga na CHADEMA na atakuwa mgombea urais wa CHADEMA na wa UKAWA. Lowassa is perhaps the most controversial and divisive political figure in the country right now. Na amekuwa hivyo kwa muda mrefu. Sisi CHADEMA tulimweka kwenye Orodha ya Mafisadi kutokana na kuhusika kwake na Kashfa ya Richmond mwaka 2007. Kwa hiyo swali halali kabisa ambalo lazima tulijibu kwa ufasaha ni hili: kwa nini tumekubali, sio tu kumpokea kama mwanachama, bali kumpa heshima ya kuwa mgombea wetu wa urais.
Na kwa nini washirika wetu wa UKAWA nao wamemkubali kuwa mgombea wao wa urais??? Jibu ni kwamba tupo katika kipindi na mazingira ya kipekee ya kisiasa katika nchi yetu. Kwa mara ya kwanza katika historia yetu kama taifa, tunaona mfumo tawala ukipasuka vipande vipande. Kwa mara ya kwanza tunaona CCM ikipasuka katikati. Na mtu aliyeipasua CCM na mfumo tawala ni Edward Lowassa. Sisi CHADEMA tumefanya kazi kubwa ya kujenga chama tangu 2010.
Tuna wagombea wengi na bora katika majimbo mengi ya uchaguzi na ngazi ya madiwani kuliko ambavyo tumewahi kuwa nao kwa miaka yote ya nyuma. Hata hivyo, ni ukweli pia kwamba kuna maeneo mengi ya nchi ambako tuko dhaifu sana. Kwa kuingia kwake CHADEMA na UKAWA, Lowassa anayaingiza maeneo hayo kwenye ulingo wa kisiasa and very much within our reach. Na Lowassa ataiporomosha CCM kwa sababu ana nguvu kubwa ndani ya chama hicho kuliko mwanasiasa mwingine yeyote.
Katika mazingira ya sasa ya kipekee, tunahitaji kuamua nani ni adui mkubwa zaidi wa nchi yetu na ustawi wake: Edward Lowassa mtuhumiwa wa ufisadi au CCM na mfumo tawala ambao unajenga mazingira yanayostawisha na kulinda ufisadi. Sisi Chadema na UKAWA tumeamua kuwa adui yetu mkubwa wa sasa na siku zote ni CCM na mfumo tawala. Tumemkaribisha Edward Lowassa kwa sababu kuwepo kwake kutaharakisha kuiangamiza CCM na mfumo tawala. Tunaomba wananchi mtuelewe na kutuunga mkono.
Alinda, Nguruvi3, Mchambuzi, Ritz,Mkandara, Tujitegemee
Hakika hawakukosea waliosema tuweke akiba ya maneno maana hapana shaka hapa panahitaji sana ujasiri wa kiuwendawazimu kuyaramba matapishi huku ukiwaangalia watu machoni.
Mkuu Kapwela.

Alinda, Nguruvi3, Mchambuzi, Ritz,Mkandara, Tujitegemee, Mzee Mwanakijiji

Ikiwa CCM tayari imeshapasuka kuna haja gani ya kumchagua Lowassa agombee Urais? Maana huko CCM hawezi kurudi na huku hata akinyimwa kugombea Urais haitabadilisha kitu CCM imeshapasuka! na zile hadith mlizotuaminisha juu yake ndio zitamzika kabisa!. Haiwezekani kabisa mtu alokuwa kundi ama kiongozi wa List of Shame leo ndiye awe mtu wa kugombea Urais upande wa Utakatifu..Hii habari hata siwezi kuifikiria vema.. Katika mageuzi yoyote yoyote ya Kisiasa sijawahi kusikia yule mtu alokuwa Kingpin na Wanted ndiye anakuja kuwa mwokozi wa watu!...

Masalaam, mie bukheri shukrani kunijulia hali muungwanaKwa ndugu Nguruvi3:
Pokea salaam nyingi kutoka kwangu. Hama baada ya salaam ningependa unifahamishe mambo mawili au matatu kuhusiana na matukio yanayoendelea hivi sasa ya uchaguzi.
Kwanza ningependa msimamo wako kuhusiana na tetesi za Lowassa kujiunga na CDM. Je kuna ukweli ndani yake? Au ni tetesi tu?
Pili kama kuna ukweli, je uoni kuwa inabidi uanzishe thread mpya. Kichwa cha thread hiyo LOWASSA ni mpini wa CDM wa kuiua CCM.
Tatu kama Zitto alikuwa mchu wa madaraka ndani ya CDM, je Lowassa atakuwa katika ngazi gani?
Wako katika kusukuma gurudumu la maendeleo,
Z10.
Intriguing questionIkiwa CCM tayari imeshapasuka kuna haja gani ya kumchagua Lowassa agombee Urais? Maana huko CCM hawezi kurudi na huku hata akinyimwa kugombea Urais haitabadilisha kitu CCM imeshapasuka! na zile hadith mlizotuaminisha juu yake ndio zitamzika kabisa!. Haiwezekani kabisa mtu alokuwa kundi ama kiongozi wa List of Shame leo ndiye awe mtu wa kugombea Urais upande wa Utakatifu..Hii habari hata siwezi kuifikiria vema.. Katika mageuzi yoyote yoyote ya Kisiasa sijawahi kusikia yule mtu alokuwa Kingpin na Wanted ndiye anakuja kuwa mwokozi wa watu!...
Mkuu Lowassa was the master mind muda wote wa Ufisadi CCM. Ndiye alokuwa akichagua baraza la mawaziri hata baada ya JK kubadilisha mara tatu. Ndiye alokuwa kinara wa miradi mingi ya kuuza ardhi na majumba. Ndiye alokuwa akichukua 10% ya kila deal nchini hata iwe Tsh 500.Naanza kwa kukiri; simpendi Lowassa lakini siipendi CCM zaidi! Kujiuzulu kwa Lowassa katika uongozi hakukutupa ahueni hata kidogo na badala yake ufisadi ulizidi kushamiri. Kwa sasa naishia hapo ila nashauri tuvute subira tukichukua tahadhari kwa kuweka akiba ya maneno na bila kusahau kwamba tumefika njia panda...tukielekea kusiko hatutakuwa na wa kumlaumu zaidi ya sisi wenyewe na tuwe tayari kuzibeba hizo lawama.
Kwa ndugu Nguruvi3:
Pokea salaam nyingi kutoka kwangu. Hama baada ya salaam ningependa unifahamishe mambo mawili au matatu kuhusiana na matukio yanayoendelea hivi sasa ya uchaguzi.
Kwanza ningependa msimamo wako kuhusiana na tetesi za Lowassa kujiunga na CDM. Je kuna ukweli ndani yake? Au ni tetesi tu?
Pili kama kuna ukweli, je uoni kuwa inabidi uanzishe thread mpya. Kichwa cha thread hiyo LOWASSA ni mpini wa CDM wa kuiua CCM.
Tatu kama Zitto alikuwa mchu wa madaraka ndani ya CDM, je Lowassa atakuwa katika ngazi gani?
Wako katika kusukuma gurudumu la maendeleo,
Z10.
Nasimama kuhesabiwa na wala sitasema jingine isipokuwa hili. Zitto anajenga siasa za ukabila na ukanda.Thread za hisia hizi wala hazina value wala ukweli wwote, kisa ni chuki tu kwa bwana zitto
Mungu ni mwema haujachukua siku si nyingi, Nguruvi anaanza kuelewa nini maana ya siasa! he has learned it in a hard way
Mbowe kusema kila alichomsingizia zitto that was dirty politics kulinda nafasi yake
Leo nguruvi anajikakamua sasa, kwa hili jukwaa....aliaminishwa, akaamini, hakutaka kutumia akili ya kawaida tu! yaani ile common sense
Mag3 naona naye anakuja kama mbowe ! CCM ndio tatizo! Mag3 huyu huyu?? au mwingine?
kuna nyakati hautakiwi kupelekeshwa na wanasiasa, unajisimamia
Thread hii haikuwa na kichwa wala miguu, ilijaa hisia na chuki
Mkuu Lowassa was the master mind muda wote wa Ufisadi CCM. Ndiye alokuwa akichagua baraza la mawaziri hata baada ya JK kubadilisha mara tatu. Ndiye alokuwa kinara wa miradi mingi ya kuuza ardhi na majumba. Ndiye alokuwa akichukua 10% ya kila deal nchini hata iwe Tsh 500.
Hili la JK kumgeuka ndilo limemuuma kuliko kila kitu na hasira zake zote ni kwa JK, sio CCM yote japo walomwaga haswa ni CC ya kina Mkapa na Mwinyi na wazee wa kamati kuu na madili ambao wanaijua siri kubwa ya huyu mtu kuliko nyie. Hawa wote walijua Lowassa atahamia CDM wakishamwaga na bado wakamwaga tena vibaya sana na kumuaibisha! Hamuoni kama CCM imeshajiandaa kwa tukio hili na nani huko CCM atakubali Lowassa awe rais wa nchi hii alipe kisasi kwao maana wanamjua kwa visasi!. yeye hataki kuwa rais kwa sababu ya mageuzi ila anataka kutimiza ndoto yake na kuwaonyesha watu kuwa yeye ni zaidi yao ni Mungu mtu!.
Kwa hiyo, Mnachojaribu hapa kupigania ni kushindwa kuelewa kwamba JK anamaliza muda wake, sio rais tena na wote wana kinga kulingana na katiba ya mwaka 1977. Mnapopambana na CCM ina maana EL angekuwa na siri zote za CCM ktk uchaguzi ambazo zingewaletea Ushindi labda, lkn mnategemea Umaarufu wake kuwapa ushindi. Hivi tujiulize bila kumung'unya maneno, Hivi Umaarufu wa Lowassa unatokana na nini haswa? Uongozi bora? kama sio Ufisadi zaidi kipi. Rostam ana sifa gani haswa!.. Chenge ana sifa gani haswa! Nchimbi, Sophia Simba au Kingunge maana hawa wote ni maarufu nchini.
Ebu nambie sifa zake za Uongozi ambazo kweli wananchi wanazifahamu na kumpendea kiasi kwamba wanaamini kwamba yeye ndiye ataweza kuiondoa CCM madarakani na kuleta UTAWALA MPYA..Hii sifa yake mmeipata wapi? Kaandika kitabu gani ama hotuba gani ilowavutia wananchi juu yake afadhali hata ya Makamba!. Kweli wewe unategemea kuiondoa CCM madarakani kupitia Lowassa of all people?. Mbona mmeifanya safari ya Magufuli kuwa rahisi zaidi! Jamani jamani JK aliwahi sema mkiambiwa kitu, changanyeni na za kwenu!..
Huwezi kutenganisha amani na uhuru wa kweli..Naanza kwa kukiri; simpendi Lowassa lakini siipendi CCM zaidi! Kujiuzulu kwa Lowassa katika uongozi hakukutupa ahueni hata kidogo na badala yake ufisadi ulizidi kushamiri. Kwa sasa naishia hapo ila nashauri tuvute subira tukichukua tahadhari kwa kuweka akiba ya maneno na bila kusahau kwamba tumefika njia panda...tukielekea kusiko hatutakuwa na wa kumlaumu zaidi ya sisi wenyewe na tuwe tayari kuzibeba hizo lawama.
Kabla sijatia neno ningpenda kujua wachangiaji wengine wanayachukuliaje haya madai yako mkuu;
- Lowassa was the master mind muda wote wa ufisadi ccm
- (Lowassa)ndiye alokuwa akichagua baraza la mawaziri hata baada ya jk kubadilisha mara tatu.
- (Lowassa)ndiye alokuwa kinara wa miradi mingi ya kuuza ardhi na majumba.
- (Lowassa)ndiye alokuwa akichukua 10% ya kila deal nchini hata iwe tsh 500.
- (Lowassa)hili la jk kumgeuka ndilo limemuuma kuliko kila kitu na hasira zake zote ni kwa jk,
- (Lowassa)walomwaga haswa ni cc ya kina mkapa na mwinyi na wazee wa kamati kuu na madili ambao wanaijua siri kubwa ya huyu mtu kuliko nyie.
- hawa wote walijua lowassa atahamia cdm wakishamwaga na bado wakamwaga tena vibaya sana na kumuaibisha!
- hamuoni kama ccm imeshajiandaa kwa tukio hili na nani huko ccm atakubali lowassa awe rais wa nchi hii alipe kisasi kwao maana wanamjua kwa visasi!.
- yeye hataki kuwa rais kwa sababu ya mageuzi ila anataka kutimiza ndoto yake na kuwaonyesha watu kuwa yeye ni zaidi yao ni mungu mtu!.
Nasimama kuhesabiwa na wala sitasema jingine isipokuwa hili. Zitto anajenga siasa za ukabila na ukanda.
Siasa hizo zimeshindwa kwasababu mwelekeo wa kisiasa kwake ni mgumu.
Maswahiba wake kama Arif wameshindwa kuungana naye. Wanaokimbia hawaendi kwake.
Umma umekataa siasa za chuki dhidi ya kanda na makabila. Siasa muflisi za kutaka kuchonganisha Wananchi.
Leo anahutubia mikutano vichochoroni na kwingine haeni kabisa.
Hiyo ni testmony kuwa umma haukubaliani na siasa zake za kilaghai.
Pamoja na hayo, bado umma unahoji kuhusu mengi dhidi yake
Well, unasema sikutumia akili. Kama ni hivyo iweje wewe mwenye akili bado upo hapa unasoma na kuchangia?
Jaribu kumuuliza mheshimiwa kama kweli hatutumii akili, atakujibu
Siasa tunaielewa sana ndiyo maana upo hapa unasoma kila siku.
Nakuhakikishia tunaielewa 'mzee' wako anajua hilo
Tunasimama kuhesabiwa kwa hoja na tunazitetea kwa mantiki.
Hatujaenda chooni kuandika waraka, tunaadika duru na unasoma pamoja na 'mzee'
Hoja yako kuhusu Zitto haitetewi na jingine isipokuwa majibu kuhusu Zitto.
Matatizo ya wengine hayamfanyi Zitto awe safi.
Kama anatuhumiwa asimame ajibu, vinginevyo atakumbana na nguvu ya hoja na nguvu ya umma iliyomweka mahali ambapo leo si habari tena.