K
Hawa walisutana hadi wakawa hawawezi kuangaliana, wiki kadhaa baadaye wakawa ofisini pamoja......
Mtu anapokuwa mkubwa kuliko taasisi ni tatizo kubwa sana, agree!kama kuna watu wanadhani wataweza kumcontrol Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania(kwa katiba iliyopo) tena Rais mwenyewe ni Edward Ngoyai Lowassa basi watakuwa wanajidanganya
kinyume chake wabunge wengi wa Chadema watajenga ufuasi kwa Lowassa binafsi(Lowassa ana historia nzuri sana kwenye hili, iwe kwa vyeo au kwa favour zingine) na pia ataweza kushirikiana na wabunge wa vyama vyote ikiwepo CCM(anajua vizuri kuishi nao), hatimaye mwishowe badala ya Chadema kumsimamia ni Lowassa ndiye atakayeisimamia Chadema na kuipeleka atakavyo
Otherwise nampongeza sana Dr Slaa kwa kukubalia kuachia nafasi ya urais bila shida, sio watu wengi wanaweza kufanya hili kwenye siasa za Afrika, japo legacy yake juu ya ufisadi itaathiriwa sasa kwa kuanza kumpigia kampeni aliyemuita fisadi awe Rais lakini kwenye suala la kutokuwa na "uchu wa madaraka" atajijengea heshima kubwa.Hili litakumbukwa ata miaka mingi ijayo na kwa kweli anastahili pongezi.
Asante Waberoya, mpaka sasa ni wewe tu angalau umegusia mada kama nilivyoiwasilisha, wengine wote sina hakika kama kweli mmelielewa nililokusudia. Sijaongea habari za LOWASSA kujiunga UKAWA wala kuwa mgombea wa UKAWA, nimeuliza tu kuhusu tuhuma za Mkandara kwa Lowassa. Naomba nizirudie;Mag3: Najibu kwa kifupi sana:
1 mpaka 6 mkandara yuko sahihi
7 na 8, napingana na mkandara; si kweli kuwa CCM walijiandaa, kumekuwa na several unplanned meetings within CCM to discuss this matter
9, Well sijajua maana imekaa kihisia zaidi
Kwa hiyo hamna tatizo Mbowe kumlilia Lowassa kujiunga na Chadema?
Hili hoja iwe na mashiko nani haiukubali wewe au Nguruvi3, Mag3, Mchambuzi Alinda au nani?
Chadema mtafanyaje sasa kwenye ile orodha ya mafisadi mliyoitoa pale Mwembe Yanga na kuwafahamisha watanzania kuwa Lowassa ni fisadi leo hoja ya ufisadi haina mashiko tena.
Lowassa ni fisadi lakini kwa Richmond alipakaziwa...nilisema hivyo mwaka 2008 na thread iko humu humu JF.
Lowassa ni fisadi lakini kwa Richmond alipakaziwa...nilisema hivyo mwaka 2008 na thread iko humu humu JF.
Tafiti za kisiasa zimethibitisha moyo nao una uelevu. Ubongo ulio kichwani unafanya kazi kwa bidii kwa kutii ujumbe wowote unaotumwa kutoka katika ubongo mwingine.Lowassa ni fisadi lakini kwa Richmond alipakaziwa...nilisema hivyo mwaka 2008 na thread iko humu humu JF.
Alinda, naomba nikudokezee kidogo ambalo labda na wewe unapata shida kulipokea, amini usiamini ni katika kuipumzisha CCM tu mabadiliko yoyote yale yatapata nafasi ya kufanikiwa. Katika wakati huu tulio nao haitawezekana tena kwa mtu moja au chama kuwa na jeuri ya kuliongoza taifa kama ilivyo sasa chini ya serikali ya CCM.Kaka yangu unaanza kumsafisha? lol (joke) baada ya ili pigo kwa wapenda mageuzi inabidi tujiliwaze liwaze tuzoe ndio siasa za upinzani ngoja tuangalie upepo unapoelekea.
Ila sijui kwanini watu wanamkimbilia vile maana jamaa kujieleza hawezi, kujenga hoja zenye mshiko hawezi, sasa sijui huu ushawishi unatoka wapi? sijui ni pesa lakini anaweza kuwapa pesa watu wote hawa? (rejea kutafuta wadhamini)
Tukatae tukubali jamaa ana team iliyojipanga...
Ngoja tuone haya maamuzi magumu kama yatakuwa na manufaa kwa chama au ndio tutaanza kujenga chama upya..
Hayo kayaongea baada ya kukatwa.
Alinda, naomba nikudokezee kidogo ambalo labda na wewe unapata shida kulipokea, amini usiamini ni katika kuipumzisha CCM tu mabadiliko yoyote yale yatapata nafasi ya kufanikiwa. Katika wakati huu tulio nao haitawezekana tena kwa mtu moja au chama kuwa na jeuri ya kuliongoza taifa kama ilivyo sasa chini ya serikali ya CCM.
Siku CCM ikiondoshwa madarakani itakuwa ni kama vile taifa limezaliwa upya na ole wako uende kinyume cha matarajio ya wananchi, sidhani kama utabaki salama. Lakini CCM ikibaki madarakani, sahau kabisa kuyaona hayo mabadiliko katika kipindi cha kizazi hiki (kumbuka wao wenyewe wameapa kubaki madarakani hata kwa miaka mia).
Kama njia pekee ya kulisambaratisha hili zimwi ni kwa kupitia kwa mtu moja anayeitwa Edward Ngoyai Lowassa mimi Mag3 nasema, so be it! Naunga mkono. Times have changed comrades.
Alinda, naomba nikudokezee kidogo ambalo labda na wewe unapata shida kulipokea, amini usiamini ni katika kuipumzisha CCM tu mabadiliko yoyote yale yatapata nafasi ya kufanikiwa. Katika wakati huu tulio nao haitawezekana tena kwa mtu moja au chama kuwa na jeuri ya kuliongoza taifa kama ilivyo sasa chini ya serikali ya CCM.
Siku CCM ikiondoshwa madarakani itakuwa ni kama vile taifa limezaliwa upya na ole wako uende kinyume cha matarajio ya wananchi, sidhani kama utabaki salama. Lakini CCM ikibaki madarakani, sahau kabisa kuyaona hayo mabadiliko katika kipindi cha kizazi hiki (kumbuka wao wenyewe wameapa kubaki madarakani hata kwa miaka mia).
Kama njia pekee ya kulisambaratisha hili zimwi ni kwa kupitia kwa mtu moja anayeitwa Edward Ngoyai Lowassa mimi Mag3 nasema, so be it! Naunga mkono. Times have changed comrades.
Naona unaongelea kwenye matapishi yako bila dodoki.Naunga mkono hoja
Naona unaongelea kwenye matapishi yako bila dodoki.
Jana tu umetoa viapo vingi na kusema unaachana na Chadema baada ya ujio wa Lowassa na kusema bora uwe mwanaharakati.
Teh teh teh
Kwanza shukran leo tumekubaliana japo machache sasa nikurudishe kwenye hilo la 7,8 na 9 ambalo wewe unadhani ni hisia. Hapana mkuu sio hisia kwa sababu Lowassa alishajijenga kugombea Urais mapema sana na wapambe wake wote walikuwa wakisema ovyo ndani ya CCM na nje. Na maandalizi haya yalikuwa wazi kabisa hata kabla ya kutia nia ilieleweka kuwa akikatwa atahamia CDM isipokuwa kuna watu walitaka kuipotezea CCM wadhani sio mpango wake. Yale maneno ya hatatwi mtu ni hadaa ya JK mwenyewe aliwaahidi hakatwi mtu...Asante Waberoya, mpaka sasa ni wewe tu angalau umegusia mada kama nilivyoiwasilisha, wengine wote sina hakika kama kweli mmelielewa nililokusudia. Sijaongea habari za LOWASSA kujiunga UKAWA wala kuwa mgombea wa UKAWA, nimeuliza tu kuhusu tuhuma za Mkandara kwa Lowassa. Naomba nizirudie;
Mkandara anasema hivi;
Tukiachana na hilo naomba mwenye kumbukumbu kwamba Dr. Slaa aliwahi kusema au kuonesha nia ya kugombea Uraisi kupitia UKAWA atufahamishe. Ninachokumbuka ni kauli moja aliyowahi kuitoa zamani kidogo kwamba hakuwa na mpango wa kugombea na ninavyojua hadi sasa hakuna mwana Chadema wala kiongozi amechukua fomu ya kugombea Uraisi hadi leo.
- Lowassa was the master mind muda wote wa ufisadi ccm
- (Lowassa)ndiye alokuwa akichagua baraza la mawaziri hata baada ya jk kubadilisha mara tatu.
- (Lowassa)ndiye alokuwa kinara wa miradi mingi ya kuuza ardhi na majumba.
- (Lowassa)ndiye alokuwa akichukua 10% ya kila deal nchini hata iwe tsh 500.
- (Lowassa)hili la jk kumgeuka ndilo limemuuma kuliko kila kitu na hasira zake zote ni kwa jk,
- (Lowassa)walomwaga haswa ni cc ya kina mkapa na mwinyi na wazee wa kamati kuu na madili ambao wanaijua siri kubwa ya huyu mtu kuliko nyie.
- hawa wote walijua lowassa atahamia cdm wakishamwaga na bado wakamwaga tena vibaya sana na kumuaibisha!
- hamuoni kama ccm imeshajiandaa kwa tukio hili na nani huko ccm atakubali lowassa awe rais wa nchi hii alipe kisasi kwao maana wanamjua kwa visasi!.
- yeye hataki kuwa rais kwa sababu ya mageuzi ila anataka kutimiza ndoto yake na kuwaonyesha watu kuwa yeye ni zaidi yao ni mungu
Hayo kayaongea baada ya kukatwa.
Lembeli, naye anasema alitakaa kuongwa milioni 200.
Ester, naye anasema aliahadiwa uwaziri akakataa.
Usihesabu siku zifanye siku ndiyo zihesabu
Hapana Mkuu naona umechangaya dawa, aliyekubaliana na japo machache na kutilia mshaka 7, 8 na 9 ni Waberoya. Mimi sijatoa comment yoyote isipokuwa nimeomba tu comment kutoka kwa wadau niliowataja. Bado nayatafakari hayo madai yako na nikiwa tayari utanisikia loud and clear...hata hivyo kuna kitu kimoja kinanishangaza, unataka kuniambia kwamba hata baada ya kujiuzulu Lowassa aliendelea kuwa master mind muda wote wa ufisadi ccm? Kwamba aliendelea kuwachagua mawaziri? Kwamba aliendelea kuchukua 10% ya kila deal nchini? Aliendelea kuwa kinara wa miradi mingi ya kuuza ardhi na majumba?Kwanza shukran leo tumekubaliana japo machache sasa nikurudishe kwenye hilo la 7,8 na 9 ambalo wewe unadhani ni hisia.
Kwa ndugu Nguruvi3:
Pokea salaam nyingi kutoka kwangu. Hama baada ya salaam ningependa unifahamishe mambo mawili au matatu kuhusiana na matukio yanayoendelea hivi sasa ya uchaguzi.
Kwanza ningependa msimamo wako kuhusiana na tetesi za Lowassa kujiunga na CDM. Je kuna ukweli ndani yake? Au ni tetesi tu?
Pili kama kuna ukweli, je uoni kuwa inabidi uanzishe thread mpya. Kichwa cha thread hiyo LOWASSA ni mpini wa CDM wa kuiua CCM.
Tatu kama Zitto alikuwa mchu wa madaraka ndani ya CDM, je Lowassa atakuwa katika ngazi gani?
Wako katika kusukuma gurudumu la maendeleo,
Z10.