Mchambuzi
JF-Expert Member
- Aug 24, 2007
- 4,850
- 9,434
Duh mkuu mbona hueleweki, mimi nilitoa mfano tu juu ya tofauti za GDP na GNP na kuweka mfano wa Barricks. Haijalishi faida gani wamepata sisi tungekusanya kodi za mauzo, ushuru wa kuingizaji bandarini na kadhalika. Lakini in all tulichogundua kwamba pamoja na Shinyanga kutochangia sana ktk tax bado wamechangia zaidi ktk nyanja nyinginezo na kuwa nafasi walopewa. Sasa kama kuna mfumo mbovu hapa kuna kosa gani kuujadili badala ya kufikiria makabila tu wakati inaweza kuwa baina ya mtu na mtu..
Chukulia kipande hiki na conclution yao kuwa:-
As shown in the previous section, Tanzanias impressive economic growth in the last decade has failed to translate into meaningful improvements in human development.The common assumption that economic growth would trickle down to all groups of society has failed to materialize. Economic growth, although necessary,does not suffice to improve living standards and reduce poverty. What is needed is a more encompassing change:an economic transformation which involves not only economic growth but also a fundamental change of the economys structure, as well as the creation of employment opportunities and social services.
HDI measures the level of human development in a country,ranging from 0 for low human development to 1 for high human development. With an HDI score of 0.488Tanzania falls into the bottom quartile of countries with the lowest level of human development. Ranking at 159 out of 187 countries, the UNDPs Global Human Development Report for 2014 has therefore classified Tanzania as a low human development country. What is even more striking is that the countrys position in the HDI ranking has decreased by seven positions incomparison to the previous year.
Inshaalh tutaendelea kesho na ACT mpini wa CCM. tuachane na Zitto atakupeni depression bure..
Nimekusoma kiongozi. Lakini Sijakuelewa bado:
1. Kwanini unakataa kwamba Zitto kapotosha Wasukuma na kuonea wachaga?
2. Ujamaa wa Zitto na ACT upo wapi? Anaishi maisha gani kama mfano wa ujamaa? Fedha za kuendesha ACT Zitto anatoa Wapi? Gharama zinaendana na what he declared as his wealth pale diamond?