Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
- Thread starter
- #41
TAFAJURI YA YNAYOENDELEA US
Kuna mambo tunayopaswa kuyafanya kama taifa.
Yale mazuri inapswa tuyaige na mabaya tuyaache.
Tunayoiga yatupaswa kuyafanya katika mazingira yetu na kwa namna zetu
Ukiangalia mkutano mkuu wa Republican na jinsi vyombo vya habari vinavyofanya kazi, utaona upana wa demokrasia ya wenzetu.
Kwamba mwananchi anakuwa informed na hivyo kufanya maamuzi kama yeye
CNN kwa mfano, wana kisehemu kinachoitwa reality check. Hiki ni kipengele klinachoangalia ukweli au uongo wa kauli na kuzitolea ufafanuzi.
Katika bandiko 25, Eleen Collin, first NASA frmale pilot wa space shuttle, alitoa madai kuwa Obama amezuia space exploration na hivyo kuikwaza US
Reality check:
Aliyesimamisha mpango wa space shuttle (retire ) ni George Bush si Obama.
Pili, VP mtarajiwa Pence alidai Obama amefanya executive orders 'relentless'
Kabla hatuja angalia Reality check, tusemr kuwa executive order ni maagizo ya kisheria ya mhimili wa utawala (executive branch) yanayotolewa na Rais bila kupitia Bunge.
Bunge/Seneti hawawezi kuzuia executive order, wanachoweza kufanya ni kupitisha sheria inayozuia fungu kutumika likihitajika kufanikisha exe order.
Tuangalie Madai waliopita na executive orders walizotoa katika muda huu ambapo Obama yupo madarakani (July 7) kwa mujibu wa CNN
Obama (Dem)- Exc order 244
George W. Bush( Repub)- 291
Bill Clinton (Dem)-364
George H.Bush(Rep)- 166
Ronald Reagan(Rep)-381
Jimmy Carter (Dem)-320
Gerald Ford -169
Wastani ni 276, Obama akiwa na 244 bado ana exec order chache
Hivyo Kauli ya VP mtarajiwa Pence SI kweli
Hii ni mifano michache ya kuonyesha jinsi wenzetu wanavyopewa habari za serikali yao na facts nyuma yake. Sisi tunazuia TV tu za kuonyesha matukio.
Kwa upande mwingine, waandishi wafike mahali wasi ripoti tu kama ma-secretary. Waende mbali na kucheki ukweli wa kauli kwa manufaa ya umma.