Dutch slash aid to Tanzania and some other countries

Dutch slash aid to Tanzania and some other countries

Jatropha

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2009
Posts
1,151
Reaction score
200
SASA TUNAANZA KUVUNA TULICHOPANDA KWA KUTUMIA GHARAMA KUBWA SANA WAKATI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI NA MAMBO YA KISIASA.

"..I feel we support some countries that really don’t give a shit about their own people.." - Sjoera Dikkers (MP)

The Netherlands wants to terminate its development cooperation with 15 countries including Bolivia, Tanzania, Zambia and former Dutch colony Surinam. The newspaper Trouw has obtained a copy of a government draft proposal to this effect.
At present, the Netherlands maintains development relations with more than 30 countries. The cabinet is expected to take a decision before the end of this month which will have to be approved by parliament. Egypt is reportedly still the subject of much discussion because of recent developments there and its pivotal role in the Arab world.
In drafting the list of countries eligible for continued Dutch development aid, the government has reportedly used two criteria: the added value of the Netherlands as donor country and the national interests of the Netherlands.
Fifteen countries will remain 'partner countries': Benin, Ethiopia, Mali, Mozambique, Rwanda, Uganda, Afghanistan, Burundi, Yemen, the Palestinian Territories, Sudan, Bangladesh, Ghana, Indonesia and Kenya (source: English | Radio Netherlands Worldwide)
 
Na bado!! Sasa nafikiri naanza kuelewa. Ndo maana timu ya assesment imekua kali kupita kiasi na bila sababu za msingi kwa Halmashauri!!Kumbe fedha hamna anyway....... Wanataka kuzibebesha mzigo wa lawama Halmashauri sasa!!!.....
 
Kila nchi inayokataa kutoa fedha za walipa kodi wao kuja kuliwa na Mafisadi wanaituhumu kuwa inaifadhili CDM. Na bado tutasikia mengi mwaka huu.
 
Usanii umezidi. Watu wanawapiga ndugu zangu picha wakiwa uchi, wakiwa wamebeba magaloni ya maji kutoka umbali wa kilomita tano, wamama wanaojifungua njiani kwa kukosa hospitali karibu halafu baada ya kupewa fedha hizo wananunua mandege ambayo ni sawa sawa na vyuma chakavu. Wananunua marada ambayo ni vyuma chakavu. Wanapanda mapipa kwenda Cuba kubembea na Ulaya kuangalia mipira.
Binafsi nakushukuru sana. "Ee Mungu asante kwa kusikia kilio changu. Nilikuomba wakati wa aibu yangu ukakisikia kilio changu. Nilikuomba kwa ajili ya taifa hili sala yangu ikafika kwako. Kama vile ubani wa jioni upaavyo mpala altareni kwako."
Asante ee Mungu. Naomba misaada ikome kabisa ili pasiwe na fedha za kwenda kutanua.
 
Safi sana uholanzi mpaka JK na serikali yake wakione cha moto. Hawa jamaa walishapata dharau za membe na wenzie. Yangu macho.
 
me nashangaa sana nchi zinazotoa misaada Tanzania,sijui hizo hela hazina kazi au
 
Hii ni sababu ya kuondoka kwa Wajasirimali wa Kiholanzi huko Maeneo ya Bagamoyo? Walikuwa wanazalisha Vyakula vya Kuuza kwao Holland na kidogo TZ?
 
Hii ni sababu ya kuondoka kwa Wajasirimali wa Kiholanzi huko Maeneo ya Bagamoyo? Walikuwa wanazalisha Vyakula vya Kuuza kwao Holland na kidogo TZ?

Mkuu unatuuliza sisi au hayo ndiyo majibu? Kwani hao wajasirimali wa kiholanzi walikuwa wanaliingizia pato taifa lao kiasi gani hadi liwe kigezo?
 
Na wengine waige hamna haja ya misaada. Mtu akishajua atasaidiwa hajitumi. Angalia ofisi za wizara na magari yao, full ufahari ya nn kutoa misaada kwa watu hawa? ACHENI, then tutatia akili.
 
Back
Top Bottom