Duuh hata Kilimanjaro watoto wazuri wapo

Quan Lup

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2016
Posts
683
Reaction score
946
habari wana JF

Nimekuja kilimanjaro kikazi kwa mda wa miezi 6 nitakua moshi mjini hapa sasa nina kama week 3 hivi tokea nimekuja daah yaani kuna watoto wazuri balaa yaani mtoto ukimwona tuu unadata umbo limekaa poa saana wana rangi ya mtume from dubai yaani nadata

Now kila weekend natembelea maeneno ya majengo moshi na sokoni mbuyuni na maeneo ya chuo cha ushirika kuna visuu hatarii shikamoo Kilimanjaroo yaani ni wazurii hatari kuna ambaye nimempata hapa yaani daah kila nikimuangalia nafurahi sichoki kumtazama yaani kapooole kazuuri ana rangi ya mtumee jamani daaah kametulia aisee karibuni moshi jamani kuna watoto wazuri saana dar watasubirii miaka 100 shikamoooo moshiiii sitamani kurudi tena daslaam
Nawasilisha .
 
ukienda Mbeya utasema hivohivo, ukienda Mwanza utarudia ukienda Singida utasifia hivo hivo ...acha ufuska
 
Pole na hongera, ndio ikabidi ufungue na ID mpya hapa JF
 
Pesa ilipo ndipo wazur walipo

Km.una pesa watakufwata wazur hata km upo umalira nk

Acha ukoma piga kaz,watakutenda haoo,ubaki na bukta....tena ogopa sana dadapoa wakichaga au wakinyaki

Huwa huruma.hawana mbele ya pesa
 
Pesa ilipo ndipo wazur walipo

Km.una pesa watakufwata wazur hata km upo umalira nk

Acha ukoma piga kaz,watakutenda haoo,ubaki na bukta....tena ogopa sana dadapoa wakichaga au wakinyaki

Huwa huruma.hawana mbele ya pesa
niko makini mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…