Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanaume wa Dar ktk ubora wako..kuna watoto wazuri saana dar watasubirii miaka 100 shikamoooo moshiiii sitamani kurudi tena daslaam
mimi mwenyewe niko vizuri saana tuuMwanaume wa Dar ktk ubora wako..
Hao huwawezi... wamezoea kula "pingi" za uhakika kwa wanaume zao wa mikoani.
Njoo nithaminishe kama kweli uko vizuri..mimi mwenyewe niko vizuri saana tuu
wewe ni KEe au ME??Njoo nithaminishe kama kweli uko vizuri..
Niko hapa soweto jirani na Kilimanjaro hospital.
habari wana JF
Nimekuja kilimanjaro kikazi kwa mda wa miezi 6 nitakua moshi mjini hapa sasa nina kama week 3 hivi tokea nimekuja daah yaani kuna watoto wazuri balaa yaani mtoto ukimwona tuu unadata umbo limekaa poa saana wana rangi ya mtume from dubai yaani nadata
Now kila weekend natembelea maeneno ya majengo moshi na sokoni mbuyuni na maeneo ya chuo cha ushirika kuna visuu hatarii shikamoo Kilimanjaroo yaani ni wazurii hatari kuna ambaye nimempata hapa yaani daah kila nikimuangalia nafurahi sichoki kumtazama yaani kapooole kazuuri ana rangi ya mtumee jamani daaah kametulia aisee karibuni moshi jamani kuna watoto wazuri saana dar watasubirii miaka 100 shikamoooo moshiiii sitamani kurudi tena daslaam
Nawasilisha .
Mkuu kuandika kote huku umeweka nukta moja tu?....hata mkato hakuna?habari wana JF
Nimekuja kilimanjaro kikazi kwa mda wa miezi 6 nitakua moshi mjini hapa sasa nina kama week 3 hivi tokea nimekuja daah yaani kuna watoto wazuri balaa yaani mtoto ukimwona tuu unadata umbo limekaa poa saana wana rangi ya mtume from dubai yaani nadata
Now kila weekend natembelea maeneno ya majengo moshi na sokoni mbuyuni na maeneo ya chuo cha ushirika kuna visuu hatarii shikamoo Kilimanjaroo yaani ni wazurii hatari kuna ambaye nimempata hapa yaani daah kila nikimuangalia nafurahi sichoki kumtazama yaani kapooole kazuuri ana rangi ya mtumee jamani daaah kametulia aisee karibuni moshi jamani kuna watoto wazuri saana dar watasubirii miaka 100 shikamoooo moshiiii sitamani kurudi tena daslaam
Nawasilisha .
Femalewewe ni KEe au ME??
Mimi kee jamani...profile yangu iko clear.wewe ni KEe au ME??
Ni PMMimi kee jamani...profile yangu iko clear.
Nakutania bhanaa..lolNi PM
Nakutania bhanaa...lolNi PM
ahahaha na ukome watu tupo serious wewe unaleta utani ungejaribu uoneNakutania bhanaa...lol
Haya bhana,kila la kheri lakini usiharibu kazi.ahahaha na ukome watu tupo serious wewe unaleta utani ungejaribu uone