Yaan nahisi huyu ts either kibuti kimemdatisha au anausaka umaarufu kwa gharama... kama ni kibuti polee kama umaarufu napo polee maana unaukimbiza na wenyewe unakukimbia kwa speed ya umeme
Duh Sugu inabidi awe mmoja kati ya watu watakaoenda peponi maana kuumiliki mtambo kama huu masaa kadhaa unaweza ukadata na wewe na baraka pia kumsitiri mwehu kama uyu,acha mhuni apumzike aje mwingine kuendesha huu mtambo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.