rmashauri
JF-Expert Member
- Jan 29, 2009
- 3,011
- 456
BTW hata Bongo nako nasikia mwaka jana hapo tu kontena la pesa za BOT 'lili potea katika mazingira ya kutatanisha' JNIA. Can u imagine?, nchi zetu hizi falsafa inayoendesha mambo ni 'survival for the fitest', ukipata tumia, ukikosa jutia. Tutafika kweli jaman?.
Mkuu mimi nilifikiri utani. Nikiwa benki (NMB or CRDB nimesahau hasa ni ipi) mwanzoni mwa mwaka huu nikapewa noti za zamani, nikauliza mbona tunatakiwa kupewa noti mpya hivi sasa? Nikaambiwa kuwa noti zimeibiwa pale uwanja wa ndege Dar. Lol! TZ bwana?