BTW hata Bongo nako nasikia mwaka jana hapo tu kontena la pesa za BOT 'lili potea katika mazingira ya kutatanisha' JNIA. Can u imagine?, nchi zetu hizi falsafa inayoendesha mambo ni 'survival for the fitest', ukipata tumia, ukikosa jutia. Tutafika kweli jaman?.
Ukipeleka Tanzanite South Africa huwezi kuuza bila ya licence kutoka kwa hawa .. : : The Tanzanite Company : : .. Eti hawa ndio wanamiliki na hata Arusha pia. Nchi yetu inavilaza