Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Jana mida ya saa Nne usiku tulisikia jilani analalamika Nyoka jamani naomba msaada, tukafurika vijana 7 tukajitokeza kila mtu na fimbo mkononi tukazunguka barazani na kuzunguka hilo lijoka.
MALA UMEME SI UKAKATIKA BANAA...
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Ndani ilikuwa patashikaa mwenzako akikushika unagonga fimbo tu ukizani ni nyoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Saa izi nipo zangu na maumivu kitandani hata kutoka leo nimeshindwa sjui hata yule nyoka yupo au kauwawa[emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19] daah huu mwaka nimeuanza vibaya thanaa[emoji20][emoji20]
#RS