Duuh, nimepatikana...Nampenda huyu mtoto kuliko maelezo

Duuh, nimepatikana...Nampenda huyu mtoto kuliko maelezo

Wakati unaoa mwanao alikuwa na umri gani? Haikuwezekana kumchukua mtoto na kukaa nae? Ni kama nakuelewa hivi ila kukusaidia nashindwa. Pole
wakat nnaoa mtoto alikuwa 5
 
Ndiyo ulilala naye, sasa na huyo uliekuwa unaenda kumuoa ulikuwa na shauku naye kweli, nijuavyo ile siku unakuwa nakimuhemuhe cha kumuona biharusi na mtakavyokuwa siku hiyo, wewe ukawa na kidosho mwingine duu kuna watu duniani na ....tu duniani
shauku no, kwa sbabu nilikuwa ninajua what I'm getting into
 
Madhara ya kuolea huruma hayo, hizo ndio shida zake zinapoanzaga.
 
ishanishinda mkuu, ndoa siyo kwa jila mtu [emoji19]
Mungu wangu, unajua nakuone huruma sana, ndiyo maana watu hushauriwakwamba ukiachana na mtu kaa mwenyewe kwa muda mrefu na utafakari kisha ndiyo uanze kutafute mwingine, lakini unamwingine kisha unabambia mwingine, hapo sasa kaka yangu mdogo tafuta kitu cha ziada muombe Mungu sana akusaidiye upite hicho kihunzi, laa huyo mzazi mwenzio kuna kitu kakufanyia angalia unazani yeye kwanini alikuwepo hapo ili hali anajua unaenda oa sio mjinga watu tunatofautiana sana
 
Back
Top Bottom