Duuh sitaki kuamini inawezekanaje ???njooeni wataalamu

Finest

Member
Joined
Mar 27, 2015
Posts
49
Reaction score
14
Samahani wana jamvi nauliza hvi maji ya sio salama mfano kwa kipindi hiki cha maji ya shida natumia maji ambayo kisima chake design kma kina backteria /fungus maana nlkimaliza kuoga nawashwa swali langu ni je backteria /fungus wa kwenye maji wanaweza sababisha viginal fungus au fungus wa sehemu za siri???
 

hapo kwenye bold cjaelewa ila kuwashwa baada ya kuoga inawezekana ikawa ni allergy ya aina flani hivi japo sijathibitisha kitaalam.binafsi mi ni me,ninapokuwa sehemu zenye ubaridi au hata wakati wa mvua kukiwa na baridi baada ya kuoga huwa nawashwa mwili mzima as if nimeme klorokwini za enzi zile.wakati wa joto huwa niko ok.may be try hospital
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…