Samahani wana jamvi nauliza hvi maji ya sio salama mfano kwa kipindi hiki cha maji ya shida natumia maji ambayo kisima chake design kma kina backteria /fungus maana nlkimaliza kuoga nawashwa swali langu ni je backteria /fungus wa kwenye maji wanaweza sababisha viginal fungus au fungus wa sehemu za siri???