mpingauonevu
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 621
- 433
Wanajf wenzagu,
yamenikuta usiku huu hapa hata lepe la usingiz sina labda mkinisaidia japo mawazo yenu tu labda nitalala.
shemeji yenu yaan hapo namaanishisha mwenza wangu... yaani nadhan mmenipata. Anasema kuwa kila akiongea na mimi
anazidi kuboreka, au neno lingine ni kuwa mimi namboa kila nikiongea nae, yaani mimi namkera kila nikiongea nae. jamni simuelewi huyu mtu ndo visa tu au kunamwenzagu kamdatisha au vip. nipeni japo mawazo kidogo ili nilale mwenzenu.
Mpige mangumi.
Asante sna wangu ila huwa yeye anakuwa na mamood yake ya ajabu ajabu tu.kwanza shukuru kakuambia,coz asingesema usingelijua hilo.hilo linawezekana kwasababu tulio wengi hatuna lugha nzur kwa wapenz wetu/mume/mke hasa ukishakuwa umemzoea sana.hebu jaribu kujichunguza wap unakosea kabla hujavusha mawazo ya kishetan
Nimuombe msamaha kwan nimemkosea nini, ila kuongea nae taratibu nimefanya ila ndo kwanza anasema kuwa nazidi kumkeraMuombe msamaha kwa kumwambia kuwa haukufahamu kuwa uwepo wako na mazungumzo yako yanamkera then kwa upole na utaratibu muombe akuelezea nini hasa kinachomfanya akuone unamboa. Kisha muombe ushauri wa nini unachotakiwa kufanya ili usim-boe mwenzio.
Pole ni mambo ya kawaida ktk mahusiano
Mi ndo mdada nateseka labda uniambie kuwa yeye ndo anamega nje japo sitaki kuamini.kwanza huhitaji kuuliza kwamba huyo anamegwa nje halafu mbaya zaidi yaelekea jamaa wa nje ni fundi kuliko wewe. sasa chagua mawili kwanza umuache au kafanye mazoezi ili siku ukimmega hakikisha hadi anakimbilia kwa majirani! akirudi utaona anakupa shkamoo!
Wanajf wenzagu,
yamenikuta usiku huu hapa hata lepe la usingiz sina labda mkinisaidia japo mawazo yenu tu labda nitalala.
shemeji yenu yaan hapo namaanishisha mwenza wangu... yaani nadhan mmenipata. Anasema kuwa kila akiongea na mimi
anazidi kuboreka, au neno lingine ni kuwa mimi namboa kila nikiongea nae, yaani mimi namkera kila nikiongea nae. jamni simuelewi huyu mtu ndo visa tu au kunamwenzagu kamdatisha au vip. nipeni japo mawazo kidogo ili nilale mwenzenu.
Kweli ni mda sister sijakupata, nilikumicMa'swagga it has been long dear... Mzima wewe? All is good? Well B2T
Hadi kafikia kusema hivo kweli kachoka.... Ni vizuri lakini kawa muwazi thou uwazi wa hivo wauma bana, Angeweza i sugar coat kidogo... Enways kikubwa inategemea mko ndani ya mahusiano mda gani... Wapenzi wana tabia ya kuchokana... Unakuta NDIO Wapendana ila tu wamechokana in the sense kua inabidi wapeane nafasi. Katika mahusiano sio nzuri kua pamoja kila mara hata kama mwapendana vipi, inabidi yawepo na maisha mengine nje ya mahusiano yenu.... Mahusiano yenu yakiwa ya kufuatana kama kumbi kumbi... in time lazima mmoja wenu ajisikie suffocated. Hata hivo kuepusha guess work ask him alikua na maana gani.... Kua hataki kua na wewe? Does he still love you? Does he love you but needs some space?
Pole saana mdogo wangu, all the best katika kuweka sawa pande hizo....
Kweli ni mda sister sijakupata, nilikumic
asante kwa ushauri ila ilo jambo sio siri limenimuma sana, ila naogopa kufanya maamuzi magum ndo maana naendelea kujipa moyo labda kalopoka tu.