Ma'swagga it has been long dear... Mzima wewe? All is good? Well B2T
Hadi kafikia kusema hivo kweli kachoka.... Ni vizuri lakini kawa muwazi thou uwazi wa hivo wauma bana, Angeweza i sugar coat kidogo... Enways kikubwa inategemea mko ndani ya mahusiano mda gani... Wapenzi wana tabia ya kuchokana... Unakuta NDIO Wapendana ila tu wamechokana in the sense kua inabidi wapeane nafasi. Katika mahusiano sio nzuri kua pamoja kila mara hata kama mwapendana vipi, inabidi yawepo na maisha mengine nje ya mahusiano yenu.... Mahusiano yenu yakiwa ya kufuatana kama kumbi kumbi... in time lazima mmoja wenu ajisikie suffocated. Hata hivo kuepusha guess work ask him alikua na maana gani.... Kua hataki kua na wewe? Does he still love you? Does he love you but needs some space?
Pole saana mdogo wangu, all the best katika kuweka sawa pande hizo....