Duuhh! Kama vile tumeshafungwa hii mechi.

magagagigikoko

Senior Member
Joined
Nov 13, 2017
Posts
166
Reaction score
167
Huwa naishi kwa matumaini sana, lkn kwa timu yetu hii naona kama vile tumeshafungwa hata hii mechi. Tuombe Mungu awe upande wetu na awasahau adui zetu kwa muda ktk dk hizi 90.
 
Write your reply...
ccm watacheza maana timu ni yao jiwe atadaka kama alivyosemaga
 
Huwa naishi kwa matumaini sana, lkn kwa timu yetu hii naona kama vile tumeshafungwa hata hii mechi. Tuombe Mungu awe upande wetu na awasahau adui zetu kwa muda ktk dk hizi 90.
Kwani ccm imewahi kushindwa uchaguzi? basi hata Algeria iwe ngumu kiasi gani Jecha atafanya yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…