magagagigikoko
Senior Member
- Nov 13, 2017
- 166
- 167
Huwa naishi kwa matumaini sana, lkn kwa timu yetu hii naona kama vile tumeshafungwa hata hii mechi. Tuombe Mungu awe upande wetu na awasahau adui zetu kwa muda ktk dk hizi 90.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ccm imewahi kushindwa uchaguzi? basi hata Algeria iwe ngumu kiasi gani Jecha atafanya yakeHuwa naishi kwa matumaini sana, lkn kwa timu yetu hii naona kama vile tumeshafungwa hata hii mechi. Tuombe Mungu awe upande wetu na awasahau adui zetu kwa muda ktk dk hizi 90.