haya ni maneno ndani ya wimbo mpya wa nay wa mitego,unaitwa wamenichokoza,kuna msitali anasema,NDANI YA POCHI YA MALAYA.,HAPAKOSEKANI PODA NA WANJA.kuna verse kaponda wanasiasa kwamb wanachochea maandamano wao hawaandaman wanatulia majumbn mwao,laia vihere here wanaandama,wanaishia kutwangwa risasi
mstali mwingine kaponda wachungaji kwa kusema;din imekuwa kama fani.inachuana na bongo fleva,mwanzo alivuma kakobe kashuka chat,2pa kule,akaja mama rwakatale kashuka chat kakimbilia siasa na sasa ni anton rusekelo
msali mwingne kasema,wasanii wanaojiita jembe basi yeye ndo mpin,na wanaojiita wanyama,atawala nyama
kaponda tena bongo movie,kina jb wanaharibu madada ze2 kwa kuwagonga ili waonekane kwenye movie zao mwisho wa siku wanazoea na kuwa makahaba
mstali mwingine anasema,ukimchukia,pasuka,ukijfanya humjui basi dada ako anamjua na ukijifnya humpend,demu wako anampenda
kamalizia kwa kusema hataacha kuwachana bongo movie na wenzake wa bongo fleva mpaka waache mambo ya kijinga yasiyo na maadili
na mwisho kasema hamwogop m2,ni ukwel kwa kwenda mbele
ILA BAADA YA WIMBO HUU KUSIKIKA,BASATA WANATAKA WAMFUNGIE...