Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JoseverestJoseverest
Joseverest
Kuna nini??????
Wanataka wakuonyeshe kuwa eti wamekupikuKuna nini??????
Cheki Waarabu hawajui kiswahili wala nn ila wameamsha mbayaa, big up Diamond kwa kuufikisha mziki wa Bongo mbali
Cheki Waarabu hawajui kiswahili wala nn ila wameamsha mbayaa, big up Diamond kwa kuufikisha mziki wa Bongo mbali
Kweli kabisa mkuuNdo hvyo mkuu,,hakuna wa kumfananisha nae kwa ss
60% ya waoman wanakijuw kiswahili
anaitwa Big siku hizi..Kwani kuna mtu kambadilisha jina?!