CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Kweli kabisa Preta bila huruma unamfanyia hivyo mtoto wa mwanamke mwenzio pamoja na huruma zake zote?
Sharing is caring,lol.
Mmenikumbusha nilienda kijijini msibani. Likawekwa sufuria kuubwa for ugali. Nikauliza linasongwaje? Nikaambiwa tunalishambulia. 3 ladies, unasonga two minutes mwenzio anapokea chapchap. Tulitoa bonge la ugali!
Guys, umoja ni nguvu, pendanane. Aongezeke wa saluni na CL, lol

thubutuu, mkuki kwa nguruwe. . . .
umesahau kwa wanaume, msichana huyu anafua, mwingine anakuja kulalia!
huyu anaosha vyombo, mwingine anakuja kupika!
huyu anafanya usafi, mwingine anakuja kuchafuliwamo lolest!!!!!!
wapi Madame B. . . .