Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahy ukiwa na kiwanja binafsi makato sio mengi?lipuli mbona ground sio yao wamelamba pakubwa?Ndio mjenge viwanja vyenu
Asilimia ya pesa inaenda kwa wamiliki wa viwanja na viwanja vingi wanamiliki ccm
Chama cha soka cha mkoa wana fungu lao
Chama cha soka cha wilaya wana fungu lao
Pesa inatembea sehemu nyingi
Wao wenyejiKwahy ukiwa na kiwanja binafsi makato sio mengi?lipuli mbona ground sio yao wamelamba pakubwa?
Vilabu vijenge viwanja vyao acheni kudoea hivi vya CCM na Serikali
CCM wana viwanja? Walijenga kwa hela ya nani? Acheni kujidanganya viwanja vyote ni vya umma, ila hilo lichama limeviiba tu kwa muda!!Vilabu vijenge viwanja vyao acheni kudoea hivi vya CCM na Serikali
CCM hawajawahi kujenga kiwanja hata cha kunyea kunguru. Walipokonya kwa wananchiVilabu vijenge viwanja vyao acheni kudoea hivi vya CCM na Serikali