Mtoa Taarifa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2024
- 230
- 793
>>>>>>>>>>>>>
Itakuwa presha na kisukari.Uchunguzi wa madaktari umeonyesha kuwa marehemu Denis Busulwa (Ssebo), aliyekuwa Mkurugenzi wa Uendeshaji na Biashara wa EFM na TVE, alifariki dunia kutokana na ugonjwa wa Deep Vein Thrombosis (DVT) au kwa Kiswahili "Kuganda kwa Damu katika Mishipa ya Ndani." mara nyingi kuanzia Miguuni.
View attachment 3558023
DVT NI NINI?
DVT ni hali ya kimatibabu ambapo damu huganda na kutengeneza mifuko katika mishipa ya ndani ya mwili, hasa katika miguu, paja au nyonga. Hali hii ni hatari kwa sababu mifuko hiyo ya damu inaweza:
- Kuzuia mtiririko wa damu mwilini
- Kusafiri na kufika kwenye mapafu na kusababisha kifo cha ghafla
Taarifa ya Dkt. Sebastian Ndege Jembe ni Jembe imeeleza kwa uchache hali aliyokuwa nayo Ssebo.
View attachment 3558022
DALILI ZA KUANGALIA:
- Kuvimba kwa mguu mmoja
- Maumivu ya kudumu kwenye mguu (kama kramu)
- Mabadiliko ya rangi ya ngozi (kuwa nyekundu au buluu)
- Kujisikia joto la juu kwenye sehemu iliyovimba
SABABU KUU:
- Kutotembea kwa muda mrefu (kusafiri au kulala kitandani)
- Baada ya upasuaji
- Magonjwa kama saratani au shinikizo la damu
- Unene na kuvuta sigara
Deep vein thrombosis (DVT) is a medical condition that occurs when a blood clot (thrombus) forms in a vein deep inside the body. While it can happen in any deep vein, it most commonly develops in the lower leg, thigh, or pelvis.
DVT is a serious condition because the clot can partially or completely block blood flow. If a piece of the clot breaks free, it can travel through the bloodstream and lodge in the lungs, causing a life-threatening pulmonary embolism (PE). Together, DVT and PE are referred to as venous thromboembolism (VTE).
Common Symptoms
Many people with DVT have no symptoms at all, but when they do occur, they typically affect only one side of the body. Warning signs include:
- Swelling in the affected leg or arm.
- Pain or tenderness, often described as a heavy ache or a cramp that starts in the calf.
- Red or discolored skin on the affected limb.
- Warmth in the skin of the affected area.
Primary Causes and Risk Factors
Clots often form when blood flow slows down or if a vein is damaged. Key risk factors include:
- Immobility: Long periods of sitting (such as during travel) or bed rest after surgery or illness.
- Surgery or Injury: Trauma to the veins, especially during hip or knee surgery.
- Medical Conditions: Cancer, heart failure, and inflammatory diseases.
- Hormonal Factors: Pregnancy, birth control pills, or hormone replacement therapy.
- Lifestyle & Genetics: Obesity, smoking, and inherited blood-clotting disorders.
Diagnosis and Treatment
Doctors typically diagnose DVT using a physical exam, a D-dimer blood test, and a vascular ultrasound to visualize blood flow.
Treatment aims to prevent the clot from growing or breaking loose. Standard options include:
- Anticoagulants (Blood Thinners): The most common treatment to prevent new clots.
- Compression Stockings: To reduce swelling and prevent long-term complications.
- Procedures: In rare or severe cases, doctors may use thrombolytics (clot-busting drugs) or insert a vena cava filter to catch clots before they reach the lungs.
Important: If you experience sudden shortness of breath or chest pain, seek emergency medical help immediately, as these are signs of a pulmonary embolism.
Are you or someone you know currently experiencing any unexplained leg swelling or pain?
Basi angekuwa anakunywa(ga) maji ya moto na kuoga(ga) maji ya baridiii angepona. Kwasababu yanayeyusha mafuta mwilini.Basi huyu amekufa na huo ugonjwa, kisa unene wake.
Aah wapi. Unamjua Damian Lilard au Victor Wembanyama? Hao ni NBA stars walishapata hilo tstizo. Kuna premier league player alipata pia simkumbuki jina. Cha kuomba ikikutokea ijulikane mapema la sivyo hicho ki clot kinatembea na damu mpaka kwenye moyo,mapafu au ubongo mwisho wake kinaziba mishipa ya damu.Nazidi kuuona umuhimu wa kufanya mazoezi.
RIP Ssebo,nilikuwa nakufuatilia sana kipindi upo EA Radio miaka ya 2012 kwenye kipindi chako cha asubuhi nimeacha kusikiliza FM radio muda kidogo sikujua bado upo bongo mpaka niliposoma habari za kifo chako.
Kabisa yakikukuta yamekukuta!Aah wapi. Unamjua Damian Lilard au Victor Wembanyama? Hao ni NBA stars walishapata hilo tstizo. Kuna premier league player alipata pia simkumbuki jina. Cha kuomba ikikutokea ijulikane mapema la sivyo hicho ki clot kinatembea na damu mpaka kwenye moyo,mapafu au ubongo mwisho wake kinaziba mishipa ya damu.
Tembea kwa saa 2:30-3:30 mara tano kwa wiki, zoezi toshaNazidi kuuona umuhimu wa kufanya mazoezi.
RIP Ssebo,nilikuwa nakufuatilia sana kipindi upo EA Radio miaka ya 2012 kwenye kipindi chako cha asubuhi nimeacha kusikiliza FM radio muda kidogo sikujua bado upo bongo mpaka niliposoma habari za kifo chako.
Madaktari wa Bongo hata sio wakuwaamini sana,ukute kafa kwa ishu nyingine kabisaUchunguzi wa madaktari umeonyesha kuwa marehemu Denis Busulwa (Ssebo), aliyekuwa Mkurugenzi wa Uendeshaji na Biashara wa EFM na TVE, alifariki dunia kutokana na ugonjwa wa Deep Vein Thrombosis (DVT) au kwa Kiswahili "Kuganda kwa Damu katika Mishipa ya Ndani." mara nyingi kuanzia Miguuni.
View attachment 3558023
DVT NI NINI?
DVT ni hali ya kimatibabu ambapo damu huganda na kutengeneza mifuko katika mishipa ya ndani ya mwili, hasa katika miguu, paja au nyonga. Hali hii ni hatari kwa sababu mifuko hiyo ya damu inaweza:
- Kuzuia mtiririko wa damu mwilini
- Kusafiri na kufika kwenye mapafu na kusababisha kifo cha ghafla
Taarifa ya Dkt. Sebastian Ndege Jembe ni Jembe imeeleza kwa uchache hali aliyokuwa nayo Ssebo.
View attachment 3558022
DALILI ZA KUANGALIA:
- Kuvimba kwa mguu mmoja
- Maumivu ya kudumu kwenye mguu (kama kramu)
- Mabadiliko ya rangi ya ngozi (kuwa nyekundu au buluu)
- Kujisikia joto la juu kwenye sehemu iliyovimba
SABABU KUU:
- Kutotembea kwa muda mrefu (kusafiri au kulala kitandani)
- Baada ya upasuaji
- Magonjwa kama saratani au shinikizo la damu
- Unene na kuvuta sigara
Deep vein thrombosis (DVT) is a medical condition that occurs when a blood clot (thrombus) forms in a vein deep inside the body. While it can happen in any deep vein, it most commonly develops in the lower leg, thigh, or pelvis.
DVT is a serious condition because the clot can partially or completely block blood flow. If a piece of the clot breaks free, it can travel through the bloodstream and lodge in the lungs, causing a life-threatening pulmonary embolism (PE). Together, DVT and PE are referred to as venous thromboembolism (VTE).
Common Symptoms
Many people with DVT have no symptoms at all, but when they do occur, they typically affect only one side of the body. Warning signs include:
- Swelling in the affected leg or arm.
- Pain or tenderness, often described as a heavy ache or a cramp that starts in the calf.
- Red or discolored skin on the affected limb.
- Warmth in the skin of the affected area.
Primary Causes and Risk Factors
Clots often form when blood flow slows down or if a vein is damaged. Key risk factors include:
- Immobility: Long periods of sitting (such as during travel) or bed rest after surgery or illness.
- Surgery or Injury: Trauma to the veins, especially during hip or knee surgery.
- Medical Conditions: Cancer, heart failure, and inflammatory diseases.
- Hormonal Factors: Pregnancy, birth control pills, or hormone replacement therapy.
- Lifestyle & Genetics: Obesity, smoking, and inherited blood-clotting disorders.
Diagnosis and Treatment
Doctors typically diagnose DVT using a physical exam, a D-dimer blood test, and a vascular ultrasound to visualize blood flow.
Treatment aims to prevent the clot from growing or breaking loose. Standard options include:
- Anticoagulants (Blood Thinners): The most common treatment to prevent new clots.
- Compression Stockings: To reduce swelling and prevent long-term complications.
- Procedures: In rare or severe cases, doctors may use thrombolytics (clot-busting drugs) or insert a vena cava filter to catch clots before they reach the lungs.
Important: If you experience sudden shortness of breath or chest pain, seek emergency medical help immediately, as these are signs of a pulmonary embolism.
Are you or someone you know currently experiencing any unexplained leg swelling or pain?
Kumbe walimpeleka kwenye maombi uchwara.. aisee hizi dini hizi!!Sasa badala ya kumkimbiza ER ndo wamfanyie maombi mfululizo? Tunapoteza nguvukazi kizembe sana kwa kweli, sasa huyu msomi mwenye access ya information na anayeishi mikocheni ana access na hospitali kuwa zote za nchi wakaona maombi ndio huduma ya kwanza?
Kumbe walimpeleka kwenye maombi uchwara.. aisee hizi dini hizi!!
Dunia imevamiwa na walokole uchwaraYeah kuna clip inazunguka dereva wake anasema yeye ni mchungaji na alipoitwa kusaidia akapiga gombo na maombi hadi mkubwa akazimika (peacefully)! Sadly TMJ na zingine zipo jirani tu hapo na kuna dawa nzuri tu za emergency inapotokea DVT, ndio jamii yetu ilipofikia, kama makamu wa rais anasema tusolve matatizo ya nchi kwa kuiombea then madereva wafanyaje?
Angalau wakati nakua Mwl Nyerere alikua anapiga vita ujinga na maradhi katika kila hotuba yake, tulikua tunasikiliza ujumbe wa leo kila bada ya taarifa ya habari tukiwa vijana, na sijawahi hata kusikia mzee akisema tuombee chochote!
Enzi za 777 dah mwamba tumepiga maji sanaMadaktari wa Bongo hata sio wakuwaamini sana,ukute kafa kwa ishu nyingine kabisa
Kutembea bonge la zoeziTembea kwa saa 2:30-3:30 mara tano kwa wiki, zoezi tosha
Ni siku za mtu tu zikifika hapo unakuta ni watu wameuguza mpaka wakawa hawajui waende wapi!Sasa badala ya kumkimbiza ER ndo wamfanyie maombi mfululizo? Tunapoteza nguvukazi kizembe sana kwa kweli, sasa huyu msomi mwenye access ya information na anayeishi mikocheni ana access na hospitali kubwa zote za nchi wakaona maombi ndio huduma ya kwanza?