Benzodiazepine
JF-Expert Member
- Oct 18, 2018
- 1,264
- 2,053
poleni sana..Ndugu yangu alisababishiwa tatizo la Figo wakati wa operation ya uzazi.
Madocta wa bongo wanajua tu kuvaa miwani lakini vichwani hakuna kitu!
Je mlifanikiwa kwenda kupeleka complaint yenu kwa mamlaka husika, ili uchunguzi ufanyike kubaini kama sabb ilikuwa uzembe au?