Benzodiazepine JF-Expert Member Joined Oct 18, 2018 Posts 1,264 Reaction score 2,053 Mar 15, 2026 #41 Rhz4567 said: Ndugu yangu alisababishiwa tatizo la Figo wakati wa operation ya uzazi. Madocta wa bongo wanajua tu kuvaa miwani lakini vichwani hakuna kitu! Click to expand... poleni sana.. Je mlifanikiwa kwenda kupeleka complaint yenu kwa mamlaka husika, ili uchunguzi ufanyike kubaini kama sabb ilikuwa uzembe au?
Rhz4567 said: Ndugu yangu alisababishiwa tatizo la Figo wakati wa operation ya uzazi. Madocta wa bongo wanajua tu kuvaa miwani lakini vichwani hakuna kitu! Click to expand... poleni sana.. Je mlifanikiwa kwenda kupeleka complaint yenu kwa mamlaka husika, ili uchunguzi ufanyike kubaini kama sabb ilikuwa uzembe au?
Rhz4567 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2018 Posts 5,371 Reaction score 7,382 Mar 15, 2026 #42 Benzodiazepine said: poleni sana.. Je mlifanikiwa kwenda kupeleka complaint yenu kwa mamlaka husika, ili uchunguzi ufanyike kubaini kama sabb ilikuwa uzembe au? Click to expand... After one week of birth operation Figo zikafeli zote unataka tutafute sababu? Tulimuachia Mungu.
Benzodiazepine said: poleni sana.. Je mlifanikiwa kwenda kupeleka complaint yenu kwa mamlaka husika, ili uchunguzi ufanyike kubaini kama sabb ilikuwa uzembe au? Click to expand... After one week of birth operation Figo zikafeli zote unataka tutafute sababu? Tulimuachia Mungu.
Rhz4567 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2018 Posts 5,371 Reaction score 7,382 Mar 15, 2026 #43 Pdidy said: Kuna jamaa jiran toka t a r 1 Jan yuko icu Feb yumo aongeiageuki na bado wakonae March ndugu wakaomba watoe mashine dah kumbr kaisha sikunyingi tu jamaa wanaakavuta mpunga wao kama mili 10 Imeishahio Click to expand... Ndiyo zao utafikiri wao hawatakufa
Pdidy said: Kuna jamaa jiran toka t a r 1 Jan yuko icu Feb yumo aongeiageuki na bado wakonae March ndugu wakaomba watoe mashine dah kumbr kaisha sikunyingi tu jamaa wanaakavuta mpunga wao kama mili 10 Imeishahio Click to expand... Ndiyo zao utafikiri wao hawatakufa
gallow bird JF-Expert Member Joined Aug 10, 2024 Posts 14,889 Reaction score 18,593 Mar 15, 2026 #44 mrangi said: Kutembea bonge la zoezi Kuliko kukimbia Ova Click to expand... Kabisa