DW: Nafasi ya chama cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Hii ilikuwa ni katika kipindi chao cha "maoni mbele ya meza ya duara" jana:

Your browser is not able to play this audio.

Kuliangazia hilo yafuatayo yalimulikwa:

1. Madai ya kuwa ACT kinafanya siasa zisizo na uhalisia kikipendelea ukaribu usiofaa na watawala.
2. Kupachikwa jina CCM B.
3. Ipi hasa ilikuwa sura halisi ya ACT?
4. Vipi mabadiliko ya uongozi ndani ya chama hicho yataleta chachu gani kwenye siasa za Tanzania?
5. Vipi kufanya uchaguzi ndani ya chama hicho kuliko pita bila mtafaruku kunaweza kuwa mfano kwa wengine?
6. Vipi uungwaji mkono wa ACT ndani ya Tanzania?
7. Vipi hatimaye vyama vya upinzani vinaweza hatimaye kushika dola?

Kuyajibu hayo yakiwamo ya katiba mpya, vipi CCM wanafurushwa madarakani na mengi mengine walikaribishwa kulijadili hilo walikuwa:

a) Dorothy Asemo - mrithi wa Zitto Kabwe ACT
b) John Momose Cheyo - mwenyekiti UDP
c) Dotto Bulendu - mwandishi wa habari za siasa Tanzania

Comment #2 ni majidiliano kamili kama yalivyokuwa katika mjadala huo.
 



Your browser is not able to play this audio.
 
Ni kweli. ACT inafanya siasa za kichawa na kujipendekeza kwa watawala ili wapewe upendeleo.

Kama mtakumbuka, 2010 Zitto ndiyo alikuwa mbunge wa kwanza wa upinzani kutangazwa kuwa kashinda uchaguzi. Hii ni kwa kuwa alikuwa akijipendekeza sana kwenye utawala wa Kikwete.
 
CCM inatosha bara na visiwani...
 

1. Mkuu kama hawa ni ACT 2020:

Your browser is not able to display this video.


2. Kwamba kwa maoni yako hao ni chawa.

3. Basi sina hakika kama tunayo tafsiri moja ya neno chawa.
 
Tatizo la CHADEMA always wao wanataka watu wote wafate wanachokiamini wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…