Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Shauri yake. Ni muuaji.Hizi habari huyu mama hapendi kuzisikia kabisa!!
Mbona ya Sudani hawatangazi?Hakika DW wanastahili tuzo.
Na wafanyakazi wake wanaitendea vizuri fani ya uandishi wa habari.
Hii ni jana/ juzi tarehe 18 Januari.
View: https://youtu.be/1evPobXaZXM?si=Q9nzoGZEYBlbvqwG
Safi sana DW. Endeleeni kumtangaza huyo muuaji.
Italipuka zaidiNaona mnapulizia Gesi kwenye mlipuko.
😁Tanzania waandishi wa Habari niwakina "voice from within"