BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
- Thread starter
-
- #21
Cheki huyu mjinga, nyie ndio wale mnapewa pesa mnakamatishwa ukuta na Waarabu kule Loliondo na bila shaka unafanya kazi kwa waarabu wa Loliondo kama mfua sox wao, mtu kama wewe kushikishwa ukuta sio swala la kuuliza.Nenda huko kwa wamasai kawaambie wakupeleke kwenye nyumba walizojengewa kama hawakupiga mkuki.
Bila shaka unafuatiliga zile propaganda za TBC,lazima tu uwe boya sio bure,Nenda huko kwa wamasai kawaambie wakupeleke kwenye nyumba walizojengewa kama hawakupiga mkuki.
Mzee unaonekana una hasira sana, Namuambia huyo chawa wa mama aende huko Serengeni akawahubirie wamasai hizo porojo zake aone kitachomkuta.Cheki huyu mjinga, nyie ndio wale mnapewa pesa mnakamatishwa ukuta na Waarabu kule Loliondo na bila shaka unafanya kazi kwa waarabu wa Loliondo kama mfua sox wao, mtu kama wewe kushikishwa ukuta sio swala la kuuliza.
Kwa akili zako za kushikishwa ukuta unazania Wamasai kule Ngorongoro wana shida sana na nyumba za Bati?
Ndio justficatioin ya kuwauzia Waarabu eneo? kwamba wajengewe nyumba then mwarabu apewe eneo? Mzazi wako namuonea huruma sana make ni hakuna kitu hapa
Na kuba pimbi wanashangiliaTatizo la waTanzania ni ukimya unaoambatana na umbumbumbu!
Hili halina pingamizi Ngorongoro na maeneo mengi yameuzwa sana na ndiko zinatoka pikipiki za SSH 2025!
Kauli ya Jobo Ndugai ilidharauliwq na ndicho kinaenda sasa.
Ndugu yangu naomba uje na jibu kwa nini Masai wamefukuzwa ?Kwa hiyo wakisema hao kwa sababu ni wazungu ndio umeacha kufikiria kwa kichwa chako?
Unqjua kwamba kariakoo na posta Dar es Salaam ilikuwa makazi ya wazaramo? Kwa hiyo wangekataa kuondoka?Ndugu yangu naomba uje na jibu kwa nini Masai wamefukuzwa ?
Usikwepe swali , Kinachoifanya Serengeti na Ngororo kuwa top tourist destination na maajabu ya dunia ni binadamu kushi na wanyama wakali in harmony. Kuna nchi zinatoa pesa nyingi sana kuilinda uhifadhi zina fadhili mpaka chuo cha utalii mwika. Hizo nchi hazijapewa tenda ya kujenga hoteli za utalii. Unawapa tenda watu hawana hata mchango katika uhifadhi wa utalii. Kama Tanzania ni mwanaume na serikali ni mwanamke wake basi huyo mwanamke ni hawara. Maana hajali hali ya mpenzi wake yeye anachojali ni kumkamua pesa na kuondoka zake.Hii ndio serikali yetu tuliyonayo. Tumewapa tenda ya bandari dubai huko nimekaa na wa-Emirati wanasema Dubai haina mafuta wanaendesha uchumi wao kwa kuwakopa Abu Dhabi. Bado serikali hawana watu ambao wako exposed na Dunia. Frankfurt Zoology Society imetumia hela nyingi sana kulinda bio-diversity society ya serengeti. Leo hii hao waarabu au watu kutoka Bosnia wamechangia nini. Watu mnaona serengeti ilivyo mnadhani ipo tu hamjui kwa nini mpaka leo hifadhi iko on point ?Unqjua kwamba kariakoo na posta Dar es Salaam ilikuwa makazi ya wazaramo? Kwa hiyo wangekataa kuondoka?
Walichisema ni kweli au uongo ndiyo iwe hojaKwa hiyo wakisema hao kwa sababu ni wazungu ndio umeacha kufikiria kwa kichwa chako?
Wamasai kwenye mazingira yao halisi ni kivutio cha watalii.Hili suala la Ngorongoro linafanywa kisiasa sana.
Hivi kati ya mtu kujengewa nyumba alafu anapewa hatimiliki ya kiwanja chake na kuishi porini kama mnyama kipi bora?
Hivi vyombo vya kimataifa navyo vina ajenda za hovyo tu!
Masai ndio wamesema au hujasoma bandiko?Kwa hiyo wakisema hao kwa sababu ni wazungu ndio umeacha kufikiria kwa kichwa chako?
Maza anauza haswaNchi wanapewa wageni halafu wazawa wanaambiwa walipe kodi.
Rubbish!, we must preserve our land, hatuwezi kuona ngorongoro inageuka JIJI, Tukakaa kimya!We mjinga sana, alie kuambia wamasai wana shida na nyumba za Block ni nani? kwa hilo kwa akili yako ya kuvukia Barabara ukiwaona wamasai porini akili zako zina kutuma kwamba wana shida sana na wanahitaji nyumba? Ngorongoro ni waliko zaliwa,
Hilo Fuvu lako limejaaa kamasi mnalishwa sana propaganda na TBC
Vipi wale Wachina wanao jenga na Waarabu?Rubbish!, we must preserve our land, hatuwezi kuona ngorongoro inageuka JIJI, Tukakaa kimya!
Wachina na waarabu wanachojenga ni cultural tourist homes, kwa mpangilio maalumu pembeni mwa mbuga bila kuathiri mapito ya wanyama aidha kuwaingilia, sasa ndugu zetu masai walikuwa wanaporomosha nyumba za bloku kuelekea mbugani, jambo ambalo ni hatari sana kwa uhifadhi.Vipi wale Wachina wanao jenga na Waarabu?
Ni kweli....Ngorongo ilikuwa inaenda kuisha yote......Wachina na waarabu wanachojenga ni cultural tourist homes, kwa mpangilio maalumu pembeni mwa mbuga bila kuathiri mapito ya wanyama aidha kuwaingilia, sasa ndugu zetu masai walikuwa wanaporomosha nyumba za bloku kuelekea mbugani, jambo ambalo ni hatari sana kwa uhifadhi.
Aisee kuna watu wa ajabu umeshatembelea boma la Wamasai ngorongoro lenye nyumba ya tofali au ghorofa ? Endelea kubishana kuhusu Simba na Yanga siku nzima ukimaliza Kalale.Rubbish!, we must preserve our land, hatuwezi kuona ngorongoro inageuka JIJI, Tukakaa kimya!
Wamasai hawaathiri makazi ya wanyama Ndio maana wakenya wanatupiga bao katika utalii. Kuna utofauti gani wa Krüger South AfrikaWachina na waarabu wanachojenga ni cultural tourist homes, kwa mpangilio maalumu pembeni mwa mbuga bila kuathiri mapito ya wanyama aidha kuwaingilia, sasa ndugu zetu masai walikuwa wanaporomosha nyumba za bloku kuelekea mbugani, jambo ambalo ni hatari sana kwa uhifadhi.