DW wameelezea sababu za wamasai kufukuzwa Ngorongoro, ni ili wapewe Wawekezaji wafanye utalii wa kitajiri. Wamo Wachina

Kuna watu hawana akili
 
Kwanini article inayohusu Tanzania iandikwe German?
 
Siyo kweli. Asili ya Wamasai siyo Ngorongoro. Nani alikuambia kuwa Ngorongoro ndiyo eneo asilia la Wamasai? Na je unajuwa kuwa Wamasai siyo jamii ya kwanza kuhamishwa kwenye makazi waliyopo na kupelekwa sehemu nyingine kwa ajili ya manufaa mapana ya kitaifa.

Wamasai walihamishwa kutoka Serengeti mwishoni mwa miaka ya 1950 kwa amri ya Governor wa Tanganyika wakati huo.

Pili kuna jamii za wachagga zilihamishwa miaka ya 1960 kutoka Kilimanjaro kwenda Turiani.

Kuna jamii za Wasukuma huku Bulyanhulu na Wakurya huko Tarime zililamishwa kupisha machimbo ya madini.

Wamasai kwenda Msomera Handeni ni jambo jema na wala siyo jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…